Lete hiyo link ya website na sisi tusome.
Conter ya mabox imefeli wameamua kubomoa bwawa hawa magaidi wa Nato wajinga sana
Mazoezi kwa Ukraine ndio yanakuwa hivyo?Kwa hiyo unataka kutulazimisha tukubali tumefanya counteroffensive wakati hatujafanya?
Tofautisha mazoezi na counteroffensive!
"Mmefanya" mzee unaongea as if wewe ni Ukraine, au uko katikati ya mapambano..kumbe upo nyuma ya screen....jiangalie usijekuwa unachanganyikiwa aiseee....Kwa hiyo unataka kutulazimisha tukubali tumefanya counteroffensive wakati hatujafanya?
Tofautisha mazoezi na counteroffensive!
Hahaha mkuu nyie ndio wauzaji wenyewe wa chai ki rejareja.Wanaokuuzia hao wanakuhujumu, mkuu. Njoo huku Moscow, sie tunapata vya jumla, tena na nyongeza juu.
Wachuuzi wa rejareja ni hao jamaa zako wa NATO zaidi ya 100 wanaomlaghai na kumwibia Zelensky. Ogopeni matapeli, mkuu.Hahaha mkuu nyie ndio wauzaji wenyewe wa chai ki rejareja.
Kwamba wamesaini makubaliano ya hatua rasmi ya kusitisha malipo ya deni lao? Au mimi ndiye sijaelewa hapo?💫 Ukraine and France signed an agreement on official debt repayment suspension on June 6, the Ukrainian Finance Ministry announced on its website.
Mkuu NATO ikibidi kupeleka majeshi hayatapelekwa Ukraine ngoma itapigwa ndani ya viunga vya RussiaMimi nataka UKRAINE apewe Membership ili NATO wapeleke Majeshi Yao Ukraine.
Baadhi ya watanzania nI limbukeni na hovyo sana....yaani wewe unaandika 'tumefanya counter offensive'...dah...hivi wewe mpaka uandike 'tumefanya' yaani wewe ni Ukraine?!?! Stupid...Kwa hiyo unataka kutulazimisha tukubali tumefanya counteroffensive wakati hatujafanya?
Tofautisha mazoezi na counteroffensive!
Baadhi ya watanzania no limbukeni na hovyo sana....yaani wewe unaandika 'tumefanya counter offensive'...dah...hivi wewe mpaka uandike 'tumefanya' yaani wewe ni Ukraine?!?! Stupid...
Kwani kavunja sheria namba ngapi, mkuu? Mbona unakereka kwa vitu visivyo na maana? Pls grow up!Baadhi ya watanzania no limbukeni na hovyo sana....yaani wewe unaandika 'tumefanya counter offensive'...dah...hivi wewe mpaka uandike 'tumefanya' yaani wewe ni Ukraine?!?! Stupid...
Sidhani leopard imepokea chochote; hakuna dalili kwamba hadi sasa Leopard zimeshaingia. Matangazo tuliyoona ni feki kama kawaida. Putin bila shaka anajua si kweli lakini anahitaji kufariji askari wake.Zinasubiliwa kwa hamu maana leopard ameshapokea maua yake.
Mkuu NATO ikibidi kupeleka majeshi hayatapelekwa Ukraine ngoma itapigwa ndani ya viunga vya Russia
Nawatahadharisha tena, mkuu. Msije hapa kunilalamikia eti sikuwaambia. Prigozhin si adui wa Russia hata siku moja. Na wala hamtokaa mwelewe mipango na malengo yake.Prigo amecheka tu madai ya wizara ya ulinzi wa Urusi. Anaita taarifa za kuuawa kwa Waukraine 1,500 ndoto za kucheka au "science fiction".
'Absurd Science Fiction': Wagner Group Boss Slams Russian Claims Of Ukrainian Losses
The UK says the feud between the military group and the Kremlin "has reached an unprecedented level".www.huffingtonpost.co.uk

The boss of the Wagner military group has condemned Russian claims of huge Ukrainian losses as “absurd science fiction”.
Yevgeny Prigozhin’s comments came as the UK’s Ministry of Defence (MoD) said the ongoing feud between the mercenary outfit and the Kremlin “has reached an unprecedented level”.
Moscow has claimed that Russian troops have killed 1,500 Ukrainians during the latest round of intense fighting.
But Prigozhin said such a casualty rate would require daily gains of 150km by Russia.
“I therefore believe that this is simply wild and absurd science fiction,” he said on the Telegram channel of his press service.
Wagner Group founder Yevgeny Prigozhin, a foe of the country’s top military brass, mocked the Defense Ministry’s claim that Ukraine’s counteroffensive had been “stopped.” “Judging by the Defense Ministry’s announcement… we already defeated all European armies a long time ago, at a minimum,” Prigozhin said via his press service, quipping that the war can now end because Russia has “no one left to fight.” He went on to say that “to mark this wonderful occasion,” he would now get a tattoo on his chest of Defense Minister Sergei Shoigu, Chief of the General Staff Valery Gerasimov, and Defense Ministry spokesperson Igor Konashenkov.
Tumia ubongo wako ww hata mara moja kwa mwezi...!!!...Prigozin ni specialist wa propaganda...huyo na RF lao ni moja...eti wana msuguano...yaani nchi iko kwenye vita na mataifa zaidi ya 50 halafu atokee mmoja anapingana na Jeshi zima au MoD si angeshapukutishwa siku mingi sana...!!!Prigo amecheka tu madai ya wizara ya ulinzi wa Urusi. Anaita taarifa za kuuawa kwa Waukraine 1,500 ndoto za kucheka au "science fiction".
'Absurd Science Fiction': Wagner Group Boss Slams Russian Claims Of Ukrainian Losses
The UK says the feud between the military group and the Kremlin "has reached an unprecedented level".www.huffingtonpost.co.uk
'Absurd Science Fiction': Wagner Group Boss Slams Russian Claims Of Ukrainian Losses
The boss of the Wagner military group has condemned Russian claims of huge Ukrainian losses as “absurd science fiction”.
Yevgeny Prigozhin’s comments came as the UK’s Ministry of Defence (MoD) said the ongoing feud between the mercenary outfit and the Kremlin “has reached an unprecedented level”.
Moscow has claimed that Russian troops have killed 1,500 Ukrainians during the latest round of intense fighting.
But Prigozhin said such a casualty rate would require daily gains of 150km by Russia.
“I therefore believe that this is simply wild and absurd science fiction,” he said on the Telegram channel of his press service.
Wagner Group founder Yevgeny Prigozhin, a foe of the country’s top military brass, mocked the Defense Ministry’s claim that Ukraine’s counteroffensive had been “stopped.” “Judging by the Defense Ministry’s announcement… we already defeated all European armies a long time ago, at a minimum,” Prigozhin said via his press service, quipping that the war can now end because Russia has “no one left to fight.” He went on to say that “to mark this wonderful occasion,” he would now get a tattoo on his chest of Defense Minister Sergei Shoigu, Chief of the General Staff Valery Gerasimov, and Defense Ministry spokesperson Igor Konashenkov.
Wewe mwanzo kumfahamu huyu mwamba? Pale bukhumut alisemaje? Na kimetokea nn? NATO dawa yenu Ni [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Prigo amecheka tu madai ya wizara ya ulinzi wa Urusi. Anaita taarifa za kuuawa kwa Waukraine 1,500 ndoto za kucheka au "science fiction".
'Absurd Science Fiction': Wagner Group Boss Slams Russian Claims Of Ukrainian Losses
The UK says the feud between the military group and the Kremlin "has reached an unprecedented level".www.huffingtonpost.co.uk
'Absurd Science Fiction': Wagner Group Boss Slams Russian Claims Of Ukrainian Losses
The boss of the Wagner military group has condemned Russian claims of huge Ukrainian losses as “absurd science fiction”.
Yevgeny Prigozhin’s comments came as the UK’s Ministry of Defence (MoD) said the ongoing feud between the mercenary outfit and the Kremlin “has reached an unprecedented level”.
Moscow has claimed that Russian troops have killed 1,500 Ukrainians during the latest round of intense fighting.
But Prigozhin said such a casualty rate would require daily gains of 150km by Russia.
“I therefore believe that this is simply wild and absurd science fiction,” he said on the Telegram channel of his press service.
Wagner Group founder Yevgeny Prigozhin, a foe of the country’s top military brass, mocked the Defense Ministry’s claim that Ukraine’s counteroffensive had been “stopped.” “Judging by the Defense Ministry’s announcement… we already defeated all European armies a long time ago, at a minimum,” Prigozhin said via his press service, quipping that the war can now end because Russia has “no one left to fight.” He went on to say that “to mark this wonderful occasion,” he would now get a tattoo on his chest of Defense Minister Sergei Shoigu, Chief of the General Staff Valery Gerasimov, and Defense Ministry spokesperson Igor Konashenkov.
Kuna uchambuzi nilimsikia jamaa anauchambua kuhusiana na oil kupunguzwa na OPEC plusWest’s Oil War Against Russia Losing Momentum — Think Tank
Russia’s earnings from oil exports have risen in recent months despite the G7 price cap and other restrictions imposed by the West, a new study by the Finnish Centre for Research on Energy and Clean Air (CREA) has found.
According to the think tank, Russia’s oil revenues began recovering in March after a sharp drop in February when the EU restrictions were imposed. In April, incomes rose a further 6% month-on-month, reaching their highest level since last November.
Experts say that while the current revenues are still substantially below where they were at the same time last year, the upward trend indicates that Western sanctions on Russia’s oil exports are losing momentum. They noted that further recovery in Russia’s oil earnings “would damage the impact and credibility of the sanctions.”
Subscribe to RT