Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kitu kujadiliwa nijambo Moja, unapozungumza jambo kabla halijanza kutumika angalia gharama. Nikupe mfano nchi nyingi Zenye bahari Kwa Nini bawatumii majii ya baharini Kwa ajili ya matumiz ya majumban na viwandani?. Unafikiri haiwezekan? . Inawezekana lkn sabuni ni gharama, huwezi kujenga plant kubwa kutoa chumvi kwenye maji huku mbadala na nafuu ukiwepo. Hayo ya hydrogen hayajaanza kuzungumzwa Leo, au unafikir Kwa nn maji hayatumiki kama mbadala wa mafuta,gas, kwenye magari?. Unafikiri haiwezekan?. Je unajua effect ya kiuchumi Hilo likifanyika?.
Kumbe wataalamu , wanauchumi, wahandisi wanoendelea kuelekea matumizi ya hidrojeni ni wajinga ila bwana mkubwa Rustem Pasha anajua kila kitu???
Pole, siamini.
Si lazima uelewe au ukubali. Kwa wengine, wajisomee kidogo hapa:
1) Why is hydrogen fuel so expensive?

2) Hydrogen - Fuels & Technologies - IEA

3) The Future of Hydrogen – Analysis - IEA
 
Huko west Europe watu wanawaza kutumia makaa ya mawe viwandani ili kukablina na uhaba wa gas halafu ww unazungumzia nishati mbadala. Utakua unaishi Dunia ya peke Yako.
Mkuu je una picha yoyote ya kuongezeka kwa nishati mbadala katika sehemu mbalimbali za Dunia??
Je unajua nchi za EU zina sehemu gani ya upepo/sola/umememaji kati ya vyanzo vya nishati ?

Maana ni nchi tunazojadili hapa tukiuliza kama inawezekana kuendelea bila gesi ya Urusi?

Sishangai sana lakini napenda kukumbusha: Hajuna aliyeshambulia utabiri wa gazeti la Izvestia iliyosema mauzo ya gesi ya Urusi yatapungua tena 50% mwaka huu ... 🙂
 
Mkuu Urusi alivamia Ukraine toka mwaka 2014 mpaka 2015.ingekuwa rahisi kama ivyo unavyosema basi leo hii tusingekuwa tunaongelea habari ya gesi ya Urusi.
 
mkuu hawa watalebani dawa yao ni hii..
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2638585View attachment 2638584
Taliban sio jeshi la kisasa ni mkusanyiko wa wapiganaji. Ni kwamba Iran hawakurupuki ila ukisema uwaweke Iran vs Taliban kwenye vita ya roho mbaya isiyo na huruma kwa raia Afghanistan itapigwa ichakae. Kuna maiti kibao uko Afghanistan zimetokana na artillery strike ya Iran.

Alafu fujo za Iran na Taliban tangu warudi madarakani ni nyingi. Iran was disappointed kuwaona wanarudi tena
 
Mkuu je una picha yoyote ya kuongezeka kwa nishati mbadala katika sehemu mbalimbali za Dunia??
Je unajua nchi za EU zina sehemu gani ya upepo/sola/umememaji kati ya vyanzo vya nishati ?

Maana ni nchi tunazojadili hapa tukiuliza kama inawezekana kuendelea bila gesi ya Urusi?

Sishangai sana lakini napenda kukumbusha: Hajuna aliyeshambulia utabiri wa gazeti la Izvestia iliyosema mauzo ya gesi ya Urusi yatapungua tena 50% mwaka huu ... 🙂
Alafu mkuu unatakiwa kujua umeme wa maji na solar sehemu ndogo sana ya matumizi kwenye dunia
 
US And Allies ‘Playing With Fire’ — Russian FM

The US and its allies are “playing with fire” by doubling down on their support for Kiev amid the conflict with Moscow, including by planning to provide Ukraine with F-16 fighter jets, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov has said.

“Of course, it’s an unacceptable escalation,” Lavrov said regarding potential deliveries of American-made warplanes to Kiev in an interview with Russia 1 TV on Sunday. “I think there are reasonable people in the West who understand this. But everything is being dictated by Washington, London, and their satellites inside the EU.”

According to the minister, Poland, and the Baltic States – Latvia, Lithuania, and Estonia – are “executing on the ground the aim set by the US to weaken Russia, deliver it a strategic defeat.”

Subscribe to RT
 
Jibu lako litategemea na aina ya "Wataalamu". Nilivyosema, katika mazingira ya hapa umeme bado ni ghali mno na hapa si rahisi kuitegemea kweli.
Ila hapa tunajadili habari za gesi asilia ya Urusi na swali kama kuna njia mbadala kwa matumizi yake.
Njia hizo ziko kwa sababu uchumi ulioendelea huko Ulaya unatengeneza haraka sana njia nyingi mbadala za kuzalisha na kutumia nishati, hata bila gesi kabisa.
Azimio la kuachana kabisa na gesi, mafuta na makaa walifanya EU tayari kabla ya vita.
Vita ya Putin inaongeza kasi ya mabadiliko hayao.
Wazazi wako walikusisitiza kusoma sayansi

Wewe ukakimbilia kusoma HKL [emoji1][emoji1][emoji1] ....ona Sasa kijana unashindwa kujua nguvu ya kimatumizi kati ya Solar power na gas

Utatumiaje Solar power kwny heavy manufacturing industry

Umshana .....
 
Kwan urusi inapigana na burundi au.nenda kapigane ww hio vita ya cku moja.hata aende taratibu vp mradi anashinda tuko sawa.hatuna haraka
mkuuu mwoneshe hii picha ...
Screenshot_20230523-151801.jpg
 
Mkuu Urusi alivamia Ukraine toka mwaka 2014 mpaka 2015.ingekuwa rahisi kama ivyo unavyosema basi leo hii tusingekuwa tunaongelea habari ya gesi ya Urusi.
Mkuu uvamizi wa Krimea wengi katika Ulaya walipinga lakini walivumilia. Ni sasa tu kwamba Putin alikosea vibaya, hakuna tena anayetaka kumvumilia.
Mfano hadi mwanzo 2022 siasa ya Ujerumani bado ilifanya maandalizi ya kuunganisha bomba la Nordstream 2 iliyokuwa tayari wakati ule. Sasa wamefunga mabomba yote.
Pia hadi 2021 Green Party bado haikuwepo serikalini. Hao wanasisitiza utekelezaji wa mipango ya kuhamia nishati mbadala. Kwa hiyo kasi imeongezeka sasa tangu vita ya 2022.
 
Alafu mkuu unatakiwa kujua umeme wa maji na solar sehemu ndogo sana ya matumizi kwenye dunia
Wewe unahitaji kujua kitu. Kwa mfano nchi gani zimefaulu kiasi gani kuhamia nishati mbadala? Aina gani (sola, maji, upepo, mengine) ? Sekta gani?
Halafu upatikanaji wa nishati mbadala umebadilika vipi katika muda gani?

Unaongea (na kufikiri) juujuu. Je "sehemu ndogo sana" ni asilimia ngapi machoni pako? 1%, 5%, 10, 20, 30, 50% ???
 
Utatumiaje Solar power kwny heavy manufacturing industry

Umshana .....
Unaitumia sola kwa kuwasha umeme. Si vigumu. Mtandao wa kitaifa unapokea umeme kutoka vyanzo mbalimbali. Mwenye kiwanda ananunua umeme kutoka makampuni kwenye mtandao.
Ilhali wewe humiliki kuwanda cha vyuma, usiwe na wasiwasi. Waachie wamiliki wa viwanda hivyo wanaotumia umeme tayari leo hii au walioanza tayari kutumia hidrojeni kuzalisha feleji.
Wanaotumia umeme kuyeyusha vyuma wanajua wanaponunua umeme wanajua vyanzo kama ni maji, sola au upepo. Wako na wanaongezeka.

Kwa nini unafikiri nchi kama China imewekeza pesa nyingi hivi kuunda vyanzo vya sola na umemeupepo??
Umeshajua wamewekeza mara mbili kiasi kilichowekezwa na EU?
Bila shaka wote hao wajinga, sivyo?
 
Back
Top Bottom