kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kilichotokea Ni kwamba wameishia kupeleka magari ya kivita na silaha na hatamaye wamerudi kwenye majeneza, kwenda inawezekana Ila kurudi Sasa hyo kitaalamu Inaitwa wrong turn.Na huko ndiko tunaelekea ,tumeanza na Belgorod kwanza!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ongeza na wale 70 waliochinjwa belgorod.Hii ni Jana tu wakuu, zaidi ya mia nne walichinjwa 🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2633139
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kazia zote zimeachwa pale Russia.
Victory ya bakhumut au ipi wanasema?[emoji187]After the victory, Ukraine will become a member of the European Union, German Chancellor Olaf Scholz stated.
“This bitter chapter in the history of our continent, invented by Vladimir Putin in his imperialist madness, will end with a free Ukraine becoming a full member of the European Union. We rule. We decide. We act practically,” Scholz said.
[emoji328]: AFP
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ngonjera.[emoji298]️Ukraine already has the minimum of weapons it needs to launch a counteroffensive, Ukrainian Intelligence Chief, Major General, Kyrylo Budanov, said in an interview with NHK.
“Many civilians are still under Russian occupation, and we cannot waste any more time. We already have a minimum of weapons and other equipment. The counteroffensive will start soon,” Budabov said.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bila shaka zitakuwa zinarushwa na wamarekani wenyewe. Hilo ni geresha kuwa Wana wa train waukraineHizo F16 hazitomsaidia Ukraine chochote mbele ya Russia, marubani wa Ukraine wana uzoefu kutumia ndege vita za kisoviet kama hizo su series, Kuja ku master f16 itachukua muda. Sijajua wanawaza nini kwa maana F16 kwa nchi kama Russia ni majeneza yanayopaa rubani akiwahi aruke na seat ejection.
Mkuu,hujui ya kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea?[emoji56][emoji56][emoji56]Victory ya bakhumut au ipi wanasema?
Huo ndo uhalisiaBila shaka zitakuwa zinarushwa na wamarekani wenyewe. Hilo ni geresha kuwa Wana wa train waukraine
Acheni kujidanganya , Russia bado hajafanya chochote hapo Belgorod, super pawer yupo tu anakata mauno huku wahasi wakiendelea kusonga mbele!Kazia zote zimeachwa pale Russia.
Kuna ujumbe wako huku[emoji1787]Victory ya bakhumut au ipi wanasema?