baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Nguo zenyewe Alimuibia Mtanzania, Huyu naye kiongozi.Warusi wana ujinga mwingi sana
Oyoo huyu shoga watamuua wahuni huko gerezani.
🍆🍆
View attachment 2636311
Nguo zenyewe Alimuibia Mtanzania, Huyu naye kiongozi.Warusi wana ujinga mwingi sana
Oyoo huyu shoga watamuua wahuni huko gerezani.
🍆🍆
View attachment 2636311
Ndiyo bado kuna gesi kutoka Urusi inayofika Ulaya. Halafu?Ulisema ili china ifaidike nimpaka hizo pipeline zijengwe, nahukuzungumza kiasi, lkn nachokueleza pipeline ipo kubali Hilo kwanza, Kisha baada ya hapo uje kwenye figure. Lakini nikueleze tu baadhi ya nchi za Ulaya bado zinapata mafuta na gas kutoka Russia, kama huamini hili bisha tuendelee.
Ingekuwa ndio imetokea Urusi ... Sipati picha ....hiyo vurugu yake ya kupost. Kutoka kwa mazombie ya NATO ....Ukraine Army Falling Apart; Shooting the Officers Who order them into no-win battle
WORLD HAL TURNER 26 MAY 2023 HITS: 9286
![]()
The Ukrainian Army is literally coming apart at the seams. Soldiers are shooting their commanders rather than be ordered into un-survivable battles. Video below shows one dead Battalion Commander after being shot in the head by a Company Commander!
Tired of being ordered to basically commit suicide by their top officers, Ukrainian soldiers are now "fragging" their officers rather than go into suicidal battle against superior Russian forces.
Here's one such instance where a Battalion Commander lays dead on the ground(below), after a Company Commander shot him in the head rather than obey an order to go into a hopeless battle, where five other Companies ALL got killed minutes earlier.
As this rebellion among Ukraine troops spreads, it won't be long before the Ukrainian Army is no more.
NATO wametumia Kila uwezo wao wote ili kuishinda Urusi lkn wameshindwa.walianza na uchawi,kwa kuwatumia wachawi wao wa Ukraine lkn ukadunda,
Wakaja na vikwazo vikali sana toka Dunia kuumbwa pamoja na Kila aina ya silaha lkn vimedunda.
Sasa *wanatamani".njia moja TU,nayo ni kumuua mwamba wa Dunia,mtetetezi wa wanyonge Vladimir Putin.
Maana kwa kipimo Cha kawaida,ni kwamba akili ya Putin imewazidi marais 50 wa ulaya na USA.
Kwa hiyo kivita,kivikwazo na kichawi wamemshindwa Sasa wanataka kujaribu kumuua.hii ni hatari sana.maana Putin akifa kwa kupigwa risasi au bomu au Ugaidi maana yake aliesaidia kufanikisha hili atakuaa ameiingiza nchi yake kwenye vita chafu sana..
Kwani Kaa Urusi Rais wao kuuliwa ni sawa nakuvamiwa na kushindwa vita.
Sidhani kama wat
UmemuwezaRejelea post yako no.121875
Yaani haka kanchi ni kama rwanda tu ..rwanda 26,000km² haka ni 27,000km²....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...dharau hizi mkuu ngoja wafia dini inayoitwa uraya au nato au marekani wakukute humu watakuua
[emoji1784][emoji1784][emoji36][emoji36][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji40][emoji40][emoji1784][emoji1784][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2636520View attachment 2636521
Jibu swali hyo project ipo au haipo?Kiasi gani kinaweza kupita? Ukilinganisha na mabomba yaliyofungwa upande wa magharibi ???
Kajinga hao karobt la umshana .... Hata hakajieewi eti nitajie nchi zilizoangukanna tarehe .... Bogus kabisa ...The Bulgarian government has collapsed in a no-confidence vote in parliament, throwing the European Union country into political turmoil amid the war in Ukraine and surging inflation.
Opposition lawmakers toppled the government of the prime minister, Kiril Petkov – which took power six months ago – by 123-116 in a vote after the ruling coalition lost its majority over disputes.
Source:The Guardian Bulgaria’s pro-western government collapses after just six months
Hii ni Moldova hii ni serikari inayosupport Ukraine na pro Western
The government in Chisinau has fallen after a year and a half in office, amid inflation and energy security concerns. The war in neighboring Ukraine has also taken its toll on the small nation.
Prime Minister Natalia Gavrilita stepped down from her position on Friday citing a lack of support in the former Soviet Republic.
The pro-Western government had been in power for just 18 months, during a period dominated by the Russian invasion of neighboring Ukraine.
Source:https://www.google.com/url?sa=t&sou...FBAWegQIEBAB&usg=AOvVaw0z_pAcWrVrAtdhKZjrpC9e
Italy
Hii Italia ilianguka Serikari iliyopita ndio bi Meloni akachukua nchi ambaye role model wake nadhani unamjua
Source:https://www.google.com/url?sa=t&sou...YQFnoECAwQAQ&usg=AOvVaw2N_qcboaIBUmkMPW911Y6V
Sijui na ya Uingereza unayafahamu kabla ya Rush Sunak.
Georgia
When the chair of Georgia’s ruling party recently attacked the U.S. and EU ambassadors, it was the latest sign that the country has gone from staunch Western ally to antagonistic pro-Kremlin regime in a matter of months, with its bids to join the European Union and NATO now in doubt.
Source:
Source nyingine
Tuendelee
Ulisema hakuna uanaambiwa ipo.... Unakubali na unakuja tena KIASI GANI ..... Haya nenda google translate uje kujibu hoja za watu .... Mzee wa KUPANUSHA .... Google translate and NATO maniac....umerogwa si bure .... Wenzako wooote wamechutama kuficha mazaga wewe na kirat ndio mnashupaza shingo ...HAMJISHANGAI!!??Kiasi gani kinaweza kupita? Ukilinganisha na mabomba yaliyofungwa upande wa magharibi ???
Wewe hapa data ziko wapi !!! Unapiga tu kabobo halafu unamwambia mwenzako alete data ...... Ila we jamaa ongeza juhudi .... Wataupeleka Brussels siku si nyingi....ukawe mshauri wa uchumi pale ..... Keep it upUwongo gani, mkuu??? Nilisema China haina nafasi kupokea kutoka Urusi gesi hiyo iliyouzwa Ulaya. Maana mabomba yaliyopo yanajaa tayari hayana nafasi kwa gesi iliyokusudiwa kwenda Ulaya. Mabomba ya Siberia yalipangwa na kujengwa kabla ya vita kuanza, wakati Urusi bado iliuza Ulaya.
Tazama nishati ya China, uanona hadi sasa gesi ni kiasi kidogo cha nishati inayotumia.
Sishangai kwamba hupendi kupiga hesabu kidogo ila hapa tunajadili hali halisi si ndoto fulani.
Onyesha data kama unaweza!!!!
View attachment 2635218
MOSCOW, May 26. /TASS/. The conflict in Ukraine may continue for decades if the very essence of its neo-Nazi government is not eliminated, the deputy chairman of the Russian Security Council, Dmitry Medvedev, told reporters during a visit to Vietnam.
"This conflict is for a long time, for decades, maybe. It is a new reality, new living conditions," he said.
He is convinced that if the incumbent Kiev regime remains in power, "there will be, say, three years of truce, two years of conflict and then everything will go over again." "The very essence of the neo-Nazi rule in Kiev needs to be eliminated," he added.
Tungali tunawa-train watu wetu kwene F-16, mkuuComeback ya Ukraine bado tu[emoji3][emoji3]
Mkuu soma juu ukitaka kushiriki hapa. Mabomba ya Siberia yapo hadi China, yanajaa.Jibu swali hyo project ipo au haipo?
Mkuu jaribu kuazima akili. Labda itasaidia. Unakimbilia mchezo wa maneno. Bomba hadi china lipo, linjaa, haliwezi kubeba gesi iliyopelekwa hadi sasa Ulaya.Ulisema hakuna uanaambiwa ipo.... Unakubali na unakuja tena KIASI GANI ..... Haya nenda google translate uje kujibu hoja za watu .... Mzee wa KUPANUSHA .... Google translate and NATO maniac....umerogwa si bure .... Wenzako wooote wamechutama kuficha mazaga wewe na kirat ndio mnashupaza shingo ...HAMJISHANGAI!!??
Ni nzuri hii tena wangefanya hivyo Kwa Kila kikosiIngekuwa ndio imetokea Urusi ... Sipati picha ....hiyo vurugu yake ya kupost. Kutoka kwa mazombie ya NATO ....
Kama kawaida: Mwisho wa hoja, mwanzo wa matusi!Kajinga hao karobt la umshana .... Hata hakajieewi eti nitajie nchi zilizoangukanna tarehe .... Bogus kabisa ...
Unaijua Nguvu waloitumia Eukrain hapo? Au Huijui vita ya Bakhmut?Russian forces easing attacks on Bakhmut in order to regroup, says Ukraine
Russian forces have temporarily eased their attacks on Bakhmut to regroup and strengthen their capabilities, a senior Ukrainian official has said.
In a statement on Telegram, Ukraine's Deputy Defence Minister Hanna Maliar said Russian forces have continued attacking but that "overall offensive activity has decreased".
"Yesterday and today there have not been any active battles - neither in the city nor on the flanks," she wrote, adding that Moscow's troops were instead shelling the outskirts and approaches to Bakhmut.
"The decrease in the enemy's offensive activity is due to the fact that troops are being replaced and regrouped," Maliar said.
"The enemy is trying to strengthen its own capabilities."
She added that Ukrainian troops "firmly hold" the heights overlooking Bakhmut from the north and south, as well as a portion of the outskirts, but have not advanced during the past two days to focus on "other tasks".
It comes after Russia's mercenary Wagner group started handing over its positions to regular Russian troops earlier this week.
Here's the latest territorial situation around Bakhmut...
![]()
==========================
Kabla ya kuanza kwa hii SMO, Urusi ilionekana kama dude kubwa mno la kutisha kumbe sio hivyo.....hata Mzee Putin na genge lake walijiona supa-pawa.
Propaganda ina nguvu sana ikitumika vyema.
Hicho kitongoji tu wametumia zaidi ya nusu mwaka na rasilimali za kutosha kukidhibiti, eti ndio wakupambana na NATO huyu ?....
Urusi haiwezi kamwe kumaliza hii Vita kwa ushindi wa kijeshi bila mazungumzo ya kidiplomasia.