Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ngoja kwanza tuijadili SMO achana na USSR hao UKRAINE
emoji1255.png
wametumia miezi mingapi kupigana na super power uchwara na wakapigwa ila hawajampiga kwauchwara wake

Malengo ilitakiwa yatimie hata kama wangepigana miaka 20 kama Kule AFGHANISTAN
emoji1023.png
na bado wataleban wakawashinda
Malengo gani pale Afghanistan yalitimia, USSR si ilitimua mbio.

Sasa naona umeanza kujielewa unalinganisha Russia na Ukraine, sio kulinganisha Russia na Marekani.
 
Huko drive Kuna mambo ya muhimu zaidi yakuyahifadhi kuliko hayo unayoyataka wewe MKUU

Mbona umehamia kwenye kujiripua vita ni sanaa na Russia [emoji635] anatumia vyema hii Sana maana pengine kaona ndio njia nyepesi yakuongeza watu Kule Russia [emoji635] kwahio vumilia tu MKUU

Nasikia washajirundika Kule ARTEMOVSK mkianza kaunta attack mtuambie
Kumbe teknolojia ya Mmarekani unatumia alafu kutwa kuwachukia si utumie teknolojia za Urusi.
Sasa mbona unalialia kama evidence huna si upige kimya
 
Russian forces hit Ukrainian ammo depots by precision strike, top brass reports, Tass

"Last night, the Russian Armed Forces delivered a multiple strike by airborne long-range high-precision weapons against the Ukrainian army’s ammunition storage sites. The goal of the strike was achieved. All the designated targets were hit," the spokesman said.
 
Russian forces wipe out Ukrainian air defense radar in Nikolayev Region

Russian forces destroyed a Ukrainian air defense radar in the Nikolayev Region over the past day, Konashenkov reported.

"In the area of the settlement of Novonikolayevka in the Nikolayev Region, a Ukrainian ST-68UM low-altitude target detection and tracking radar was destroyed," the spokesman said.

During the last 24-hour period, operational/tactical and army aviation and artillery of the Russian group of forces struck 78 Ukrainian artillery units at firing positions, manpower and military hardware in 92 areas, the general reported.
 
Ndio mwisho wa storm labda mlete mzigo mpya.
Russian air defenses intercept two Storm Shadow cruise missiles

Russian air defense forces intercepted a Grom-2 ballistic missile, two Storm Shadow cruise missiles and shot down 20 Ukrainian unmanned aerial vehicles over the past day, Konashenkov reported.

"Air defense capabilities intercepted a Grom-2 operational/tactical missile, ten rockets of the HIMARS multiple launch rocket system and two Storm Shadow long-range cruise missiles," the spokesman said.
 
Propaganda zinawaumbua kila siku NATO "Ivan Khurs" entered the Sevastopol Bay — Mash.

Hongera! Manowari haikuzama. Ila: bomu lilipiga upande mwingine ambao hauonyeshwi hapa. Kwa nini meli imerudi bandarini haraka hivyo? Satelaiti zitaonyesha kama itapelekwa kwenye matengenezo (lakini bila shaka kila kitu kitakuwa kawaidaaaaa kabisa)
 
Kwahiyo hujui tofauti ya Kyiv na Dnipro, yani RC wa Dar akisema kitu utadai RC wa Mbeya ndio kasema
Kichapo kimeingia vizuri Sana mpka huko kyiv mmekula pia maana kulingana na ripoti zenu inaonekana hata huko dnipro Kama hakuna kipigo Basi wewe mkuu wa mkoa wa dnipro lete taarifa za kupokea kipigo chako maana kipanya wa kiev amedungua Sasa wewe je.
 
Hongera! Manowari haikuzama. Ila: bomu lilipiga upande mwingine ambao hauonyeshwi hapa. Kwa nini meli imerudi bandarini haraka hivyo? Satelaiti zitaonyesha kama itapelekwa kwenye matengenezo (lakini bila shaka kila kitu kitakuwa kawaidaaaaa kabisa)
Kama zilivyopelekwa Patriotic air defence yaani mwaka huu mtu ameshikwa kende vizuri Sana.
 
[emoji298]The Ukrainian Navy has received another small armored artillery boat. It was named Bucha.

This boat is designed for patrolling at sea and on rivers, as well as for combating amphibious landings. The boat is characterized by low visibility, a system of protection against enemy weapon guidance and a system of automatic smoke and heat curtains.

The photo shows the Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valerii Zaluzhnyi. Russian propaganda claimed the day before that he was allegedly wounded.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

View attachment 2635699

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pambana tu na kuleta pic za mwaka juzi
 
Tena kuhusu uwezo wa Kinzhal, ambao haupo:

Russia’s 'invincible' hypersonic missiles prove anything but, as Ukraine utilizes U.S. Patriot defenses​

It was meant to be the Russian “wonder weapon,” but it turned out to be just another example of Vladimir Putin’s military over-promising and under-delivering.

The Kh-47M2 “Kinzhal” — which means “dagger” in Russian — was billed as a state-of-the-art hypersonic missile, “invincible,” in Putin’s words, to Western air defenses. For the early months of Russia’s full-scale war on Ukraine, it seemed to be just that. The missile had been used in the first year of the war to successfully strike several targets across Ukraine, no doubt causing significant damage.
That all changed when Ukraine received U.S.-manufactured Patriot PAC-2 and PAC-3 air defense systems in April. The PAC-3, the latest version of the venerable American system, was originally developed as part of America’s Strategic Defense Initiative, nicknamed “Star Wars” by its critics, first introduced in the early 1980s by President Ronald Reagan to counter ballistic missiles.

Over a little more than two weeks, Ukrainian-manned Patriots shot down seven out of seven Kinzhals launched at targets throughout Ukraine, according to the Ukrainian Air Force. Pentagon press secretary Brig. Gen. Pat Ryder confirmed the first shoot-down at a press conference on May 9, and another administration official speaking to the New York Times on May 16 confirmed the other interceptions.

During the May 16 attack, which directly targeted the Patriot system, part of the platform suffered “minor” damage, according to U.S. officials, that was repaired within a day. The Kremlin, of course, has maintained the fiction that all its missiles successfully hit their targets. “The fake report that a Kinzhal was allegedly intercepted is a wishful thinking attempt,” a Russian Ministry of Defense source told the state media outlet TASS.

Even if the Ukrainian military is overstating its defensive capability, a Russian missile falling anywhere in Kyiv would have been detected by locals and recorded on social media. Since the arrival of the Patriot missile batteries, that has not happened.
Dunia imekwisha jionea yenyewe kwamba kumbe Patriot na paper tiger tu,, hafui dafu kwa lightening fast Tzar Putin the terrible's missiles which defies all laws of physics. Mtasema mengi lakini ukweli ndio huo, Urusi si taifa la kuchukulia kimzaa mzaa - karibu asilimia 80% ya silaha Ukraine ilizopewa na US/NATO zimekwisha tiwa kiberiti vikiwemo vifaru na depleted Uraniam shells vilivyo kuwa vimehifadhiwa kwenye ghala la silaha la siri - juzi hapa Dunia ilishuhudia linateketea kwa mlipuko mkubwa na moto.
Russian naval ship repels Ukrainian drone attack in Bosporus Strait waters — top brass.

"All of the enemy’s boats were destroyed from the Russian naval ship’s standard armaments 140 km northeast of the Bosporus Strait," Lieutenant-General Igor Konashenkov said, The crew of the Russian naval ship Ivan Khurs repelled an attack by Ukrainian surface drones in the Bosporus Strait waters within Turkey’s exclusive economic zone, Defense Ministry Spokesman Lieutenant-General Igor Konashenkov reported on Wednesday.

"After the terror attack on the Nord Stream 1 and Nord Stream 2 gas pipelines on September 26, 2022, the Russian Armed Forces are carrying out measures to protect such facilities. And it is not without reason. At 5:30 today, Ukrainian armed formations made an unsuccessful attempt with three fast-speed unmanned boats to attack the Black Sea Fleet’s ship Ivan Khurs fulfilling the objectives of providing for the safe operation of the Turkish Steam and Blue Stream gas pipelines in the exclusive economic zone of the Turkish Republic," the spokesman said.

"All of the enemy’s boats were destroyed from the Russian naval ship’s standard armaments 140 km northeast of the Bosporus Strait," the general said, adding that the Ivan Khurs continued accomplishing assigned missions
Niwabieni kitu, baada ya. WW2 Dunia haijawahi tena kupitia katika kipindi cha viongozi wendazimu na wasio tumia busara na hekima kama Uongozi wa kipindi cha Biden na Zelensky jamaa hawa ni hatari sana kwa Amani Duniani nina uhakika jeuri za Biden dhidi ya chuki zake binafsi dhidi ya Putin, inaelekea Biden anaweza kuhamuru silaha za nuclear zitumike kwa mara ya kwanza dhidi ya Taifa la Urusi - hata akili za kufikiria vast Retribution kutoka Urusi kwenyewe - Biden akili hizo hana kabisa!!!

Biden na wajinga wenzake wasio ona mbali wamepania kwamba kabla ya mwisho wa term ya kwanza ya utawala wa Biden kama Urais wa USA ni lazima USA na NATO wawe wamepigana vita na Russia no matter what!!! Na huu ndio utakuwa mwisho wa Dunia, lakini cha ajabu jamaa hajali chochote he naively thinks he and his family,distance relatives and friends can some how survive nuclear catastrophe to tell the tale the morning after!!
 
Hongera! Manowari haikuzama. Ila: bomu lilipiga upande mwingine ambao hauonyeshwi hapa. Kwa nini meli imerudi bandarini haraka hivyo? Satelaiti zitaonyesha kama itapelekwa kwenye matengenezo (lakini bila shaka kila kitu kitakuwa kawaidaaaaa kabisa)


Mkuu ninyi mnapenda kujiliwaza lakini ukweli lazima tukupe ili usipate usingizi leo.
kamata hii video ya meli nzima kila upande na Kwa kuwa ulisema wewe ni mrusi PATA na maelezo kamili.

So the Ministry of Defense showed the Ivan Khrus attacked by surface drones. From all sides...Sevastopol.
 

Ukraine Army Falling Apart; Shooting the Officers Who order them into no-win battle​

WORLD HAL TURNER 26 MAY 2023 HITS: 9286
Ukraine Army Falling Apart; Shooting the Officers Who order them into no-win battle

The Ukrainian Army is literally coming apart at the seams. Soldiers are shooting their commanders rather than be ordered into un-survivable battles. Video below shows one dead Battalion Commander after being shot in the head by a Company Commander!
Tired of being ordered to basically commit suicide by their top officers, Ukrainian soldiers are now "fragging" their officers rather than go into suicidal battle against superior Russian forces.
Here's one such instance where a Battalion Commander lays dead on the ground(below), after a Company Commander shot him in the head rather than obey an order to go into a hopeless battle, where five other Companies ALL got killed minutes earlier.

As this rebellion among Ukraine troops spreads, it won't be long before the Ukrainian Army is no more.
 

Attachments

  • Ukrainian+company+commander+shot+his+battalion+commander+after+refusing+to+go+to+the+front+..mp4
    1.1 MB
Back
Top Bottom