Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukrainian Commander Blows Up Own Vehicle Over Insubordination — Social Media

Footage uploaded to Twitter purportedly shows the aftermath of a conflict between a commander in the Armed Forces of Ukraine and his soldiers, wherein the officer purportedly destroyed the battalion’s vehicle using a grenade.

Authorities in the Ukrainian military have launched an investigation, local media reports.

Subscribe to RT
 
Alafu ripoti inaonesha kwenye hyo bunker kulikuwa na watu karibu 500, ukijumuisha wataalamu wengine ambao sio wanajeshi kutoka nchi za magharibi, na kuna miili ya watu mpaka sasa haionekani

Ila kuna watu wanaujasiri, yaani unaenda kweli kufanya kazi Ukrain ili umpige mrusi na wewe sio mwanajeshi. Kweli kuna watu hawana hata common sense maana hyo ni obvious suicide opportunity.
Ukitaka kufa kwa mda huu kafanye kazi Ukraine.
 
Mchawi lugha
FxdqPH_WcAQXtUr.jpg
 
Wakuu(hususani pro war)!Mbona sizioni habari za drone kulipua kiwanda cha kusafisha mafuta humu kwenye uzi?
Maana kumbukeni huu uzi ni kwa ajili ya update ya matukio ya kila upande(Ukraine na Russia)
 
Russian Federation closes the embassy office in the Finnish city of Lappeenranta from 1 July and the Finnish ambassador in Moscow was summoned to the Russian Foreign Ministry on Tuesday.

The Finnish ambassador has been given a note to close the St Petersburg Consulate General's offices in Murmansk and Petrozavodsk as of 1 July.

Finland's consular presence in Russia is being reduced because it does not correspond to the current state of relations - responsibility for this lies with Helsinki - Russian Foreign Ministry

#source

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
t.me/+B6ixfOM5VkxhO…

@Slavyangrad
Join SLG [emoji832] Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Taarifa zinasema Kipigo cha Kiev Kilikuwa kikubwa sana
wanasema Mrusi alipiga Makao ya Jeshi Huko ndani walijaa Viongozi wakijeshi wa NATO
Sasa Wengi wako hali mbaya Na Wanakikbizwa Ujeruman
View attachment 2640770


According to russian telegram channels, a military headquarter was hit in Kiev, which was staffed NATO instructors of the operations in Ukraine.

Now a group of NATO officers wounded in this strike, who are in serious condition, have just been evacuated to Berlin from Rzeszow.
safi sana
 
Back
Top Bottom