DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Uyo mk254 ndo mkenya pekee asiye na akili[emoji1]Makanjanja hao wanaongozwa na MK254 (Mkenya Country code 254)!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uyo mk254 ndo mkenya pekee asiye na akili[emoji1]Makanjanja hao wanaongozwa na MK254 (Mkenya Country code 254)!!
Huyo ni zaidi ya juhaJuha kwenye ubora wake [emoji74][emoji74][emoji74].
Pumbavu!Juha kwenye ubora wake [emoji74][emoji74][emoji74].
[emoji38][emoji38][emoji38] Zelensky anaishi kama nguchiroAna wakati mgumu sana. NATO wanamtafuta. Marekani anamtafuta. Valerii Zaluzhnyi anamtafuta. Raia wa Ukraine wanamtafuta. Putin anamtafuta. Kinzhal zinamtafuta. Ulaya yote wanamtafuta.
Na wametishia raia wasipost picha za urusi walikopiga makombora ili wapost propaganda[emoji1]Mambo ni yale yale kwamba tume-intercept missiles 19 kati ya 20; but Mrusi anashutumiwa kutumia makombora ili kuteketeza miji 20 at the same time!
Hata kapichaRussia baada ya kuona Kinzal zinadunguliwa sasa Leo karusha Iskander 11 na zote zimedunguliwa....
Russia kabakiza kitu Gani hajagusa ktk silaha zake???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Halafu tuambie kwa nini raia wameeambiwa wasipost jinsi Kiev inavyo fumuliwa[emoji298]Last night Ukraine’s air defense units destroyed 36 out of 40 Russian Kh-101/Kh-555 cruise missiles and 30 out of 38 Shahed-136/131 suicide drones, according to the updated information from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jumla wamechinjwa wangapi tangu operation ianzeHii ni Jana tu, zaidi ya mia nne walichinjwa 🥱🥱🥱🥱View attachment 2640053
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jamaa wewe ni Muongo hata Chemical Ally hafuati[emoji298]Russia’s military death toll in Ukraine has reached 207,440 troops. In the past 24 hours, Ukrainian forces have shot down 51 enemy missiles and 38 unmanned aerial vehicles.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanaweweseka tu juzi walishambulia mji wa mpakani wa urusi hawakufanikiwa chochote leo wameshambulia Moscow na hawatapata faida yoyoteKwanini Ukraine anakana kushambulia jengo huko Moscow kwa drones!
vita inakwenda kubaya sana kwa putin , kupigana na jirani yako vita inakwenda mpaka kwa watotoNaona moja ndio imepenya,hapo hapo ukraine amekana kuhusika!
Yaani anashupaza wanaume waoane shetani huyuKitu nimekiona katika vita hii kwanza ni mpango wa Marekani kutaka kuidhofisha Russia, pili kuharibu soko la mafuta ya urusi. Tatu kuweza kuitawala ulaya na kuwa tegemeze Kwa Marekani kikamilifu. Akimalizana na urusi atafuatia mchina. Akikwama Kwa Mrusi basi Marekani atakuwa amepoteza ushawishi wake ulaya na pengine duniani ila Kwa sababu Shetani ana nguvu duniani Marekani lazima ashinde Ili Shetani utukufu wake uonekane Kwa kisingizio Cha demokrasia na utawala Bora. Just imagine unasisitiza wanaume waoane harafu watu wataongezekaje.