john issa
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 919
- 1,761
waliokuwa wanaisubir comeback, hiyo imefika
waliokuwa wanaisubir comeback, hiyo imefika
Ndo maana China wana mifumo miwili, Ujamaa na ubepari, sera zao za kisiasa na kijeshi bado zipo kwenye kipindi cha Soviet lakini kiuchumi wapo ki capitalist.
Ukraine sio Supa-pawa kama Urusi.Unaijua Nguvu waloitumia Eukrain hapo? Au Huijui vita ya Bakhmut?
Inawezekana kabisa kama microbiologist Mathanzua asemavyo hii ni chatbot🤔.Mkuu ni vema kujielimisha. China haitumii sana gesi, maana wenyewe hawana nyingi. MAbomba kutoka Urusi yanahitaji kujengwa kwanza hadi wafaidike.
China ni hasa 1) makaa mawe na 2 ) mafuta. Wanajua kwamba makaa ni chafu sana wana tatizo kubwa ya machafuko ya hewa pamoja na magonjwa husika katika miji yao mikubwa. Mfano leo hii:
"The current PM2. 5 concentration in Beijing is 5.5 times above the recommended limit given by the WHO 24 hrs air quality guidelines value."
Wametangaza mara kwa mara kwamba wanataka kuachana na nishati ya kabohidrati. Ila wana matatizo maana mfumo wa tasnia yao bado nyuma. Kuna sekta moja wanapoweza kupita nchi nyingine hii ni magari ya umeme; wako kwenye mbio .
Uchumi wa Urusi ni duni unaelekea kushuka zaidi, pende usipende. Kwa sasa wanatwanga takwimu zao na kuingiza pesa nyingi za serikali lakini uzalishaji unashuka.
Ebu acha kuchekesha watu wewe.yani mauzo ya gesi ya urusi kwa ulaya yashuke mpaka asilimia 50.unafikiri wanatoa wapi gesi ya kuweza kuziba ilo pengo la gesi la Urusi. Au ndo unachana na gesi unarudi zama za makaa ya mawe.Mkuu jaribu kuazima akili. Labda itasaidia. Unakimbilia mchezo wa maneno. Bomba hadi china lipo, linjaa, haliwezi kubeba gesi iliyopelekwa hadi sasa Ulaya.
Ukiazima akili kidogo tu, utaelewa kwa nini gazeti la Kirusi Izvestia inatangaza kwamba mauzo ya gesi nje yatapungua tena 2023 kwa asilimia 50.
(ikilinganishwa na 2022, na hii ilikuwa tayari mwaka mbaya kwa biashara ya gesi ya Urusi; hata kama mapato yalipanda mwaka ule shauri ya kupanda kwa bei, kiasi cha gesi ilipungua na sasa bei zimeshuka tena!!!)
Uhakika Bro nimekupata.Ila naomba nikurekebishe kidogo with all due respect.Mpango wa depopulation kweli upo,na sio hicho watu wanachoita wrongly conspiracy theory,hiki ni kitu real na confirmed kabisa na wahusika wakuu:World Economic Forum,Bildeberg Group,akina Bill Gates, George Soros,Rockefeller,Rothschilds,succesive US Presidents,Club of Rome nk.,so sio siri tena.Infact their target is to reduce the World population especially Africans to a mere 500 million people,who they want to be Zombies.Why Africans?This is why👇Inawezekana kabisa kama microbiologist Mathanzua asemavyo hii ni chatbot🤔.
Maneno yake ni kama google translate kabisa! Au ni AI labda nn!? Basi irudishe feedback imefeli kujifanya ni mtu.
Huwa sifuatani na nadharia njama kama za braza. Lakini inaonesha kuna faida ya kuwasikiliza watu walio suspicious na kila kitu western kama braza. Kama hapa katusaidia tumejua kuwa the so called western-kabalistic-khazarianmafia-ajenda 😌. Is using even some bots and AI to install propaganda promulgating devices to try control peoples' perception. 'Evil indeed' 😆😆 in Mathanzua 's voice.
Anyway, to braza pamoja na kuwa sidhani kama kuna ulazima wa kumuhisisha shetani na hili. Au kuwa paranoid saana kwamba wanataka kuua saana.
Nadhani tu ni mambo ya ukoloni na kujaribu kuendelea kututawala, sababu inajulikana; When two intelligent species colide, they often struggle to dominate each other rather than annihilate each other.
Ni vigezo gan vinavyoitambulisha nchi kuwa supa pawaUkraine sio Supa-pawa kama Urusi.
Viva putin🇷🇺💪Hakuna kitu kule walikuja na stori Putin ni mgonjwa na muda wowote anakufa, ghafla Zelensky akaja ni kichekesho kuwa hawezi kutana na rais wa Russia kwani ana imani kuwa huyu wa sasa ni clone na Putin halisi alikwisha kufa.
Wakaja na stori kuwa jeshi la Russia limeishiwa silaha na zilizopo zinatoka miezi 3 tu..
Huku jeshi la Urusi linakomboa miji na vijiji, NATO na UKRAINE wao wanakazana na wimbo wao UKRAINE is winning..
Waliweka vikwazo lukuki na kususia nishati ya Urusi ili ikose pesa za kuendeleza SMO, matokeo yake yamekuwa kinyume na nchi zao kwa sasa zipo kwenye mdororo wa uchumi huku Urusi uchumi wake ukiwa unapaa.
Wamekataa kununua nishati ya Urusi moja kwa moja, cha kushangaza wanaenda kununua INDIA huku wakijua nishati hiyo India ameinunua toka Urusi.
Kwa akili hizo za viongozi wa WEST ni wakati wetu sisi Africa tukawatawale sasa.
🤣😂😂Ebwana eeeh!Nyundo moja pumbu inaruka kule
Mashambulizi yanafanywa toka usiku kwa cruise missiles kuzunguka katika mikoa ya Kyiv, Sumy, Chernihiv, Krivoy Rog, Zhytomyr na Nikolaev. Tusubiri updates.
Kumbe discussions za JF zinasaidia sanaee.........!Zipo brains humu👍.Russian- Ukraine war caused a global economic shock. Discuss
Swali limetoka kwenye interview ya Mchumi- Bunge. Kiukweli hili swali nimelionea kuliko yote[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Hakuna missile yeyote inayoweza ku-intercept Kinzhal mkuu,unayosikia yote ni fabrications za CIA za kujifariji.Si kuna PATRIOT ambayo ina intercept mpaka kinzhal??.
Mchawi lughaRussian- Ukraine war caused a global economic shock. Discuss
Swali limetoka kwenye interview ya Mchumi- Bunge. Kiukweli hili swali nimelionea kuliko yote[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu inaonekana sehemu kubwa ya habari za miaka iliyopita ilipita kwako??? Nchi nyingi zimeamua kuachana na gesi na mafuta. Kadri zinavyofaulu kuhamia nishati mbadala (umeme wa sola, upepo, maji...) hazihitahi gesi na mafuta mengi. Shabaha ni kufika SIFURI gesi na mafuta hadi 2040 / 2050.Ebu acha kuchekesha watu wewe.yani mauzo ya gesi ya urusi kwa ulaya yashuke mpaka asilimia 50.unafikiri wanatoa wapi gesi ya kuweza kuziba ilo pengo la gesi la Urusi. Au ndo unachana na gesi unarudi zama za makaa ya mawe.
Hakuna mwenye jeuri ya kuikimbia gesi ya Mrusi maana ukikataa kununua Urusi,nyingine unatoa wapi.ndo maana alivyowambia anauza kwa ela yake, hakuna aliyegoma.hakuna kiongozi mwenye ujasiri uwo.