Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vikwazo vikali toka dunia imeimbwa amewekewa Russia, nchi zaidi ya 40 zinatoa misaada ya silaha na intelejensia kwa Ukraine ili amshinde Urusi.
Ni zaidi ya mwaka sasa, ndio kwanza Russia amechukua ardhi ya Ukraine yenye ukubwa wa 20% ya nchi nzima ya Ukraine. Ndio kwanza nchi ya German inafisirisika kiuchumi. Unataka muujiza gani?

Urusi haiwezi kushindwa kijeshi, pale Ukraine operation imeendeshwa na Wagner group kwa zaidi ya asilimia 80. Narudia jeshi la urusi halijashiriki kikamilifu

Nawaambieni ukweli, Urusi haiwez kushindwa vita na nchi yoyote.. ina kila aina ya option ya silaha.
Wanaotegemea RUSSIA [emoji635] kupigwa pole yao sanaaaaa
 
the Kiev regime has no choice.

That is why the Kiev regime has only one choice - to go all the way, sending thousands of mobilized people to their doom.

So the main thing now is to concentrate as much as possible and give a decent response.

We need to stop the enemy and then launch an offensive.

Its goal today is not only to liberate our lands and protect our people. Its goal is the complete overthrow of the Nazi Kiev regime, which has entrenched itself in country 404.

@ukraine_watch
I wish kp kipanya44 na umshana wangekuwa wanajua kusoma, la sivyo watazame picha basi!

This message is too pointed!

Naona jina la Ukraine halitumiki tena, badala yake ni ^country 404.^ Duh! Ramani ndiyo hiyoo imeanza ku-change!
 
ANAITWA KA 52 HELICOPTER.

Mwamba jana kaniangushia leopard 8, vifaru vya mfaransa 3, vifaru vya msoviet na Max pro 12 ndani ya masaa machache tu.
wallpaperflare.com_wallpaper.jpg
 
Huko nyuma niliwahi kuandika kuwa urusi ni watu wa propaganda sana. Hawana jeshi la kuweza kuinyamazisha dunaia. Sasa hivi Putin anahanganika kujenga coalition ya kuichukia Marekani, hata hivyo wahenga walisema muda utazungumza wenyewe.



Waende wakaiondoe RUSSIA [emoji635] pale UKRAINE [emoji1255] kama walivyoiondoa IRAQ [emoji1131] Kule Kuwait [emoji1142]
 
I wish kp kipanya44 na umshana wangekuwa wanajua kusoma, la sivyo watazame picha basi!

This message is too pointedly!

Naona jina la Ukraine halitumiki tena, badala yake ni ^country 404.^ Duh! Ramani ndiyo hiyoo imeanza ku-change!
[emoji419][emoji375], ila hawa vichwa ndimu hawataelewa @umushana kp kipanya44
 
The Russian army units advanced rapidly in the Kharkiv region, as the Ukrainian army and its mercenaries suffered heavy losses, as they are now 7 kilometers away from the city of Kupyansk. The Russian forces advanced rapidly deep into the Kremnaya forests, to a distance of more than 2 kilometers.
Hii Kharkov tutapita nayo kama bonus bila ya kusahau na Odessa
 
Raia lazima mjipange kupitia nyakati ngumu ikiwa nchi wafadhili zitasitisha misaada kutokana na sheria ya kupinga ushoga iliyopitishwa, ni kauli ya rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akizungumzwa kwa mara ya kwanza tangu atie saini sheria tata kuhusu ushoga.

Museveni, amesema haikubaliki kuona baadhi ya mataifa yenye nguvu yanalazimisha tamaduni zao kwa nchi masikini kwa kisingizio cha kutoa misaada.
Western safari hii wamekamatika hawawezi kuikatia Msaada UG [emoji1254] na ikitokea wa kafanya hvyo basi itakula kwao rasmi

Maana watoa misaada wapo wengi tu na yule mbunge alopeleka huu muswada alishatoa ushauri waachane na west wahamie east hata mashariki ya Kati pia panawafaa

UG [emoji1254] wameupiga wakutosha sanaa
 
Back
Top Bottom