Yaani Urusi unailinganisha na Iraq na Libya kweli? Waulize Wajerumani watakupa taarifa za Urusi kwa undani kuhusiana na WWIIGadafi na Sadam Hussein kabla ya vifo vyao walikuzwa kupita kawaida lakini kilichokuja kutokea kila mtu anajua.
Marekani na NATO hufanya mambo kwa akili sio ushabiki.