Dunia imekwisha jionea yenyewe kwamba kumbe Patriot na paper tiger tu,, hafui dafu kwa lightening fast Tzar Putin the terrible's missiles which defies all laws of physics. Mtasema mengi lakini ukweli ndio huo, Urusi si taifa la kuchukulia kimzaa mzaa - karibu asilimia 80% ya silaha Ukraine ilizopewa na US/NATO zimekwisha tiwa kiberiti vikiwemo vifaru na depleted Uraniam shells vilivyo kuwa vimehifadhiwa kwenye ghala la silaha la siri - juzi hapa Dunia ilishuhudia linateketea kwa mlipuko mkubwa na moto.
Niwabieni kitu, baada ya. WW2 Dunia haijawahi tena kupitia katika kipindi cha viongozi wendazimu na wasio tumia busara na hekima kama Uongozi wa kipindi cha Biden na Zelensky jamaa hawa ni hatari sana kwa Amani Duniani nina uhakika jeuri za Biden dhidi ya chuki zake binafsi dhidi ya Putin, inaelekea Biden anaweza kuhamuru silaha za nuclear zitumike kwa mara ya kwanza dhidi ya Taifa la Urusi - hata akili za kufikiria vast Retribution kutoka Urusi kwenyewe - Biden akili hizo hana kabisa!!!
Biden na wajinga wenzake wasio ona mbali wamepania kwamba kabla ya mwisho wa term ya kwanza ya utawala wa Biden kama Urais wa USA ni lazima USA na NATO wawe wamepigana vita na Russia no matter what!!! Na huu ndio utakuwa mwisho wa Dunia, lakini cha ajabu jamaa hajali chochote he naively thinks he and his family,distance relatives and friends can some how survive nuclear catastrophe to tell the tale the morning after!!