Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unamuwekea vikwazo, afu kukiwa na mabaa ya njaa ( kama ipo sina hakika) unajidai unashangaaa........
Kwanini N.korea amwekewa vikwazo?
Mimi sijamwekea vikwazo. Labda wewe, je??
Menginevyo kuna vikwazo vilivyoamriwa na Baraza la Usalama la UM (Security council). Je unajua kwamba Urusi, China, Marekani, Ufaransa na Uingereza zinapaswa ama kukubali au kuvumilia maazimio ya baraza hiyo?
Labda waliamua kwa sababu Korea Kaskazini ilivunja mikataba ya kimataifa kuhusu silaha za nyuklia???

Ona
The UN Security Council has passed a number of resolutions since North Korea's first nuclear test in 2006.[5]
  • Resolution 1718, passed in 2006, demanded that North Korea cease nuclear testing and prohibited the export of some military supplies and luxury goods to North Korea.[6][2] The UN Security Council Sanctions Committee on North Korea was established, supported by the Panel of Experts.[7][8][9]
  • Resolution 1874, passed after the second nuclear test in 2009, broadened the arms embargo. Member states were encouraged to inspect ships and destroy any cargo suspected of being related to the nuclear weapons program.[2][5]
  • Resolution 2087, passed in January 2013 after a satellite launch, strengthened previous sanctions by clarifying a state's right to seize and destroy cargo suspected of heading to or from North Korea for purposes of military research and development.[2][5]
  • Resolution 2094, passed in March 2013 after the third nuclear test, imposed sanctions on money transfers and aimed to shut North Korea out of the international financial system.[2][5]
  • Resolution 2270, passed in March 2016 after the fourth nuclear test, further strengthened existing sanctions.[10] It banned the export of gold, vanadium, titanium, and rare earth metals. The export of coal and iron were also banned, with an exemption for transactions that were purely for "livelihood purposes."[11][5]
  • Resolution 2321, passed in November 2016, capped North Korea's coal exports and banned exports of copper, nickel, zinc, and silver.[12][13] In February 2017, a UN panel said that 116 of 193 member states had not yet submitted a report on their implementation of these sanctions, though China had.[14]
  • Resolution 2371, passed in August 2017, banned all exports of coal, iron, lead, and seafood. The resolution also imposed new restrictions on North Korea's Foreign Trade Bank and prohibited any increase in the number of North Koreans working in foreign countries.[15]
  • Resolution 2375, passed on 11 September 2017, limited North Korean crude oil and refined petroleum product imports; banned joint ventures, textile exports, natural gas condensate and liquid imports; and banned North Korean nationals from working abroad in other countries.[16]
  • Resolution 2397, passed on 22 December 2017 after the launch of a Hwasong-15 intercontinental ballistic missile, limited North Korean crude oil and refined petroleum product imports to 500,000 barrels per year, banned the export of food, machinery and electrical equipment, called for the repatriation of all North Korean nationals earning income abroad within 24 months. The resolution also authorized member states to seize and inspect any vessel in their territorial waters found to be illicitly providing oil or other prohibited products to the Democratic People's Republic of Korea.[17]
 
Kauli ya kipumbavu, kijinga na kishenzi....hii ni nchi yenye mfumo tofauti wa uongozi...Hilo neno 'dikteta' wapumbavu na wajinga wote waliokuwa brainwashed ndio ambao hupenda kulitumia....Huo unene wa Kim unakuhusu Nini wewe?! Halafu huyo Mfalme 'wenu' King Charles ambaye ni Head of State amechaguliwa na watu wangapi?!
Wengi wao ni ma copy cats wakisikia neno lolote kutoka western main stream media specifically USA na wao wanalidaka kama simaku - ukiwahoji ni lini Saudi Arabia iliwahi kupiga kura za kuchagua viongozi wa Taifa hilo - uwezi kupata jibu kwa sababu Merikani haijawahi kubatiza Saudia kwamba nalo vile vile ni Taifa lenye mlengo wa kidikteita na baadhi ya waswahili humu wako kimya kabisa - kazi za baadhi ya waswahili ni kumsema sema vibaya Kim.

Kwani Kim aliwahi kulikwaza nini bara la Afrika au kuingilia katika mambo yao ya ndani?? Tatizo kubwa hapa ni kwamba US ikichukia taifa fulani kuna baadhi ya members wa JF nao wanakuwa bendera fuata upepo tu, basi.

We fikiria US inakwenda maelfu ya KM kutoka Merikani kuja South Korea na kujifanya wapo kwenye mazoezi ya kijeshi na Korea kusini kumbe lengo lao hasa ni kwenda kumchokoza Kim waone atasema nini, Kim aki-react wanamuona ni mbaya wanataka Dunia nzima nayo imchukie Kim - akili gani hizi. Tusije tukajidanganya Kim naye emekwisha jitayarisha vilivyo kijeshi kukabiriana na uchokozi wa Merikani na Korea Kaskazini possibly na Japan.
 
Vitali Klitschko explained that the reason for the nighttime vibrations in Kiev were super-powerful Chub weapon going to the front:

“The weapons go to the front. Powerful enough to win against Russia. The vibrations are connected with the weapons, ”Klitschko explained.

On the night of May 28, residents of Kiev and the region reported on social networks about the earthquake. Seismologists denied this information.
 
Tulijadiliana jana swali kama China inaweza kuchukua gesi inayokataliwa na Ulaya. Jibu: kwa sasa hapana, kwa sababu hakuna bomba la kuipeleka China.
wengine walipiga kelele sana wakirejelea bombo lililopo kati ya Urusi na China.
Ili ieleweke kwa sababu haisaidii tuangalia ramani hiyo:
1685358521318.png

Tunaona "power of Siberia 1" inatuma gsi kutoka maeneo ya Chayanda kwenye mashariki ya Siberia hadi China (38 bcm/mwaka). Ila gesi ya hapa haiwezi kupelekwa Ulaya maana hakuna njia. Kinyume gesi kwenda Ulaya imetoka hasa kwenye kaskazini ya Siberia - lakini hadi sasa hakuna njia ya kusafirisha gesi hiyo hadi China.
Bomba la "Power of siberia 2" ilipangwa miaka iliyopita kutoka kaskazini hadi China lakini haikujengwa hadi sasa.
Ikijengwa inaweza kuchukua sehemu ya gesi iliyokwenda Ulaya kabla ya vita. Putin na Xi walitangaza tayari mwaka 2022 kwamba wanataka kujenga bomba hilo.

Ila juzi waziri mkuu wa Urusi Mikhail Mishustin alirudi kutoka Beijing BILA MAPATANO kuhusu ujenzi. Watazamaji wanaona China haina haraka inataka kutumia nafasi kulazimisha Urusi kukubali bei za chini zaidi. Maana Urusi haina njia mbadala ya kuuza gesi hiyo kutoka kaskazini wakati uhusiano na wateja wa Ulaya haupo.
Warusi wenyewe walikadiria kwamba ujenzi wa bomba litahitaji miaka 5 hivi.
Ni miaka 5 ambako Putin ataendelea kukosa mapato yale.
 
Ona taarifa rasmi ya WFP (World Food Pogramme ya United Nations; wanatuma chakula Korea kaskazini, wanaendelea kukusanya pesa kutoka nchi nyingi ili waweze kuendelea na kazi hiyo)

Democratic People's Republic of Korea​


School girls eating nutritious meals provided by WFP to alleviate child malnutrition in DPR Korea
Photo credit

10.7 million people are undernourished 18% of children are stunted (impaired growth and development due to chronic malnutrition) 25.9 million population
Usilete hizi story za kienyeji hivi unajua njaa wewe???
 
Balozi wa Russia pale uk anasema ..... Russia bado hawajaanza vita ukraine

................

Russia’s ambassador to the UK, Andrey Kelin, warned Western countries against committing more military support for the Kiev regime as part of the ongoing proxy war with Moscow, saying this would be fraught with further dangerous escalation of the conflagration.

"Russia has not even begun to “act very seriously” in Ukraine, Andrey Kelin, Russia’s ambassador to the UK, stated in an interview with the BBC.
 
Vita ya Ukraine haitaisha hadi Marekani aseme iishe...

Mwingine ambaye anaweza kuwafanya Urusi wajifikirie ni China kama atapunguza kuwasupport kiuchumi...

China kwa sasa hata anzisha vita na Taiwan
Ni kweli USA ndio inaweza maliza vita hii,lkn sio kwa sababu Ina weza kuizuia Urusi isiivuruge Ukraine,Bali itakapoacha kupeleka silaha Ukraine ndipo Ukraine haitaweza kupigana.
Kwa maana hiyo USA Inachangia kuiharibu Ukraine.
 
.

DC Scholars Realize De-Dollarization Trend Unstoppable
Kampeni bado inaendelea

The undisputed dominance of the US is receding: even though nations across the world are unlikely to refuse the greenback in the near future, the trend is clear, DC-based think tank Responsible Statecraft has warned.

The de-dollarization trend seems to be unstoppable, as countries of the world have been striving to reduce their dependence on the greenback, concludes a Washington, DC think tank, blaming the development on the US' weaponization of its currency.

The think tank noted that the process of "de-dollarization" is gaining steam, with the countries of the Global South looking for alternatives to the greenback. The US scholars refer to world statistics indicating that the share of global reserves held in US dollars has contracted from 73% in 2001 to 58% in 2023.
 
Iran na marekani bado wanatafutana

You are damn wrong to be present in our region,” the commander said, speaking an official ceremony in Dezful, southwestern Iran this week commemorating the city’s resistance during the Iran-Iraq War of 1980-1988. “The security of the Persian Gulf is assured by Iran and the countries of the region, and there is no need for you or any other country to be present.”
 
Erdogan: mashoga hawaitajiki turkey

Gays not welcome – Erdogan
The Turkish leader vowed to protect “sacred” family values in his victory speech on Sunday
Gays not welcome – Erdogan
President Recep Tayyip Erdogan delivers a speech to supporters outside his residence in Istanbul,

May
President Recep Tayyip Erdogan, who portrays himself as a defender of traditional Islamic values,

has once again labeled the opposition as ‘LGBT’, and insisted that liberal Western ideology will never infiltrate his ruling party or its nationalist allies.

Türkiye’s Supreme Election Council confirmed Erdogan’s decisive victory over Kemal Kilicdaroglu on Sunday evening.

In the run-up to the election, Erdogan repeatedly accused Kilicdaroglu and his allies of being pro-LGBT, and voiced similar charges in his victory speech in front of a jubilant crowd in Istanbul
 
Tulijadiliana jana swali kama China inaweza kuchukua gesi inayokataliwa na Ulaya. Jibu: kwa sasa hapana, kwa sababu hakuna bomba la kuipeleka China.
wengine walipiga kelele sana wakirejelea bombo lililopo kati ya Urusi na China.
Ili ieleweke kwa sababu haisaidii tuangalia ramani hiyo:
View attachment 2639193
Tunaona "power of Siberia 1" inatuma gsi kutoka maeneo ya Chayanda kwenye mashariki ya Siberia hadi China (38 bcm/mwaka). Ila gesi ya hapa haiwezi kupelekwa Ulaya maana hakuna njia. Kinyume gesi kwenda Ulaya imetoka hasa kwenye kaskazini ya Siberia - lakini hadi sasa hakuna njia ya kusafirisha gesi hiyo hadi China.
Bomba la "Power of siberia 2" ilipangwa miaka iliyopita kutoka kaskazini hadi China lakini haikujengwa hadi sasa.
Ikijengwa inaweza kuchukua sehemu ya gesi iliyokwenda Ulaya kabla ya vita. Putin na Xi walitangaza tayari mwaka 2022 kwamba wanataka kujenga bomba hilo.

Ila juzi waziri mkuu wa Urusi Mikhail Mishustin alirudi kutoka Beijing BILA MAPATANO kuhusu ujenzi. Watazamaji wanaona China haina haraka inataka kutumia nafasi kulazimisha Urusi kukubali bei za chini zaidi. Maana Urusi haina njia mbadala ya kuuza gesi hiyo kutoka kaskazini wakati uhusiano na wateja wa Ulaya haupo.
Warusi wenyewe walikadiria kwamba ujenzi wa bomba litahitaji miaka 5 hivi.
Ni miaka 5 ambako Putin ataendelea kukosa mapato yale.
Hii ramani ya mwaka gani?? Hivi huna habari kwamba mtu yeyote anaweza kitumia apps za kudigitally manipulate picha/Audio na video clips kwa malengo ya propaganda/kisiasa - hivi kwa akili za kawaida inaingia akilini kwamba member mmoja anatujia na horror stories kuhusubomba la gesi la kutoka Urusi kwenda Uchina - huna even an iota kwa kile kinacho endelea badala yake huko overly obsessed kuzisema vibaya na former and current communists Nations kama nini sijui kwa nini - mara Urusi mara Uchina mara North Korea ??

Eti North Korea wanakufa njaa, una ushahidi gani, hata picha zenyewe ukiangalia style za nywele na mavazi ya wanafunzi zinaonekana ni za kizamani na si lazima ziwe zimipigwa Korea Kaskazini, Korea kaskazini haiwezi kuruhusu ujinga huu.
 
[emoji91][emoji91][emoji91]REPORTS ZA MASHAMBULIZI YA JANA USIKU

[emoji635][emoji1255][emoji779]️ Russian Ministry of Defense : at night, an attack was made on enemy targets at airfields, all designated targets were destroyed.

Command posts and radar posts, as well as aircraft, storage facilities with weapons and ammunition of the Armed Forces of Ukraine were hit.
 
[emoji635][emoji1255][emoji298]The Russian army hit the air base of the Armed Forces of Ukraine in the Khmelnytsky region, 5 aircraft were hit, warehouses with bombs and fuel are on fire

[emoji3502]"At the moment, work is underway to contain fires in warehouses of fuel and lubricants and storage of combat material assets," the regional military administration said.
[emoji3502]"Disabled 5 aircraft.
Restoration work on the runway has begun.
[emoji3502]Information about the victims is being specified.
IMG_20230529_150526_296.jpg
 
Urusi kashambulia uwanja wao wa ndege na kuharibu ndege tano pamoja na makombora kutoka uingereza a.k.a (storm shadow)

[emoji635][emoji1255] Judging by the reports of Gauleiter Khmelnitsky, who immediately mentions 5 aircraft "damaged" during the strike on the airfield, the real damage after night arrivals turned out to be much greater - the enemy rarely admits such damage and the appearance of such reports rather indicates that there is a process of underestimation of much more damage.

Probably, it was about a strike on aircraft that launched British missiles. Probably, stocks of such missiles were also destroyed at the airfield.
 
Kuna mazito yametokea na yanaendelea kutokea huko Kiev asubuhi na mchana wa leo.....watu wanakimbia hovyo mitaani ...wingu la drones za Russia linafanya maangamizi....mtangazaji wa BBC anakiri kuwa hawaruhusiwi kuonesha picha za maafa...duh..
 
Back
Top Bottom