Somoche
Platinum Member
- Oct 6, 2010
- 7,095
- 9,755
Awaue wale jamaa wote atulievita inakwenda kubaya sana kwa putin , kupigana na jirani yako vita inakwenda mpaka kwa watoto
Awaue wale jamaa wote atulievita inakwenda kubaya sana kwa putin , kupigana na jirani yako vita inakwenda mpaka kwa watoto
Poor Biden[emoji24]Moscow pamewaka moto Leo[emoji91][emoji91]
[emoji845]Moscow Hit By Drone Attack, Several Buildings Damaged
The city’s mayor said 'no one has been seriously injured' during the attack, which came just hours after yet another massive Russian aerial assault against Kyiv.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vyovote vile itakavyokuwa,vita itakuwa mbaya zaidi kwa Ukraine!vita inakwenda kubaya sana kwa putin , kupigana na jirani yako vita inakwenda mpaka kwa watoto
pia nimefatilia kuna uwezekano urusi kausika mwenyewe kujishambulia ,ili apate sababu ya kutupa makombola mengi zaidi ukraineVyovote vile itakavyokuwa,vita itakuwa mbaya zaidi kwa Ukraine!
Hivi vidrone ambavyo havileti madhara zaidi ya uharibifu kidogo viko symbolic tu,lengo ni kumtusi/kumdhalilisha Russia!
Njaa ni mwana ukome🤣Itakuwa majirani walimwambia Mbepari, Aisee saidia huku njaa ni kali sana.
Akamjibu jirani, Kwani sie huoni tuko huku Ukraine, Mrusi anatudhalilisha? Pambaneni na hali yenu.
Jirani kuona hivyo, akakonkludi kwamba kumbe supapawa ni mmoja tu kwa sasa; better to join a winning side. Umeelewa, au nikuitie kp kipanya44 ?
Na Urusi huenda atashindiwa pale Marekani atakapoharibu uchumi wa dunia makusudi,baadae atailazimisha dunia kumsujudia shetani Kwa lazimaKitu nimekiona katika vita hii kwanza ni mpango wa Marekani kutaka kuidhofisha Russia, pili kuharibu soko la mafuta ya urusi. Tatu kuweza kuitawala ulaya na kuwa tegemeze Kwa Marekani kikamilifu. Akimalizana na urusi atafuatia mchina. Akikwama Kwa Mrusi basi Marekani atakuwa amepoteza ushawishi wake ulaya na pengine duniani ila Kwa sababu Shetani ana nguvu duniani Marekani lazima ashinde Ili Shetani utukufu wake uonekane Kwa kisingizio Cha demokrasia na utawala Bora. Just imagine unasisitiza wanaume waoane harafu watu wataongezekaje.
Huna akiliMuseveni alichokifanya Leo,huenda ndio mwanzo wa mwisho wa utawala wake!
Kwahyo kabla ya kujishambulia alikuwa hana sababu ya kutupa makombora Ukraine? Then russia watakuwa vichaa.pia nimefatilia kuna uwezekano urusi kausika mwenyewe kujishambulia ,ili apate sababu ya kutupa makombola mengi zaidi ukraine
Leo wameipatapata fresh [emoji41]Kumbe moscow ni peupe tu panaingilika!? Drone zinapiga tu majengo kama Kyv.
unachowaza wewe kuusu ili shambulio ni sahihi, ila we au mimi si robot ,.una au nina uwezo wa kureasoning angles nyingiK
Kwahyo kabla ya kujishambulia alikuwa hana sababu ya kutupa makombora Ukraine? Then russia watakuwa vichaa.
Vijana hizi akili huwa mnatoa wapi?
Shida siyo kuwaza shida ni kuwaza kipuuzi. Mpaka hapo Urusi alikuwa na uwezo wa kushambulia kwa idadi yoyote ya makombora kwani hajaanza jana wala juzi. Kipi kilifanya uwaze ajishambilie ili kupata sababu?unachowaza wewe kuusu ili shambulio ni sahihi, ila we au mimi si robot ,.una au nina uwezo wa kureasoning angles nyingi
AsanteHuna akili
Vizuri uje na video au picha sio maneno matupuKumbe moscow ni peupe tu panaingilika!? Drone zinapiga tu majengo kama Kyv.
Mkuu,usiumize kichwa sana ,hiyo sababu imekuwa ikitumiwa na pro Russia mara nyingi sana Ili kumfichia aibu waliyemdhania kuwa ni malaika wao!Shida siyo kuwaza shida ni kuwaza kipuuzi. Mpaka hapo Urusi alikuwa na uwezo wa kushambulia kwa idadi yoyote ya makombora kwani hajaanza jana wala juzi. Kipi kilifanya uwaze ajishambilie ili kupata sababu?