jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Picha hiyo imechukuliwa wapi? Mbona Hapo bakhumut halafu unapeleka belgorod.Kuna ujumbe wako huku[emoji1787]View attachment 2633199
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Picha hiyo imechukuliwa wapi? Mbona Hapo bakhumut halafu unapeleka belgorod.Kuna ujumbe wako huku[emoji1787]View attachment 2633199
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe unayepinga Hapo bonyokwa wewe Kama Nani? ZimebutuliwaAcheni kujidanganya , Russia bado hajafanya chochote hapo Belgorod, super pawer yupo tu anakata mauno huku wahasi wakiendelea kusonga mbele!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu kipanya ukimtajia jina la bakhmut anaumwa tumbo la kuhara ndio maana anafosi kuhamisha magoli.Picha hiyo imechukuliwa wapi? Mbona Hapo bakhumut halafu unapeleka belgorod.
kipanya bakhmut baado mnaizunguka tuKuna ujumbe wako huku[emoji1787]View attachment 2633199
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata Bakhihumt ulituambia kuwa Warusi wameikimbia sasa sijui sasa hivi utaongea nn tukuamini.Huko Black Sea kumbe kuna Meli imepigwa afu watu kimya
Crimea bridge naona iko kwenye zoezi maana moshi umetanda
[emoji298][emoji298]Wagner Group head Yevgeny Prigozhin said in an interview with pro-Kremlin blogger Konstantin Dolgov on May 23 that Russia's defense forces were unprepared to resist recent incursions into Russia's Belgorod Oblast by anti-government groups who have declared themselves to be fighting on Ukraine's side.
Learn more: Wagner boss says Russian military not ready to resist Belgorod Oblast incursion
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huu Uzi unahusu habari kutoka sehemu zote hizo ,yaani urusi na ukraine..,na issues nyingine zinazoelekeana na hayo!Mkuu, naona siku hizi ume concentrate na kutuletea habari za upande wa Russia.
Huu Uzi unahusu habari kutoka sehemu zote hizo ,yaani urusi na ukraine..,na issues nyingine zinazoelekeana na hayo!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Propaganda🚮Kumbe, wako pia Warusi wengine:
On Monday, the Freedom for Russia Legion made its most decisive move since the war began, launching a cross-border attack on the Russian region of Belgorod.
But it has been defending Ukraine from Moscow’s invading troops for months. CNN’s Sam Kiley met members of the Legion fighting in Bakhmut in December to understand more about what has led Russian nationals to fight for Ukraine in the war.
One soldier, who goes by the call-sign Caesar, told CNN that defending Bakhmut against his Russian motherland is an almost religious imperative.
“From the first day of the war, my heart -- the heart of a real Russian man, a real Christian -- told me that I had to be here to defend the people of Ukraine,” Caesar said.
When he sees invading Russian troops in his gunsights, he feels no ties to his countrymen.
And when the war is over, members of the Legion have more ambitious targets in sight.
When Ukraine is free, I will carry my sword to Russia to free it from tyranny,” Caesar said.
His claims echoed those made by members of the legion in a video posted Monday.
Vuta subra comred, kikubwa tu usiikimbie thread counteroffensive ikianzaCounter-offensive ya mchongo inaanza lini...?
Mrejesho gani wakati vilishapotea na Abraham 2 zipo Bhamut ziliterekezwa.Tupate mrejesho wa mafunzo ya challenger + leooard + Abrams kwanza ndipo tuanzie Hapo.
Hapana hawawezi.Ni vikundi vya kigaidi tu vinavyojivika ngozi za ukombozi na utetez wa haki za binadamu, vikiungwa mkono na West, vilikuwepo Libya, Yemen, Egypt, Syria na hapo Ukraine 2014, do you think vina nafasi ya kuutikisa utawala wa Moscow?
Naomba kujua umbali Kati ya Bhamut na Kyive? Lengo nifanye makisio ya Muda wa kugomboa Kyive.