Bakhmut ilikua ni mapigano kati ya jeshi la Ukraine na Private military company, wagner.
Jeshi la ukraine limepata mafunzo kwa miaka mingi kutoka nchi washirika wa NATO, na hata wakati mgogoro umeanza nchi za NATO ndio zimekua kipaumbele kuisaidia Ukraine vifaa na intelligence, hivyo technically ilitegemewa jeshi la Ukraine lipigane kwa "NATO standards"
View attachment 2638060
View attachment 2638059
Jeshi la ukraine ambalo vyanzo vinasema ni la 15 kwa ubora duniani
View attachment 2638087
Jeshi la Ukraine ambalo kuna ripoti ya miaka ya nyuma ilisema ni la 9 kwa military power Europe
View attachment 2638089
Wakati wewe unajiuliza hivyo, mimi najiuliza Pamoja na capacity ya jeshi la Ukraine, nini kinapelekea linashindwa kukomboa mji ambao umeshikiliwa na Private military company ambayo ina recruit wafungwa kutoka gerezani?
Wagner hii ambayo ina miaka 9 toka ianzishwe mwaka 2014
View attachment 2638080
Kwa maana hiyo, wakati wagner inaanzishwa, tayari nchi za NATO zinaanza kuipa msaada wa mafunzo jeshi la Ukraine.
View attachment 2638101
Private military company hii inayorecruit wafungwa mda mfupi na kuwapeleka frontline, inawezaje kushinda jeshi la nchi ambalo linashika nafasi ya 15 kidunia mpaka kupelekea Ukraine kupoteza zaidi ya wanajeshi 70K+ kuipigania Bakhmut?
View attachment 2638085
View attachment 2638103
Huku wagner wao kupata loss ya wanajeshi 20K?
View attachment 2638083
Jeshi la Ukraine ambalo limepewa sapoti na ya mafunzo na vifaa kutoka NATO, liliwashindwa wachechnya mpaka Mariupol ikatwaliwa na sasa limewashindwa Wagner mpaka Bakhmut imetwaliwa.
Russia ingekua inapigana na nchi za NATO vita isingeenda kwa mwenendo huu, wengi walifikiri Russia angetumia nguvu kubwa against ukraine ila ikawa kinyume na matarajio.
Aljazeera washawahi kujiuliza
View attachment 2638113