Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Angalia hii video uone hata Marekani ni madiktetaView attachment 2639067
Angalau kama wako, huko dikteta ni mwembamba ilhali watu wake wanateswa na unene....
1685349048180.png
 
kweli ww ni MCHUMIA TUMBO wa kiwango cha PHD umewazidi hata hawa chawa wetu akina Mwijaku hasa...asilimia 99...wakati miundombinu yote kushney..!!!...over 70% ya power generation infrastructures..substations....etc...are completely destroyed...!!...dams kibao zimepulizwa...miundombinu ya mifumo ya maji yote imeteketezwa...sasa hakuna Reli inayotoka point A kwenda B...sababu hapo ktkt unakuta mataluma/bridges.. yalishafunuliwa yote...nchi imekuwa hohe hahe yaani....uchumi umeshuka hakuna wanachofanya labda hiyo biashara ya grain ambayo ni kwa matakwa ya Russia...
yaani Ukrein haina tofauti na Libya...sema kwa sababu ni Wazungu tena chini ya Mmarekani hutakaa usikie...lakini in no time inaenda kuwa ni failed states...na hapa Waukrein washukuru Mungu wanapigana na Russia nchi yenye kufuata mifumo ya Sheria na iliyojaa utu...laiti kama Russia ndio angekuwa Mmarekani...sasa hv nchi yote ingekuwa vumbi yaani manuliwa manuliwa huko

If yua clever enough Why the cost of rebuilding Ukrein iko kubwa na ya kutisha namna hiyo...????...sasa inakaribia a Trillion dolar....?...hebu niambie tulianzaga kuambiwa cost ni $400 billion sasa inakwenda to 1 Trillion dolar....hv kama nchi haiharibiwi hz cost zinaletwa na nn...???
Punguza kujishushia heshma humu ndani aisee...ukiandikaga hapa muda fulani unaonekana kama una kaulewa kwa mbali kumbe ni bora hata ya Kipanya na Vunjo humu ndani.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mkimjibu huyo punda mnamjaza kichwa. Mpumbavu huwa hajibiwi
 
View attachment 2639058
Dikteta mnene atachaguliwa na watu wake wenye njaa kwa asilimia zisizopungua 185!
Kauli ya kipumbavu, kijinga na kishenzi....hii ni nchi yenye mfumo tofauti wa uongozi...Hilo neno 'dikteta' wapumbavu na wajinga wote waliokuwa brainwashed ndio ambao hupenda kulitumia....Huo unene wa Kim unakuhusu Nini wewe?! Halafu huyo Mfalme 'wenu' King Charles ambaye ni Head of State amechaguliwa na watu wangapi?!
 
Huyu si mfalme wangu. Anachekesha kwa namna nyingine. Ila dikteta mnene katika nchi ya njaa ni jambo ambalo siwezi kusahau . . . .
(ukipendelea kumwita dikteta "kiongozi mkuu", au "mteule", au "mwanga wa taifa" - sina neno. Endelea tu.)
 
Wewe ushawahi kwenda Korea ukakuta watu hawana chakula?au basi wewe ni robot
Ona taarifa rasmi ya WFP (World Food Pogramme ya United Nations; wanatuma chakula Korea kaskazini, wanaendelea kukusanya pesa kutoka nchi nyingi ili waweze kuendelea na kazi hiyo)

Democratic People's Republic of Korea​

School girls eating nutritious meals provided by WFP to alleviate child malnutrition in DPR Korea
Photo credit

10.7 million people are undernourished 18% of children are stunted (impaired growth and development due to chronic malnutrition) 25.9 million population
 
Labda angalia hiyo?
View attachment 2639077

Bado namwona dikteta mnene anayetazama kwa furaha kitafunio chake cha asubuhi ilhali watumishi wake wembamba wanapaswa kucheka naye...

(BTW: naona pia habari kwamba Korea Kaskazini imeomba China kuzuia mizaha juu ya "Kim mnene" hivyo kuna maneno yaliyopigwa marufuku sasa kwenye mitandao ya China . . .

ona China clamps down on Kim Jong-un 'fatty' jokes )
Wape nondo zao mkuu, nafuatilia nukta Moja baada ya nyingine [emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ona taarifa rasmi ya WFP (World Food Pogramme ya United Nations; wanatuma chakula Korea kaskazini, wanaendelea kukusanya pesa kutoka nchi nyingi ili waweze kuendelea na kazi hiyo)

Democratic People's Republic of Korea​

School girls eating nutritious meals provided by WFP to alleviate child malnutrition in DPR Korea
Photo credit

10.7 million people are undernourished 18% of children are stunted (impaired growth and development due to chronic malnutrition) 25.9 million population
Uzuri unawapa facts with evidence!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yaani na wewe wa kuamini kwamba Urusi apigane na Ukraine mwaka mzima na nusu? Putin angekuwa na akili angeachana na hii vita haina uhai kwa Taifa la Urusi.

Sasa mzee anatembea na Ramani ya Urusi ya karne ya 15 hadi 18 kama siyo kudata ni nn ? anakomboa majimbo yote..
Vipi Israel wanaodai pale ni kwao kwa kigezo cha maandiko hata kabla yesu hajazaliwa? Karne ya 15 si jana tu hio, na Israel ana sapotiwa na hao NATO na anazidi uvamizi.
 
Jana Taliban wameshambulia border posts za Iran. Kuna majeruhi na waliokufa ila kwa kawaida mipaka ya Iran inalindwa na recruits. Ni muda sasa wa mashabiki humu kuilaumu Marekani tena kwenye mgogoro huu, Iran na Afghanistan huwa zinagombea maji ni kama mgogoro wa Ethiopia na Egypt.

Taliban haijawa professional military hivyo wanaanzisha fujo kiholela kwenye mipaka na majirani hawaipendi kwa kuwa haina order wahuni mpakani wanaweza amua washambulie bila kupokea maelezo kutoka juu. Kwa sasa Taliban iko na training ila muda bado.
Iran inawavumilia

Tudeal kwanza na [emoji1255] na RUSSIA [emoji635] ila sisi nani mpaka tuwalaumu US kwani sisi tunanyadhifa zipi pale MEHRABAD

Shida mnapenda kulisha watu maneno kama IRAN [emoji1130] hua anasema US anahusika kwa namna A ama B sisi unataka tubishe kama nani

Hata ule mwaka drone ya US Ile eagle [emoji1659] kama sijakosea ilipopolewa Kule maeneo ya ghuba ya hormuz

IRAN [emoji1130] walisema wameitungua drone ya US ila US wakapinga katakata mwisho US akaanza kupiga kelele arejeshewe kimeo chake

Nahisi aliregeshewa ila sidhanii mwisho IRAN [emoji1130] anaongea ukweli nusu lakini US anaongea uongo Kamili US sio wakuaminika kabisa

Ikianza kaunta offensive tuambiane MKUU mimi nimekaa pale
 
Ona taarifa rasmi ya WFP (World Food Pogramme ya United Nations; wanatuma chakula Korea kaskazini, wanaendelea kukusanya pesa kutoka nchi nyingi ili waweze kuendelea na kazi hiyo)

Democratic People's Republic of Korea​

School girls eating nutritious meals provided by WFP to alleviate child malnutrition in DPR Korea
Photo credit

10.7 million people are undernourished 18% of children are stunted (impaired growth and development due to chronic malnutrition) 25.9 million
Unamuwekea vikwazo, afu kukiwa na mabaa ya njaa ( kama ipo sina hakika) unajidai unashangaaa........
Kwanini N.korea amwekewa vikwazo?
 
Back
Top Bottom