Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu ni vema kujielimisha. China haitumii sana gesi, maana wenyewe hawana nyingi. MAbomba kutoka Urusi yanahitaji kujengwa kwanza hadi wafaidike.
China ni hasa 1) makaa mawe na 2 ) mafuta. Wanajua kwamba makaa ni chafu sana wana tatizo kubwa ya machafuko ya hewa pamoja na magonjwa husika katika miji yao mikubwa. Mfano leo hii:
"The current PM2. 5 concentration in Beijing is 5.5 times above the recommended limit given by the WHO 24 hrs air quality guidelines value."

Wametangaza mara kwa mara kwamba wanataka kuachana na nishati ya kabohidrati. Ila wana matatizo maana mfumo wa tasnia yao bado nyuma. Kuna sekta moja wanapoweza kupita nchi nyingine hii ni magari ya umeme; wako kwenye mbio .
Uchumi wa Urusi ni duni unaelekea kushuka zaidi, pende usipende. Kwa sasa wanatwanga takwimu zao na kuingiza pesa nyingi za serikali lakini uzalishaji unashuka.
Mkuu nivema kujielimisha kabla ya kuandika, Hakuna pipeline inayotoka Russia to China Kwa ajili ya Gas?. Na vipi kuhusu Siberia 1&2 pipe line?.
 
Zelensky alipopewa tu HIMARS mji wa Mariopol ukaondoka.. Akaomba Abrams & Leopard 2 na akatamba hizo zitakuwa game changer na kubadili mwelekeo wa SMO. Baada ya kupatiwa alichokiomba zimeondoka na Bakhmut.

Kwa sasa anaomba ndege vita F-16 na makombora ya masafa marefu, na wafadhili wake wameahidi kumpatia kile alichoomba.. Kwa upande mwingine Russia wanazisubiri zitue tu ili KYIV wakaichukue na kuigawanya Ukraine vipande viwili.

Kila silaha na msaada anaopatiwa ZELENSKY unakuwa baraka kwa upande wa RUSSIA.
NATO wametumia Kila uwezo wao wote ili kuishinda Urusi lkn wameshindwa.walianza na uchawi,kwa kuwatumia wachawi wao wa Ukraine lkn ukadunda,
Wakaja na vikwazo vikali sana toka Dunia kuumbwa pamoja na Kila aina ya silaha lkn vimedunda.
Sasa *wanatamani".njia moja TU,nayo ni kumuua mwamba wa Dunia,mtetetezi wa wanyonge Vladimir Putin.
Maana kwa kipimo Cha kawaida,ni kwamba akili ya Putin imewazidi marais 50 wa ulaya na USA.
Kwa hiyo kivita,kivikwazo na kichawi wamemshindwa Sasa wanataka kujaribu kumuua.hii ni hatari sana.maana Putin akifa kwa kupigwa risasi au bomu au Ugaidi maana yake aliesaidia kufanikisha hili atakuaa ameiingiza nchi yake kwenye vita chafu sana..
Kwani Kaa Urusi Rais wao kuuliwa ni sawa nakuvamiwa na kushindwa vita.
Sidhani kama watakubali kuonekana wameshindwa vita kizembe namna hiyo.
 
Hakuna kitu kule walikuja na stori Putin ni mgonjwa na muda wowote anakufa, ghafla Zelensky akaja ni kichekesho kuwa hawezi kutana na rais wa Russia kwani ana imani kuwa huyu wa sasa ni clone na Putin halisi alikwisha kufa.

Wakaja na stori kuwa jeshi la Russia limeishiwa silaha na zilizopo zinatoka miezi 3 tu..

Huku jeshi la Urusi linakomboa miji na vijiji, NATO na UKRAINE wao wanakazana na wimbo wao UKRAINE is winning..

Waliweka vikwazo lukuki na kususia nishati ya Urusi ili ikose pesa za kuendeleza SMO, matokeo yake yamekuwa kinyume na nchi zao kwa sasa zipo kwenye mdororo wa uchumi huku Urusi uchumi wake ukiwa unapaa.

Wamekataa kununua nishati ya Urusi moja kwa moja, cha kushangaza wanaenda kununua INDIA huku wakijua nishati hiyo India ameinunua toka Urusi.

Kwa akili hizo za viongozi wa WEST ni wakati wetu sisi Africa tukawatawale sasa.
 
The Bulgarian government has collapsed in a no-confidence vote in parliament, throwing the European Union country into political turmoil amid the war in Ukraine and surging inflation.

Opposition lawmakers toppled the government of the prime minister, Kiril Petkov – which took power six months ago – by 123-116 in a vote after the ruling coalition lost its majority over disputes.

Source:The Guardian Bulgaria’s pro-western government collapses after just six months

Hii ni Moldova hii ni serikari inayosupport Ukraine na pro Western
The government in Chisinau has fallen after a year and a half in office, amid inflation and energy security concerns. The war in neighboring Ukraine has also taken its toll on the small nation.

Prime Minister Natalia Gavrilita stepped down from her position on Friday citing a lack of support in the former Soviet Republic.

The pro-Western government had been in power for just 18 months, during a period dominated by the Russian invasion of neighboring Ukraine.

Source:https://www.google.com/url?sa=t&sou...FBAWegQIEBAB&usg=AOvVaw0z_pAcWrVrAtdhKZjrpC9e

Italy
Hii Italia ilianguka Serikari iliyopita ndio bi Meloni akachukua nchi ambaye role model wake nadhani unamjua

Source:https://www.google.com/url?sa=t&sou...YQFnoECAwQAQ&usg=AOvVaw2N_qcboaIBUmkMPW911Y6V

Sijui na ya Uingereza unayafahamu kabla ya Rush Sunak.

Georgia
When the chair of Georgia’s ruling party recently attacked the U.S. and EU ambassadors, it was the latest sign that the country has gone from staunch Western ally to antagonistic pro-Kremlin regime in a matter of months, with its bids to join the European Union and NATO now in doubt.

Source:

Source nyingine

Tuendelee
Mkuu heri usome vyanzo vyako kabla ya kuleta madai yasiyo na msingi:
1. Bulgaria: serikali haikuangushwa kwa sababu ya msaada wake kuhusu Ukraine lakini kwa sababu ya mapatano yake kuhusu Makedonia. Ukiona tofauti - kitu gani kimebadilika katika msimamo wa Bulgaria kuhusu Ukraine tangu uchaguzi wa Aprili???

2. Moldova: serikali zote za nchi hiyo zilikuwa dhaifu; ni koloni ya zamani ya Urusi iliyokatwa kwa nguvu kutoka Romania miaka 80 iliyopita. Sasa je, kuna nini iliyobadilika katika uhusiano wake na Ukraine tangu kuanguka kwa serikali iliyopita ???

3. Italia: waziri mkuu Meloni alianza serikali yake kwa ahadi ya kusimama imara upande wa Ukraine dhidi ya mashambulio ya kirusi. Meloni ametuma silaha Kyiv. Ndiyo namjua Bi Meloni, lakini wewe je ???

Sasa unataka kuonyesha nini mfa mifano yako????
 
Haijalish kinapita kiwango gani la msingi huo mradi upo

Tunamshukuru Rustem kwa kutuepusha na uwongo wako
Uwongo gani, mkuu??? Nilisema China haina nafasi kupokea kutoka Urusi gesi hiyo iliyouzwa Ulaya. Maana mabomba yaliyopo yanajaa tayari hayana nafasi kwa gesi iliyokusudiwa kwenda Ulaya. Mabomba ya Siberia yalipangwa na kujengwa kabla ya vita kuanza, wakati Urusi bado iliuza Ulaya.

Tazama nishati ya China, uanona hadi sasa gesi ni kiasi kidogo cha nishati inayotumia.
Sishangai kwamba hupendi kupiga hesabu kidogo ila hapa tunajadili hali halisi si ndoto fulani.
Onyesha data kama unaweza!!!!
 
Rejelea post yako no.121875
 
Kiasi gani kinaweza kupita? Ukilinganisha na mabomba yaliyofungwa upande wa magharibi ???
Ulisema ili china ifaidike nimpaka hizo pipeline zijengwe, nahukuzungumza kiasi, lkn nachokueleza pipeline ipo kubali Hilo kwanza, Kisha baada ya hapo uje kwenye figure. Lakini nikueleze tu baadhi ya nchi za Ulaya bado zinapata mafuta na gas kutoka Russia, kama huamini hili bisha tuendelee.
 
Hakuna atakayemwua ila atasababisha watu wengi kushangaa jinsi gani ushamba wa aina hii inawezekana katika nchi inayofurahia kuvuka mapato ya USD 1000 kila mkazi kwa mwaka (=Tanzania) akijadili nchi yenye mapato ya USD 5000 kila mkazi kwa mwaka (=Moldova)
mmhhh[emoji41][emoji41][emoji41]
Screenshot_20230525-105522.jpg
 
Ulisema ili china ifaidike nimpaka hizo pipeline zijengwe, nahukuzungumza kiasi, lkn nachokueleza pipeline ipo kubali Hilo kwanza, Kisha baada ya hapo uje kwenye figure. Lakini nikueleze tu baadhi ya nchi za Ulaya bado zinapata mafuta na gas kutoka Russia, kama huamini hili bisha tuendelee.
Mkuu unaamini sijui mabomba hayo ya Siberia yanayopeleka gesi hadi China? Ila kila bomba lina uwezo wa kubeba kiasi fulani tu. Sikujadili mabomba yaliyopo hadi China, lakini njia za kupeleka gesi aliyouzwa Ulaya kwenda mahali pengine. Je unaelewa tofauti ????
Mauzo kwa Ulaya yamekatwa isipokuwa viwango vidogo kwa nchi kama Hungaria.
Ona taarifa ya Izvestia: Трубный вопрос: российский экспорт газа может упасть вдвое в 2023 году
(Tafsiri: "The export of pipeline Russian gas in 2023 may be halved - from 100 billion cubic meters. m to 50. Such a forecast is indicated in the minutes of the meeting of the Energy Commission of the State Council. The reason is the sanctions and the rejection of domestic raw materials from Western countries.")
Sina shaka China ingependa kununua asilimia kubwa ya gesi hiyo ambayo haiuzwi - lakini hakuna njia ya kulisafirisha .
Unapinga nini?????? Kwenye msingi gani ??????
 
mmhhh[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2637380
Unaamini unachosambaza? Kwa nini mtu akasirike juu ya ushirikiano huo? Ni vema kama mikataba inatunzwa, hata kama Putin anapuuza na kuvunja mikataba ya kimataifa.
Ushirikiano kwenye anga- nje ni muhimu. Hata ikielekea kuisha kwa sababu tekinolojia ya Kirusi imebaki nyuma mno. Wala Progress wala Soyuz vinaweza kufanya kazi ya vifaa vipya vya Musk.
 
Achana nae mkuu, huyo kaja Kwa Propaganda lakini hata hao west baadhi ya nchi bado zinapokea mafuta na gas kutoka Russia, kama anabisha aje tuendelee kumuelimisha.
Mkuu tafadhali usijivunie bure lete data. Onyesha gesi ya Kirusi inayobaki sasa kwao inaweza kupelekwa Uhindi na China kwa njia gani???? Kiasi gani kwa njia gani?.. lete data na namba.
 
Back
Top Bottom