Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Naona Mrusi Kaamua Kupiga Sawa sawa
saivi Viongozi wa Ukrein wanaishi kwa Shida sana wanajificha kama nguchiro
zile Swaga za Zele kutembea mtaani Tusitegemee kwasasa
Kwa sasa Game lipo tight. Lazima waishi kwa kujificha-ficha. Otherwise, wanakua marehemu fasta tu.