Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

UN Helping Russian Bank With SWIFT Bypass — Official

The UN continues to work on ensuring that Russia’s requirements in the Black Sea grain deal are implemented, including removing obstacles for banking operations involving Russian agricultural exports, spokesman Stephane Dujarric said on Monday.

According to the official, the organization aims to facilitate transactions for Russian state agricultural lender Rosselkhozbank, which was disconnected from the SWIFT payment system as part of Ukraine-related sanctions last year. Dujarric said there is an opportunity for the bank to conduct business without SWIFT.

Rosselkhozbank’s reconnection to SWIFT is among the conditions Russia has stated for its continued participation in the Black Sea grain initiative. The deal guarantees the safe export of Ukrainian grain through the Black Sea but also intends to remove obstacles to Russian agricultural exports.

Subscribe to RT
 
Kwanza unajua matumizi ya gas viwandani na nyumbani maana unaongea kitu usichokielewa kabisa.

Yani mbadala wa gas iwe solar au upepo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema muhandisi mkuu - ni mifano gani ambako umeme wa sola, upepo, maji haiwezi kuchukua nafasi ya gesi?
 
Kwa iyo kukaa kote mjini ina maana ujui gas ina umuhimu gani na matumizi yake kwenye nchi.

*Sasa chuma, bati, glass unayeyusha na nini kiwandani?

  • majumbani unapikia na nini ?
  • hospital ile mitungi ya kuwasaidia watu kupumua uwa inajazwa nini?

*Viwandani matumizi ya gas ni mengi sana yani nikikuandikia hapa basi itakuwa balaa usione vitu vinatoka tu kiwandani.

*Bila gas sabuni unatengenezaje.

*Au unajua gas ni kwa ajili ya kuzalisha umeme tu kama ilivyo pale ubungo.

*Bila gas madawa unatengenezaje.

Sasa hapo maji au solar vinachukua nafasi gani hapo?
 
Jana Taliban wameshambulia border posts za Iran. Kuna majeruhi na waliokufa ila kwa kawaida mipaka ya Iran inalindwa na recruits. Ni muda sasa wa mashabiki humu kuilaumu Marekani tena kwenye mgogoro huu, Iran na Afghanistan huwa zinagombea maji ni kama mgogoro wa Ethiopia na Egypt.

Taliban haijawa professional military hivyo wanaanzisha fujo kiholela kwenye mipaka na majirani hawaipendi kwa kuwa haina order wahuni mpakani wanaweza amua washambulie bila kupokea maelezo kutoka juu. Kwa sasa Taliban iko na training ila muda bado.
Iran inawavumilia

TG channel ya Ukraine inaeleza kuwa Kuna Bunker moja muhimu ilifumuliwa jana usiku na kusababisha tetemeko la ardhi . Tuendelee kusikiliza sijui kama mjusi kasalimika.
#раскладка
The telegram version of the Cartel channel that the Russians hit bunkers in the direction of Kiev with something more powerful at night and under the cover of a swarm of kamikaze UAVs, because of this, the residential buildings of Kiev residents shook, looks much more realistic and plausible than the outrageous statement of the mayor of Kiev Vitaliy Klitschko. He stated that the cause of the vibration was:
“This weapon goes to the front. Pretty powerful. And maybe the vibration is related to this, and not to the earthquake.

We are waiting for another exculpatory version from the authorities.
Kwa anayejua kirusi someni hii hapa
#раскладка
Версия телеграм канала Картель, что россияне ночью били чем-то более мощным по бункерам в киевском направлении и под прикрытием роя БПЛА камикадзе, из-за этого трясло жилые дома киевлян, выглядит куда реалистичней и правдоподобней, чем зашкварное заявление мэра Киева Виталия Кличко. Он заявил, что причиной вибрации стало:
«Это оружие идет к фронту. Довольно мощное. И может быть вибрация связана с этим, а не с землетрясением».

Ждем очередную оправдательную версию от власти.
 
Kwa iyo kukaa kote mjini ina maana ujui gas ina umuhimu gani na matumizi yake kwenye nchi.

*Sasa chuma, bati, glass unayeyusha na nini kiwandani?

  • majumbani unapikia na nini ?
  • hospital ile mitungi ya kuwasaidia watu kupumua uwa inajazwa nini?

*Viwandani matumizi ya gas ni mengi sana yani nikikuandikia hapa basi itakuwa balaa usione vitu vinatoka tu kiwandani.

*Bila gas sabuni unatengenezaje.

*Au unajua gas ni kwa ajili ya kuzalisha umeme tu kama ilivyo pale ubungo.

*Bila gas madawa unatengenezaje.

Sasa hapo maji au solar vinachukua nafasi gani hapo?

Kwa iyo kukaa kote mjini ina maana ujui gas ina umuhimu gani na matumizi yake kwenye nchi.

*Sasa chuma, bati, glass unayeyusha na nini kiwandani?

  • majumbani unapikia na nini ?
  • hospital ile mitungi ya kuwasaidia watu kupumua uwa inajazwa nini?

*Viwandani matumizi ya gas ni mengi sana yani nikikuandikia hapa basi itakuwa balaa usione vitu vinatoka tu kiwandani.

*Bila gas sabuni unatengenezaje.

*Au unajua gas ni kwa ajili ya kuzalisha umeme tu kama ilivyo pale ubungo.

*Bila gas madawa unatengenezaje.

Sasa hapo maji au solar vinachukua nafasi gani hapo?
Mkuu amini usiamini - Zama za Mawe yamekwisha siku hizi (angalau katika sehemu kubwa ya Dunia, hata kwenye vichwa vingi)
* Kioo: Developments in all-electric glass melting

Developments in all-electric glass melting​

All-electric glass furnaces are anything but a brand new invention. There is a rich history in melting glass only with electricity. ...

* Feleji / vyuma vyovyote: Electric arc furnace - Wikipedia (mifano mingi mno!!) na Metal melting and energy saving in different types of melting furnaces

Kupika: kweli hujawahi kuona jiko la umeme? Tena ziko nyingi!! Mfano Marekani: asilimia 68 za nyumba hutumia umeme (Infographic: Electric or Gas? What the U.S. Is Cooking On), Ulaya: 45% na asilimia inazidi kuongezeka (https://mecs.org.uk/blog/the-gas-to-electric-cooking-transition-in-the-oecd/=

mitungi ya kuwasaidia watu kupumua - je unataka kuwaua wagonjwa kwa kuwalisha gesi ya Urusi?????? Hii mitungi inajaa oksijeni !!

Kwa hiyo, muhandisi: heri rudi shuleni, anza upya.
Kila mchakato unapohitaji joto unaweza kutumia umeme.
Au kwa mfano gesi ya hidrojeni unayopata kwa njia ya kupasua molekuli za maji kwa msaada wa umeme. Gesi hii ikichomwa inazalisha joto - na maji tena. Hakuna gesi ukaa, tofauti na gesi asilia ambayo ni kabohidrati.
(samahani nikitumia maneno ambayo hujawahi kusikia...)
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji3545][emoji3545]
[emoji599][emoji599][emoji599]FLASH FLASH FLASH: Underground command center hit in capital! Kiev is under air assault! Air raid sirens are ringing. It appears that Patriot Missile Batteries are offline.

[emoji599]Update: Kiev locals are reporting that an underground explosion felt ‘like an earthquake.’ Large number of drones and missile strikes are reported. Possibly one hypersonic missile hitting an underground facility.
 
Mkuu amini usiamini - Zama za Mawe yamekwisha siku hizi (angalau katika sehemu kubwa ya Dunia, hata kwenye vichwa vingi)
* Kioo: Developments in all-electric glass melting

Developments in all-electric glass melting​

All-electric glass furnaces are anything but a brand new invention. There is a rich history in melting glass only with electricity. ...

* Feleji / vyuma vyovyote: Electric arc furnace - Wikipedia (mifano mingi mno!!) na Metal melting and energy saving in different types of melting furnaces

Kupika: kweli hujawahi kuona jiko la umeme? Tena ziko nyingi!! Mfano Marekani: asilimia 68 za nyumba hutumia umeme (Infographic: Electric or Gas? What the U.S. Is Cooking On), Ulaya: 45% na asilimia inazidi kuongezeka (https://mecs.org.uk/blog/the-gas-to-electric-cooking-transition-in-the-oecd/=

mitungi ya kuwasaidia watu kupumua - je unataka kuwaua wagonjwa kwa kuwalisha gesi ya Urusi?????? Hii mitungi inajaa oksijeni !!

Kwa hiyo, muhandisi: heri rudi shuleni, anza upya.
Kila mchakato unapohitaji joto unaweza kutumia umeme.
Au kwa mfano gesi ya hidrojeni unayopata kwa njia ya kupasua molekuli za maji kwa msaada wa umeme. Gesi hii ikichomwa inazalisha joto - na maji tena. Hakuna gesi ukaa, tofauti na gesi asilia ambayo ni kabohidrati.
(samahani nikitumia maneno ambayo hujawahi kusikia...)
Kuna kitu naona wewe ukijui ila unakimbia kimbia tu pasipo kuelewa unaongelea nini.ulikuwa unaitaji matumizi ya gas sasa nimekupa matumizi ya gas.

Gas ina matumizi makubwa sana viwandani na majumbani ila wewe unalazimisha vitu pasipo kujua.
 
Mkuu mifano yako kuhusu matumizi ya gesi zote zilikuwa sawa.
Lakini unajaribu kukimbia tulichojadili.
swali langu lilikuwa:
"ni mifano gani ambako umeme wa sola, upepo, maji haiwezi kuchukua nafasi ya gesi?"

Ukaleta mifano ya matumizi ya gesi. Hujaonyesha dalili kwamba unajua hayo yote yanawezekana kwa kutumia umeme.
Maneno yako yalikuwa "mbadala wa gas iwe solar au upepo.
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
"

Ndiyo, umeme unaweza kufanya kazi hizi. Ukiamini au usipoamini.
Umeme inaweza kuzalishwa kwa njia mbadala bila kuchafusha mazingira kwa sola, upepo, maji na mengine.
 
Mkuu amini usiamini - Zama za Mawe yamekwisha siku hizi (angalau katika sehemu kubwa ya Dunia, hata kwenye vichwa vingi)
* Kioo: Developments in all-electric glass melting

Developments in all-electric glass melting​

All-electric glass furnaces are anything but a brand new invention. There is a rich history in melting glass only with electricity. ...

* Feleji / vyuma vyovyote: Electric arc furnace - Wikipedia (mifano mingi mno!!) na Metal melting and energy saving in different types of melting furnaces

Kupika: kweli hujawahi kuona jiko la umeme? Tena ziko nyingi!! Mfano Marekani: asilimia 68 za nyumba hutumia umeme (Infographic: Electric or Gas? What the U.S. Is Cooking On), Ulaya: 45% na asilimia inazidi kuongezeka (https://mecs.org.uk/blog/the-gas-to-electric-cooking-transition-in-the-oecd/=

mitungi ya kuwasaidia watu kupumua - je unataka kuwaua wagonjwa kwa kuwalisha gesi ya Urusi?????? Hii mitungi inajaa oksijeni !!

Kwa hiyo, muhandisi: heri rudi shuleni, anza upya.
Kila mchakato unapohitaji joto unaweza kutumia umeme.
Au kwa mfano gesi ya hidrojeni unayopata kwa njia ya kupasua molekuli za maji kwa msaada wa umeme. Gesi hii ikichomwa inazalisha joto - na maji tena. Hakuna gesi ukaa, tofauti na gesi asilia ambayo ni kabohidrati.
(samahani nikitumia maneno ambayo hujawahi kusikia...)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unachekesha sana kwa kweli.ivi kuna mfanyabiashara ambaye hataki faida kweli. Gas ya hydrojen kilo moja tu inafika mpaka Tsh 15, 000.icho kiwanda cha kutumia Hydrojen kitakuwa kimetoka mbinguni.
 
Mkuu mifano yako kuhusu matumizi ya gesi zote zilikuwa sawa.
Lakini unajaribu kukimbia tulichojadili.
swali langu lilikuwa:
"ni mifano gani ambako umeme wa sola, upepo, maji haiwezi kuchukua nafasi ya gesi?"

Ukaleta mifano ya matumizi ya gesi. Hujaonyesha dalili kwamba unajua hayo yote yanawezekana kwa kutumia umeme.
Maneno yako yalikuwa "mbadala wa gas iwe solar au upepo.
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
"

Ndiyo, umeme unaweza kufanya kazi hizi. Ukiamini au usipoamini.
Umeme inaweza kuzalishwa kwa njia mbadala bila kuchafusha mazingira kwa sola, upepo, maji na mengine.
Alafu mbona ujakimbia bado maana upo pale pale kwa sababu Hydrojen ni gas na Oxygen nayo ni gas.
 
Boiler viwandani zitaendeshwa na Nini?.

Je boiler viwandani unafikir Kwa Nini wamehama kutoka kwenye makaa ya mawe, Kuni, umeme na kukimbilia gas?.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unachekesha sana kwa kweli.ivi kuna mfanyabiashara ambaye hataki faida kweli. Gas ya hydrojen kilo moja tu inafika mpaka Tsh 15, 000.icho kiwanda cha kutumia Hydrojen kitakuwa kimetoka mbinguni.
Kumbuka: kuna sehemu za dunia ambako Zama za Mawe zimewkisha... Kuna majadiliano pana sana kuhusu tekinolojia ya hidrojeni. Itakuwa nafuu mara umeme mbadala unapatikana kwa wingi. Maana changamoto ya sola na upepo ni hazipatikani kila wakati. Leo tayari Ulaya wanazima mashine za upepo kwa sababu umeme unazidi. Hapo ni chanzo cha mipango cha kuzalisha hidrojeni kwa njia ya hidrolisisi ili kuhifadhi nishati hiyo.

Kweli unapenda kuvijunia lakini hali halisi tunajadili hapa mambo ambayo hujawahi kugusa.
 
Alafu mbona ujakimbia bado maana upo pale pale kwa sababu Hydrojen ni gas na Oxygen nayo ni gas.
????? Sijui kama umeguswa na somo la fizikia maishani mwako; kimsingi kila kitu kinapatikana kama gesi kama halijoto ni sawa. Hatujajadili gesi kwa maana ya Fizikia.

Hapa tumejadili gesi asilia inayopatikana chini ya ardhi ambayo ni KABOHIDRATI. Wala hidrojeni wala oksijeni ni kabohidrati.
Tumejadili hiyo gesi asilia inayotolewa ardhini nchini Urusi na kutumiwa kama chanzo cha nishati.
wewe unachanganya mambo vibaya sana ukileta hapa mfano wa mitungi ya kuwasaidia watu kupumua jinsi ulivyofanya juu. Hii haina uhusiano wowote na gesi kutoka Urusi. Ukitumia gesi asilia kwa njia hiyo unaua watu!
 
Kumbuka: kuna sehemu za dunia ambako Zama za Mawe zimewkisha... Kuna majadiliano pana sana kuhusu tekinolojia ya hidrojeni. Itakuwa nafuu mara umeme mbadala unapatikana kwa wingi. Maana changamoto ya sola na upepo ni hazipatikani kila wakati. Leo tayari Ulaya wanazima mashine za upepo kwa sababu umeme unazidi. Hapo ni chanzo cha mipango cha kuzalisha hidrojeni kwa njia ya hidrolisisi ili kuhifadhi nishati hiyo.

Kweli unapenda kuvijunia lakini hali halisi tunajadili hapa mambo ambayo hujawahi kugusa.
Kuna kitu ukijui kuhusu gharama za nishati.natural gas ni nafuu kuliko nishati yoyote ile na pia ni salama kwa utunzaji wa mazingira.
 
Back
Top Bottom