Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]

[emoji298][emoji298]Ukrainian forces are still fighting in Bakhmut, Deputy Defense Minister Hanna Maliar reported.

"The struggle for dominant heights continues on the flanks – the north and south of the suburbs," Maliar said. "Our fighters do not give the enemy the opportunity to gain a foothold there."

She noted that Russian forces are conducting a sweep of captured parts of Bakhmut, bringing in further reinforcements and supplies.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawawezi kukubali ukweli au onesha sehemu walipo hao waukraine.
 
Mkuu unarukaruka. Kwanza unataka kusisitiza Poland ilikuwa doa dogo tu kwenye ramani (ilhali ilikuwa milki kubwa kabla ya kuundwa kwa Rus ya Kyiv na kuundwa kwa Utemi wa Moscow na kabla ya Ufalme wa Urusi)
halafu unasisitize kuhusu kitabu cha Gallus Anonymus;
mara ukiona mimi najua kitabu hiki (ilhali hakika wewe hujawahi kukiona!) unaanza sasa mambo ya Wapoland waliofaulu kuondoka kwenye makambi ya Urusi mnamo mwaka 1942 . . . .
Ndiyo hata historia hiyo najua kuliko wewe. Umewahi kutembelea makaburi ya Wapoland huko Tengeru / Arusha?
Mfano hao hapa watoto Wapoland huko Tengeru kwenye mwaka 1946. Walikuwa na shule huko
1684763522118.png
 
Mkuu, i wish ningejibu hii comment yako ila sijaelewa vizuri maelezo yako.
Nasema hivi: ukitumia ufafanuzi wa "Superpower" kuwa na uwezi kushawishi asilimia 70 za nchi zote, maelezo yako ni sawa. Ila sidhani kwamba ni ufafanuzi unaokubaliwa na wataalamu wote.
Pia neno "Superpower" ni dhana lililobuniwa juzi tu. Kwa hiyo si rahisi kuitumia kwa historia ya zamani zaidi.
Lakini naona tukiitumia kama "nchi yenye uwezo na ushawishi mkuba kuliko zote", tunaweza kutumia lugha hii kwa Uingereza katika kipindi kabla ya Vita Kuu ya Kwanza.
 
[emoji298][emoji298]South Korea Extends Assistance to Ukraine’s Recovery with ‘Smart City’ Platforms

South Korea’s Minister of Infrastructure to meet senior Ukrainian officials in Poland to discuss opportunities for Seoul’s involvement in Ukraine’s post-war reconstruction.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nasema hivi: ukitumia ufafanuzi wa "Superpower" kuwa na uwezi kushawishi asilimia 70 za nchi zote, maelezo yako ni sawa. Ila sidhani kwamba ni ufafanuzi unaokubaliwa na wataalamu wote.
Pia neno "Superpower" ni dhana lililobuniwa juzi tu. Kwa hiyo si rahisi kuitumia kwa historia ya zamani zaidi.
Lakini naona tukiitumia kama "nchi yenye uwezo na ushawishi mkuba kuliko zote", tunaweza kutumia lugha hii kwa Uingereza katika kipindi kabla ya Vita Kuu ya Kwanza.

Upo sawa mkuu kwa asilimia fulani, ili neno super power limekuja baada ya USA [emoji631] kuonesha influence kwenye other powerful countries kma Britain, France, Germany, Japan [emoji627]….Ndo maana akapata hyo title ambayo Britain hakufikia hata Robo.

Japan was an impenetrable Beast, aliitawala karibu Asia yote, leo anapiga magoti kwa USA.

France ndo nchi inayoongoza Dunia kwa kushinda vita vingi, leo ni chombo cha USA [emoji631]. Recently ndo anaonesha kumpinga.

Britain [emoji636] alikuwa tu na Bilateral relations na hizi nchi kubwa na wala hakuwa na power ya kuingilia internal affairs ya hizi nchi kubwa. Ona USA hadi LGBQ kaipeleka kwnye hzo nchi kubwa na zote zimetii hadi sheria wakapitisha.
 
IMG_20230522_173925_815.jpg

⚡️⚡️⚡️Washington is shocked: China banned the purchase of chips from the American company Micron. The official reason is that the products did not pass the safety check
The losses are significant: in 2022, Micron earned $30.8 billion in China.
Such a humble hello to Biden and his " threats⚡️⚡️⚡️
 
Sasa mdogo wangu hao walisafirishwa kuletwa huku na Soviet Union. Kumbe hujui duh?
Unachekesha tena. Mimi ninakuonyesha historia halisi ya Wapoland Tanzania (maana hata hujajua kitu kuhusu Tengeru), na wewe unaniuliza kama najua historia yao??
Hapana hawakusafirishwa huku na USSR. Walisafirishwa na Uingereza kwa ushirikiano na Serikali ya Poland Huru iliyokuwepo Uingereza.
Karibu wote walikuwa wfungwa waliokamatwa na Warusi baada ya USSR kugawana Poland na Hitler (hadi 1941 walishirikiana vizuri sana kugawa nchi za Ulaya, kufuatana na mkataba kati ya Ujerumani wa Hitler na USSR). USSR ilipovamia Poland ya Mashariki mnamo 1941, walikamata watu (zaidi ya Wapoland milioni 1) na kuwapeleka Siberia, iadadi kubwa katika makambi ya GULAG huko Siberia. Makumi elfu walikufa pale.
Baada ya Hitler kushambulia USSR; Urusi na Uingereza waliamua kushirikiana. Ila serikali ya Poland iliwahi kukimbia Warsaw na kukimbilia Uingereza wlipoendelea kama government-in-exile. Kulikuwa pia na vikosi vya jeshi la Poland katika Uingereza. Katika hali hiyo Urusi ulipaswa kukubali Poland (iliyowahi kushambulia 1939) kama mshiriki dhidi ya Hitler. Hapo USSR iliruhusu Wapoland waliokaa kwenye makambi kujitolea kwa jeshi la Poland (Anders Army) ililoendelea kujengwa chini ya Uingereza. Waliweza kuondoka pamoa na familia. Kuanzia MAchi 1943 wengi waliweza kufika Iran baada kusafiri kwa meli kwenye Bahari Kaspi. kutoka kule waligawanyika na Waingereza (waliowahi kuvamia Iran 1941).
Historia ya Wapoland ya 1939 / 1943 ni mfano wa kuhuzunika wa historia ya jinai za kivita na ukoloni wa Urusi.
 
Tatizo mdogo wangu unabwabwaja tu hujui chochote. Unazingua sana.

Uingereza iliwachukua Wapoland toka Iran na siyo unavodai wewe. Nimekuwekea source of information from Poland Government. Na hiyo unaikataa? Ukuwa mpuuzi nambari wani kabisa.

Halafu siyo Tengeru pekee soma hiyo link nimekupatia muda mrefu sana. Wewe unarudia tu kama mwehu vile.
 
Unachekesha tena. Mimi ninakuonyesha historia halisi ya Wapoland Tanzania (maana hata hujajua kitu kuhusu Tengeru), na wewe unaniuliza kama najua historia yao??
Hapana hawakusafirishwa huku na USSR. Walisafirishwa na Uingereza kwa ushirikiano na Serikali ya Poland Huru iliyokuwepo Uingereza.
Karibu wote walikuwa wfungwa waliokamatwa na Warusi baada ya USSR kugawana Poland na Hitler (hadi 1941 walishirikiana vizuri sana kugawa nchi za Ulaya, kufuatana na mkataba kati ya Ujerumani wa Hitler na USSR). USSR ilipovamia Poland ya Mashariki mnamo 1941, walikamata watu (zaidi ya Wapoland milioni 1) na kuwapeleka Siberia, iadadi kubwa katika makambi ya GULAG huko Siberia. Makumi elfu walikufa pale.
Baada ya Hitler kushambulia USSR; Urusi na Uingereza waliamua kushirikiana. Ila serikali ya Poland iliwahi kukimbia Warsaw na kukimbilia Uingereza wlipoendelea kama government-in-exile. Kulikuwa pia na vikosi vya jeshi la Poland katika Uingereza. Katika hali hiyo Urusi ulipaswa kukubali Poland (iliyowahi kushambulia 1939) kama mshiriki dhidi ya Hitler. Hapo USSR iliruhusu Wapoland waliokaa kwenye makambi kujitolea kwa jeshi la Poland (Anders Army) ililoendelea kujengwa chini ya Uingereza. Waliweza kuondoka pamoa na familia. Kuanzia MAchi 1943 wengi waliweza kufika Iran baada kusafiri kwa meli kwenye Bahari Kaspi. kutoka kule waligawanyika na Waingereza (waliowahi kuvamia Iran 1941).
Historia ya Wapoland ya 1939 / 1943 ni mfano wa kuhuzunika wa historia ya jinai za kivita na ukoloni wa Urusi.
The first transport of Polish refugees from the Soviet Union arrived at the Tanga port in Tanganyika on August 27, 1942. 1,400 people arrived on board ship, then they were transported to Dar es Salaam. Another transport arrived at the Mombasa port in Kenya on September 19. By the end of September 1942, 1,044 people were located in the Ugandan settlement in Masindi, and 510 and 401 respectively in Morogoro and Kondoa in Tanganyika. The next groups arriving in October were directed to Tengeru, Kondoa, Ifunda and Kidugala.
 
[emoji298][emoji298]Ukrainian military intelligence chief Kyrylo Budanov addressed Russian soldiers in a video on May 22, urging them to surrender if they do not want to die because the situation on the battlefield is set to "get worse."

"For over a year now, the Kremlin regime has been unable to achieve a single goal set at the beginning of the invasion of Ukraine. I am appealing to the Russian soldiers who were lucky enough to survive the meat grinder and the battered trenches – it’s going to get worse. You have the choice to die or to save your life," Budanov says in the video, speaking Russian.[emoji298]

Learn more: Intelligence chief tells Russian soldiers to surrender, says frontline situation will get worse

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]Ukrainian military intelligence chief Kyrylo Budanov addressed Russian soldiers in a video on May 22, urging them to surrender if they do not want to die because the situation on the battlefield is set to "get worse."

"For over a year now, the Kremlin regime has been unable to achieve a single goal set at the beginning of the invasion of Ukraine. I am appealing to the Russian soldiers who were lucky enough to survive the meat grinder and the battered trenches – it’s going to get worse. You have the choice to die or to save your life," Budanov says in the video, speaking Russian.

Back
Top Bottom