Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Updates:

Makombora ya Russia yalifanikiwa kupenya mahandaki mjini Kiev ambayo ndani yake ndipo kulipo ofisi na makao makuu ya shirika la ujasusi la Ukraine SSU.

Mashambulizi hayo ni kama yale yalotokea mwezi March mwaka huu ambapo makao makuu ya kamandi ya Bahkmut yalifumuliwa na idadi kubwa ya majeshi ya kigeni kuuawa.

Shambulizi hili lilileta tetemeko la ardhi katika mji wa Kiev.

Habari hizi ni marufuku kutangazwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi lakini wengi tunofuatilia kwa makini twazipata kilaini.

Russia sasa hivi wamejipanga wakisubiria mizigo iingie Kiev na kwa kutumia mitambo ya satelite huiona na kuidungua yote.

Ndo maana vikao vimeongezeka leo wapo Moldova na mwezi ujao watakuwa Lithuania.

Bakhmut sasa ipo chini ya Russia mazima na kwa kilichobaki kwa Ukraine na nchi za magharibi ni kutuma UAVs ndani ya Russia na kusema "Oneni Tumepiga Russia" na kushangilia.
 
Halafu uliuliza kuhusu idadiiliyopotea upande Ukraine, nisipokosei.
(ingerahisisha mambo kama unepunguza matusi kwa jumla, 1) utaeleweka zaidi na 2) utafikiri vizuri zaidi!)
Confirmed vehicle loss

Ukraine - 3464, of which: destroyed: 2258, damaged: 216, abandoned: 95, captured: 895​

Tanks (509, of which destroyed: 316, damaged: 31, abandoned: 22, captured: 139)

Russia - 10500, of which: destroyed: 6920, damaged: 353, abandoned: 404, captured: 2823​

Tanks (2003, of which destroyed: 1240, damaged: 106, abandoned: 113, captured: 544)​

Hapa unaona pia siri kwa nini idadi ya vifaru upande wa Ukraine iliongezeka kidogo -maana walikamata vifaru vya Kirusi kuliko kupoteza wenyewe...)
Chanzo:
Taarifa za urusi juu ya vifaa vita vya ukraine vilivyoteketezwa ni kama ifuatavyo!
Kila mtu aamini anachoamini!

In total, 430 airplanes and 235 helicopters, 4,407 unmanned aerial vehicles, 424 air defence missile systems, 9,352 tanks and other armoured combat vehicles, 1,105 combat vehicles equipped with MRLS, 4,954 field artillery cannons and mortars, as well as 10,587 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.
 
Mimi nije kwenu nikuondolee uwezo wa wewe kujikimu, Niue ndugu zako kisha nikupe misaada utafurahi?

Pia Mabomu yalidondoshwa specific North Korea
1. Asilimia 85 ya majengo yote yalilipuliwa
2. North Korea ilikua na watu wachache kama Nusu tu ya South Korea ila wahanga wa kubwa waliouliwa walitoka North Korea. Kwenye Jarida lake Ameandika Armstrong

The number of Korean dead, injured or missing by war's end approached three million, ten percent of the overall population. The majority of those killed were in the North, which had half of the population of the South; although the DPRK does not have official figures, possibly twelve to fifteen percent of the population was killed in the war, a figure close to or surpassing the proportion of Soviet citizens killed in World War II.

3. asilimia 75 ya ma shamba ya Mpunga na Mabwawa ya umwagiliaji yalilipuliwa, mpunga haupigani ila makusudi walidhamiria kuhakikisha hata kama vita inaisha wanakufa Njaa.

4. mpaka sasa eneo la North Korea ambalo linalimika ni kama 1/5 ya Nchi nzima.

Hivyo pamoja na wao Kufanyiwa huo ukatili na Marekani wamefanikiwa Leo hapo walipo wanahitaji pongezi kubwa.

Na mtu mwenye Akili timamu hawezi akaishabikia Usa kwa unyama waliofanya Korea na kuwaponda North Korea.
Asante sana kwa comment hii fupi lakini yenye ujumbe mzito...Hawa wajinga na wapumbavu ambao ni washenzi pia na ambao ni Pro-NATO, West na USA huwa wanajifanya hawajui unyama uliowahi kufanywa na unaoendelea kufanywa na Marekani.....Hakuna watu washenzi na wanyama duniani Kama Wamarekani...Uukiacha ukatili mkubwa na wa kutisha uliofanywa na Marekani huko KOREA YA KASKAZINI kwa kufanya mauaji ya kimbari na kuteketeza mashamba ya mpunga lakini Hawa 'mbwa' wa Marekani waliua watu kwa mamilioni huko Vietnam, Afghanistan, Irak na nchi nyingine kadhaa zaifi ya 50 duniani.....Marekani imewahi Mara kadhaa kutumia mabomu ya napalm huko Vietnam mabomu ambayo yanaunguza mwili...Marekani ndiyo nchi pekee iliyowshi kutumia silaha za nyuklia huko Japan...huko Syria Marekani pia ilitumia silaha za sumu kwa kuwatumia the so called white helmets. Marekani ni washenzi na mbwa kabisa...
 
Mkuu kwanza naona hali ya kawaida: pasipo na hoja, kimbilio ni matusi.
Pili Naturalismus kukusaidia: kama makadirio niliyoona ni sahihi, Urusi ilikuwa na vifaru 3000 - 4000 kabla ya vita halafi idadi kubwa vilivyokaa kwenye maegesho au stoo. Kwa hiyo hata sehemu iliyobaki bado ni idadi kubwa.
Lakini swali langu lilikuwa hilo:
Kama jeshi la Urusi halikuingia bado katika vita hii (jinsi ulivoandika), je walifaulu kivipa kupoteza hivyo vifaru 2001 vilivyopgwa picha tayari ??
Hawajafaulu, wamegaragazwa na Ukraine kwa sasa anashikikia 40% ya ardhi ya urusi
 
Russian ‘Freedom Fighters’ Raid Belgorod – Again – Across Border From Ukraine

“Partisans” raided across the Ukrainian border into Russia for the second time in two weeks. The Kremlin said the incursion was wiped out, but fighters said they blew a lot of Russian stuff up.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
SBU Detains Suspected Russian Mole Among Ukraine’s Soldiers

A resident of Bakhmut, recruited by Russians, was gathering information about Western weapons and ‘hunting’ for air defense systems while serving in the Ukrainian army.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
.wameshaona kwamba walibug step,Sasa wanaanza kutaftana [emoji23][emoji28][emoji1787]



"Our only mistake is that we didn't resolve this issue in 2014-2015 when Ukraine didn't have an army and wasn't prepared," Lukashenko said, emphasizing that the attack on Ukraine should have happened earlier.
1685622864071.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zelensky ameona mambo yasiwe mengi.... Huuuyooooo kakimbia zake...
Kwa nini auliwe kizembe wakati ana uwezo wa kukimbia.
Russia hawana haja ya kumuua Zelenzky kama wangetaka kufanya hivyo wangefanya tangu siku ya kwanza ya SMO.

Lakini kwa ujinga wake amekuwa akipokea maagizo kutoka kwa wadhamini wake kwamba aweza kujaribu kufanya hivyo (kumuua Putin).

Hilo limemfanya Zelenzky ajiorodheshe mwenyewe kwenye orodha ya GRU unit 29155.

Shambulio lolote la Ukraine ndani ya Russia likiwa ni kwa ajili ya military assets linakuwa legit.

Lakini badala yake Ukraine wamekuwa wakituma UAVs ndani ya makazi ya watu na kusababaisha uharibifu. Russia wamekuwa (ambayo haisemwi na vyombo vya magharibi) wakishambulia Kiev sasa hivi kuharibu shehena za silaha ambazo zimekuwa zikiingizwa kutokea nchi za Ujerumani na Poland.

Ukraine kushambulia makazi ya watu badala ya military assets ndani ya Russia inafanya mashambulizi hayo kuwa ni ya kugaidi zaidi na kuipa nafasi zaidi Russia kushambulia zaidi khasa Kiev.

Hasara imekuwa kubwa na jana nchini Marekani, serikali imepewa uwezo wa kukopa zaidi maana matumizi ya serikali ni msaada Ukraine ambako hakuleti mafanikio.
 
.wameshaona kwamba walibug step,Sasa wanaanza kutaftana [emoji23][emoji28][emoji1787]



"Our only mistake is that we didn't resolve this issue in 2014-2015 when Ukraine didn't have an army and wasn't prepared," Lukashenko said, emphasizing that the attack on Ukraine should have happened earlier.View attachment 2642508

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Katibu mkuu wako wa NATO alikiri mwaka jana kwamba NATO imekuwa ikiwatayarisha Ukraine kwa vita na Russia tangu 2014.

Last Updated: 30th June, 2022 14:34 IST

NATO's Stoltenberg Admits Alliance Has Been Preparing For Conflict With Russia Since 2014​

NATO has been preparing for a war with Russia since 2014, Secretary-General Jens Stoltenberg said on Wednesday following the NATO summit.​

 
Taarifa za urusi juu ya vifaa vita vya ukraine vilivyoteketezwa ni kama ifuatavyo!
Kila mtu aamini anachoamini!

In total, 430 airplanes and 235 helicopters, 4,407 unmanned aerial vehicles, 424 air defence missile systems, 9,352 tanks and other armoured combat vehicles, 1,105 combat vehicles equipped with MRLS, 4,954 field artillery cannons and mortars, as well as 10,587 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.
Mkuu asa nte kwa mchango wako.
Kwa jumla sioni sababu kuamini namba zinazotangazwa ama na Urusi au na Ukraine. Ni kawaida kila upande unatumia idadi siziso sahihi. Uwongo ni silaha.
Tofauti na hiyo, nimepata picha kwamba hao watu wa Oryx wanajitahidi kweli kutangaza tu matokeo waliyoweza kuhakikisha. Maana kila mfani kuna picha yake. unaweza kulinganisha mwenyewe.
Bila shaka kwa njia hiyo hawawezi kupata kila kitu maana sidhani kuna picha ya kila kitu kilichopigwa.
Lakini angalau wanaleta idadi ambazo zina uhakika mkubwa.
 
Kwamba wamezidungua makombora yote lakini wameuawa watu watatu?
Kuna namna mbili kuangalia matokeo hayo.
1) Urusi ilirusha makombora 10 ya Iskander ilifaulu kupiga kila shabaha na kuua watu 3
2) Urusi ilirusha makombora 10 ya Iskander yote ilizuiliwa na kulipuka juu ya mji wa Kyiv na watu 3 waliuawa na vipande vilivyoanguka

Ipi uwezekano mkubwa? Je walilenga majengo pasipo na watu ??
 
Taarifa za urusi juu ya vifaa vita vya ukraine vilivyoteketezwa ni kama ifuatavyo!
Kila mtu aamini anachoamini!

In total, 430 airplanes and 235 helicopters, 4,407 unmanned aerial vehicles, 424 air defence missile systems, 9,352 tanks and other armoured combat vehicles, 1,105 combat vehicles equipped with MRLS, 4,954 field artillery cannons and mortars, as well as 10,587 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.
Uzuri wa Urusi kila siku anatoa taarifa...na mtu unaweza hata kuhesabu na kuona zinavyo ongezeka
 
sasaiv Tumebadili gia angani kenge yeyote sisi tunaondoka na kichwa chake huyo Msanii akae tayari tutamlipua batalokota tishirt kunyavu
Mkuu kuna dalili zote kwamba Warusi walijaribu kumwua Zele tangu mwanzo wa vita. Ila hawakufaulu. Na hata sasa hakuna dalili kwamba wana uwezo kupiga shabaha wanazolenga mjini Kyiv.
Inaonekana ulinzi wa Iris + Patriot + Gepard inafanya kazi vizuri.
Ila hakuna ulinzi ambao ni 100% waendelee tu kujaribu.
 
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg reiterated that Ukraine has the right to defend itself when asked about the alliance's stance on alleged Ukrainian attacks on Russian soil, in particular, the May 30 drone strike against Moscow.

"We have exactly the same position now as we had at the beginning of the (full-scale) war…. Russia's war of aggression against Ukraine is a blatant violation of international law, while the right of self-defense is enshrined in the UN Charter," Stoltenberg said at a June 1 press conference.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja tu [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]


[emoji298][emoji298]The Ukrainian troops killed and wounded 191 occupiers in Tavria direction in the past 24 hours

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom