Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huko nyuma niliwahi kuandika kuwa urusi ni watu wa propaganda sana. Hawana jeshi la kuweza kuinyamazisha dunaia. Sasa hivi Putin anahanganika kujenga coalition ya kuichukia Marekani, hata hivyo wahenga walisema muda utazungumza wenyewe.

Maelezo yaki ya utangulizi na habari uliyoleta ni inversely proportional!
 
Habari nyingi zinazoletwa na Pro russia ambao ni wengi kwenye huu uzi hazina source walau hata pich hakuna. Nyingi ni merely here say, unaambiwa etc.

Inakuwa hakuna tofauti na wauza karanga wa gongo la mboto.
Picha wewe unazitoa wapi?? Unataka kujitoa ufahamu kwamba picha ni wao wenyewe huweka kwa kutumia mitambo na Vyombo vyao vya habari BBC...CNN..Sky...Al jazeeza wote hao wanareport uongo mtupu...
umesahau walituonyesha mapicha ya uongo Libya ili waharalishe ushetani wao...Walituonyesha hayo hayo Iraq..empire ya kishetani hii...
 
Huko nyuma niliwahi kuandika kuwa urusi ni watu wa propaganda sana. Hawana jeshi la kuweza kuinyamazisha dunaia. Sasa hivi Putin anahanganika kujenga coalition ya kuichukia Marekani, hata hivyo wahenga walisema muda utazungumza wenyewe.

Walikwambia wanataka kuwa na jeshi la kuinyamazisha dunia???Au unatunga parameters zako kichwani na kuanza kujipinga ...???
 
Vikwazo vikali toka dunia imeimbwa amewekewa Russia, nchi zaidi ya 40 zinatoa misaada ya silaha na intelejensia kwa Ukraine ili amshinde Urusi.
Ni zaidi ya mwaka sasa, ndio kwanza Russia amechukua ardhi ya Ukraine yenye ukubwa wa 20% ya nchi nzima ya Ukraine. Ndio kwanza nchi ya German inafisirisika kiuchumi. Unataka muujiza gani?

Urusi haiwezi kushindwa kijeshi, pale Ukraine operation imeendeshwa na Wagner group kwa zaidi ya asilimia 80. Narudia jeshi la urusi halijashiriki kikamilifu

Nawaambieni ukweli, Urusi haiwez kushindwa vita na nchi yoyote.. ina kila aina ya option ya silaha.
Agiza Biaaaaaa nalipa mimi
 
Mahasimu wakubwa wa Russia uzalendo umewashinda wameamua kusema ukweli

Poland’s President makes unexpected statement about Putin

Polish President Andrzej Duda said that the leader of the Russian Federation, Vladimir Putin, has not lost a single war.

“Today they say that Vladimir Putin lost the war, and his defeat is that Finland joined NATO, although for many years the Finnish public hesitated whether to give up neutrality. Ladies and gentlemen, Vladimir Putin has not lost a single war,” the head of Poland said.

@ukraine_watch
Hii kauli inafikirisha Sana hasa nikikumbuka kuwa urusi imesema unataka kugawana ardhi na Poland
 
H
Picha wewe unazitoa wapi?? Unataka kujitoa ufahamu kwamba picha ni wao wenyewe huweka kwa kutumia mitambo na Vyombo vyao vya habari BBC...CNN..Sky...Al jazeeza wote hao wanareport uongo mtupu...
umesahau walituonyesha mapicha ya uongo Libya ili waharalishe ushetani wao...Walituonyesha hayo hayo Iraq..empire ya kishetani hii...
Hii habari ya kuripua Underground bunker na kuua 500. Leta basi hata source ya RT news.
 
The Russian army units advanced rapidly in the Kharkiv region, as the Ukrainian army and its mercenaries suffered heavy losses, as they are now 7 kilometers away from the city of Kupyansk. The Russian forces advanced rapidly deep into the Kremnaya forests, to a distance of more than 2 kilometers.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
It reported by several unofficial sources that a Russia missile strike on a Command Centre in Lviv on Sunday, resulted in the death and serious injury of a number of High Ranking NATO Officers
including Generals
It is claimed that the dead and wounded were transfered to[emoji629] via [emoji1200]View attachment 2642034
Kama patriot zinafanya kazi, zipo kwa kulinda nini kama sehemu muhimu zinafikiwa na Urusi au zinalinda mito na milima isiguswe?
 
Nani alifanya Ardhi ya North Korea isilimike? Si hao mabwana zako wauaji wakubwa na Washenzi wasio na huruma kwa wanawake na watoto? Walipiga mabomu Korea na kuua 1/3 ya watu wote. Watu Milioni 8 walikufa na kuacha majeruhi na Ardhi isiolimika.

Leo hii North Korea wa watu wa najitahidi hadi wamekua katika nchi zinazoongoza ku export Matunda, wametoka mbali sana hao jamaa na North Korea inahitaji pongezi, propaganda za Marekani ni kuficha tu Mauaji aliyoyafanya.
Mkuu nani alifanya ardhi ya Korea Kaskazini isiweze kulisha watu wake? Labda siasa inayoendelea kufuata mtindo wa ukomunisti ambao nchi zote nyingine za kikomunisti zimeacha muda mrefu?
Tafadhali unyoshe kidogo historia yako. Mabomu hayakuanguka Korea Kaskazini pekee, rasi yote ya Korea ilikuwa mahali pa vita miaka 60 iliyopita, kwa sababu serikali ya kaskazini ioiamua kuvamia kusini. Jeshi la Kaskazini lilileta kifo na mabomu hadi kusini.
Ukijiuliza kwa nini Kore kaskazini iko nyuma vile, linganisha tu na Korea Kusini ambayo ni kati ya nchi zilizoendelea zaidi duniani.

Ukiangalia vipindi vya njaa katika Korea KaskZini utaona A) sababu ziko katika ukomunisti wa zama za mawe unaoendelea katika nchi hiyo, na B) nchi ilipata misaada mikubwa ya chakula kutoka jumiaya ya kimataifa, pamoja na nchi unazolaumu
 
Vikwazo vikali toka dunia imeimbwa amewekewa Russia, nchi zaidi ya 40 zinatoa misaada ya silaha na intelejensia kwa Ukraine ili amshinde Urusi.
Ni zaidi ya mwaka sasa, ndio kwanza Russia amechukua ardhi ya Ukraine yenye ukubwa wa 20% ya nchi nzima ya Ukraine. Ndio kwanza nchi ya German inafisirisika kiuchumi. Unataka muujiza gani?

Urusi haiwezi kushindwa kijeshi, pale Ukraine operation imeendeshwa na Wagner group kwa zaidi ya asilimia 80. Narudia jeshi la urusi halijashiriki kikamilifu

Nawaambieni ukweli, Urusi haiwez kushindwa vita na nchi yoyote.. ina kila aina ya option ya silaha.
Mkuu kama jeshi ambalo halishiriki kweli katika vita linafaulu hata hivyo kupoteza vifaru 2000 ni hali ya ajabu kidogo.
Maana tunakubaliana kwamba Wagner hawana vifaru, sivyo?
Jeshi la Urusi limepotea vifaru 2000. Idadi hiyo imethibitishwa kwa picha hadi sasa, kwa hiyo idadi itakuwa kubwa zaidi.

Walifanyeje kama hawakuanza bado?.
 
Back
Top Bottom