Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unazidi kudhihirisha jinsi gani upo nyuma ya wakati. Hiyo Boat imetolewa lini? Tumia kichwa chako vizuri mkuu usiipe mzigo shingo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] izo picha tu mdogo wangu.kwanza ushangai hii habari hata tovuti ya serikali ya Ukraine awajaipost.ebu jiongeze wewe habari hazipatikani Yahoo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] izo picha tu mdogo wangu.kwanza ushangai hii habari hata tovuti ya serikali ya Ukraine awajaipost.ebu jiongeze wewe habari hazipatikani Yahoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua hii account ni ya nani huko twitter?



Nimegundua we jamaa ni mbumbumbu hujui lolote kazi ubishi na kushupaza shingo.

Lete habari yako ya Kuuwawa kwa huyu commander na source yake tuone.
 

Attachments

  • Screenshot_20230526-224726.jpg
    Screenshot_20230526-224726.jpg
    467 KB · Views: 17
Achaneni na Russia, sio rahisi kihivyo kama wengi mnavyoandika
We waache walete vi F-16, F-22 na hyped F-35 copied by Americans from Russian supersonic fighter flown for the fitst time in 1986. it was a VTOL Navy type Yak-149 if 'am not mistaken -lakini Dunia nzima inaelezwa kwamba the brains behind F-35 ni American wakati hiyo si kweli hata kidogo eanatumia intellectual properties za Urusi kujinufaisha na kuzuga Dunia kwa kujifanya sijui wali retrofit with new avionics and engines lakini principle za kuifanya ipae bado zilibaki ni ubunifu wa Warusi sio Waamerika.


Sasa vinjindege tajwa hapo juu vikijifanya kuvamia anga la Urusi vitatunguliwa/pukutishwa/fagiliwa kutoka angani kama nzinge - ndio maana Merikani na NATO wanasita kupeleka ndege hizo katika anga la Urusi.
 
Ndio mwisho wa storm labda mlete mzigo mpya.
Russian air defenses intercept two Storm Shadow cruise missiles

Russian air defense forces intercepted a Grom-2 ballistic missile, two Storm Shadow cruise missiles and shot down 20 Ukrainian unmanned aerial vehicles over the past day, Konashenkov reported.

"Air defense capabilities intercepted a Grom-2 operational/tactical missile, ten rockets of the HIMARS multiple launch rocket system and two Storm Shadow long-range cruise missiles," the spokesman said.
Binafsi nikisikia HIMARS zimepukutiswa na ADS roho yangu ufurahi sana - walikuwa wamezidi kwa kutamba na roketi hizo, lakini wana sayansi wa Urusi walipo zifanyia mahesabu na kurejebisha tracking systems za computers zao siku hizi HIMARS zinasikika kwa nadra sana ni as if hazipo kabisa!!


Linapo kuja suala la Storm Shadow cruise missiles hizo ni rahisi sana kuzitungua sijui Wafaransa na Waingeza walikuwa na malengo gani kuunda such white elephant, kama nakumbuka vizuri huko Syria Russia ADS zilitungua Storm Shadow 51 au 71 sikumbuki vizuri sasa cruise missiles dhaifu kama hizo ndio zitafanya maajabu gani nchini Ukraine.
 
Ukraine was nothing till Lenin. And will return to nothing after Putin. They can keep Kiev. Everything East and South is [emoji635]Russian.

We don't need Brits telling us our history [emoji106]. Happy misinforming your citizens, was wondering why most are horrible at geography.
IMG_20230527_041714.jpg
 
Dmitry Medvedev :

There will be three future developments in Ukraine:

1 - The western regions of Ukraine will be subject to the control of a number of European countries, and the rest of the regions will be confined between them and Russia.

2- Ukraine will disappear after the end of our military operation in it, and it will be divided between Russia and a number of European Union countries.

3 - The accession of the western lands of Ukraine to a number of European Union countries, between the residents of central Ukraine and the rest of the regions expressing their desire to join Russia and they will be accepted and the conflict will end.
 
[emoji298][emoji298]Moldova has severed its dependence on Russian gas, Moldovan Prime Minister Dorin Recean reported at a security forum in Bucharest on May 18.

"If at the start of the (full-scale) war 100% of energy consumed in Moldova originated in Russia, today Moldova can exist with absolutely no natural gas or electricity from Russia," Recean said, as quoted by Reuters.

Learn more: PM: Moldova no longer reliant on Russian gas

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Moldova ni kakijiji masikini sana kanalingana na chalinze wengi hamjawahi kujua haya mambo yaani Ukisikia hivi vinchi sijui kanaitwa Moldova unajiuza Hii Moldova au Estonia inaichimbia mkwara Urusi???? Hivyo unakazunguka kwa kukimbia kote unamaliza just one hour...
 

It's Official: Russia declares intent to make PRE-EMPTIVE NUCLEAR STRIKE if West goes ahead with Ukraine getting "Nuclear-Capable" F-16's​

26 MAY 2023
It's Official: Russia Declares Intent to make PRE-EMPTIVE NUCLEAR STRIKE if West goes ahead with Ukraine Getting Nuclear-Capable F-16's

The possible transfer of nuclear weapons to Ukraine from the West will cause a preemptive strike by Russia, said Dmitry Medvedev, deputy chairman of the Russian Security Council.
The statement was made during his visit to Vietnam.
Medvedev explained that the allies of Ukraine can put into service not only F-16 fighters, which is no longer excluded, but also nuclear weapons.
As reported by the Hal Turner Radio Show in a Subscribers-Only report on 23 May, debate within NATO over supplying Ukraine with F-16's centers around the United States INISISTENCE the planes be a specially-modified model capable of carrying the U.S. "B-61" free-fall nuclear bomb. The U.S. is also insisting that NATO countries train Ukraine pilots on how to utilize such nuclear bombs.
This has caused a gigantic rift within NATO. The United States, Great Britain, Poland, and Germany are in favor of this idea, while Turkey, Greece, and Hungary are against it.
"If this happens, they must be prepared for a retaliatory strike with a nuclear charge" said Medvedev.
Medvedev emphasized that if the situation comes to the point that nuclear weapons are being transferred to Ukraine, a preventive strike from Russia becomes inevitable.
He expressed confidence that many in the Western world are not fully aware of the seriousness of this issue, believing that the situation will not reach such a critical level. However, according to Medvedev, under certain circumstances, the situation may come to this.
A similar statement was made in the context of Medvedev’s harsh response to the call of G7 countries for the inadmissibility of nuclear war.
"They demand some guarantees from Russia on nuclear weapons, but, in fact, imply the possibility of a future nuclear conflict between our country and NATO", - noted Medvedev.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] izo picha tu mdogo wangu.kwanza ushangai hii habari hata tovuti ya serikali ya Ukraine awajaipost.ebu jiongeze wewe habari hazipatikani Yahoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwa akili za kawaida unafikiri Serikali au jeshi linaweza kweli kuweka picha zinazo onyesha jinsi Jeshi la Ukraine linavyo zidiwa nguvu na Russia - hakuna Serikali yoyote inayo penda kuwatia taaruki Raia wake kwamba jeshi lake lianaelekea kushindwa vita - hakuna.

Binafsi nawashauri wanajeshi na Raia wa Ukraine kumwajibisha Zelensky ambaye ameliiingiza taifa la Ukraine kwenye mgogoro mkubwa na Super power, huku akijua wazi kwamba hana uwezo wowote wa kuishinda Urusi, mwisho wa siku Zelensky anashauriwa na kurubuniwa na Merikani ili awatumie raia wa Ukraine kama kafara - Zelensky anakubali tu bila ya kutafakali mambo kiundani.

Urusi ilimwambia kwamba Ukraine hisijiunge na NATO for a good reason namely kuhusu Usalama wa Taifa la Urusi, mwanzo Zelensky alikubaliana na sharti hilo lakini baadea akina Boris Johnson pamoja na Biden wakamwambia hasikubali, watamsaidia kwa kumpatia silaha za kisasa za kivita pamoja na mamuluki na vikosi maalumu vya Merikani na Uiingereza vya kufanya hujuma za kijeshi nchini Urusi -kati ya ahadi hizo hatujui ni ngapi zilizo tekelezwa zaidi ya kulitelelekeza jeshi la Ukraine wazidi kuteketea,miji mizuri kugeuzwa magofu - taifa karibu zima la Ukraine linarudishwa kwenye stone age era kwa kupigwa mabom,rockets pamoja na mizinga mfurururizo - Zelensky yupo yupo tu na wala hajali, kazi yake kuizunguka Dunia akiomba omba misaada ya silaha kuliko kuomba usuruishi.
 
Ukraine was nothing till Lenin. And will return to nothing after Putin. They can keep Kiev. Everything East and South is [emoji635]Russian.

We don't need Brits telling us our history [emoji106]. Happy misinforming your citizens, was wondering why most are horrible at geography.View attachment 2636109
Mkuu unafurahisha sana. Unaleta ramani (ambayo ni bandia) pamoja na matini inayoonyesha kwamba unashindwa kusoma amani!!
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]



[emoji298][emoji298]Ukraine’s Defense Forces have eliminated another 480 Russian occupiers over the past day. According to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine, Russia’s total combat losses reached about 206,200 troops.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]



[emoji298][emoji298]Ukraine’s Defense Forces have eliminated another 480 Russian occupiers over the past day. According to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine, Russia’s total combat losses reached about 206,200 troops.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya44 sikuhizi nasikia Bakhmut imepewa jina la asili inaitwaje vile?
 
Ninachojua Mimi ni Belgorod ndio imepewa jina la asili baada ya kuingia katika mikono salama ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahahahahahah wale marehemu wametoa jina jipya alafu naona Bakhmut kwa sasa magleda yashaanza kusafisha safisha utolewe mji kama mauripoul
 
Back
Top Bottom