Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu hujaelewa. Mimi ni ZMEI змей yaani zimwi wa Kirusi. Hujui zimwi wa Kirusi huwa na vichwa vingi, lakini ni mmoja?
View attachment 2634468
Ukumbuke: ZMEI wa kweli wanampuuza zmei bandia anayekalia Kremlin kwa sasa.
Expert proof of uranium dust contamination in
Eastern Europe as a result of Russias' attack of UK supplied
Storm Shadow Cruise Missiles with depleted Uranium war heads..
Wamechimba mashimo wametumbukia wenyewe,hadi kicheko kwa kweli.

 
Expert proof of uranium dust contamination in
Eastern Europe.

Wewe rudi kwenye Covid , tukubane mbavu, naona umepata sehemu ya kutanua ...
 
Wakati Japan akiwa kikaoni pale mjini G7

China kaibuka kuwa kinara wa utengenezaji wa magari Duniani kakzidi Japan [emoji23][emoji23][emoji23]

China replaces Japan as world’s top car exporter – media

The country’s sales in the first quarter jumped by nearly 60% year-on-year, according to Nikke

China became the world’s largest car exporter in the first quarter of 2023, Nikkei news outlet reported this week, citing data from the China Association of Automobile Manufacturers.

According to the report, Chinese car exports in January-March soared by 58% against the same period in 2022, to 1.07 million units.

During this period, the former top exporter, Japan, sold 950,000 vehicles.
SMO iendeleee
 
Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
 
Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
Hii Bakhmut imepatikana kwa gharama kubwa mno, counter offensive ikianza na ikarejeshwa itakuwa pigo kubwa mno kwa supa-pawa.
 
Hii Bakhmut imepatikana kwa gharama kubwa mno, counter offensive ikianza na ikarejeshwa itakuwa pigo kubwa mno kwa supa-pawa.
Hata Ukraine imelipa gharama kubwa kuutetea mji huo maana brigedia zake zaidi ya 16 zimeteketea na silaha za mabilion ya$ hapo bado hatujaongelea mamruki kutoka nchi za Magharibi walio kuwa wanapigana upande wa Ukraine kwenye mji huo.
 

U.S. Secretary of Defence says "Ukraine is losing in the battlefield."​

25 MAY 2023
UPDATED -- Not so fast . . .  U.S. SEC-DEF: Ukraine is Losing . . .

United States Secretary of Defense, Lloyd Austin, at a Press Conference attended by Chairman of the Joint Chiefs of Staff, General Mark Milley, admitted this afternoon "Ukraine is LOSING on this battlefield." The truth however is that the US and the West in general are loosing in the battlefield.
Search Engines like Google seemed to go into instant Censorship overdrive when videos like the one below started coming out. Clearly, Google does not want anyone knowing what Hal Turner Radio Show listeners have known for months! Ukraine is losing.
Below is the remark made during yesterdays' press conference.



Now, THIS ought to be interesting. I wonder how outfits like FACEBOOK, TWITTER, and especially REDDIT are going to deal with this ugly turn of reality?
I suspect almost complete censorship by these social media outlets, while they try to wrap their little left-wing brains around this fact.
Oh, and it ought to be a real eye-opener when all those morons with Ukraine flags in their profiles, start hearing about this. I think there could literally be rivers of liberal tears !!!!!!
From the beginning of this conflict, I told everyone who reads this site, and everyone who listens to my show "Ukraine lost the moment the Russian Army crossed their border."
The West was clearly in denial. Still has been until . . . today.
Now what?
UPDATE: 7:10 PM EDT --
Well, it turns out that the people who grabbed the video above, took Lloyd Austin's comments COMPLETELY out of context.
I have now seen the ENTIRE press conference video and while Austin did utter the words, he did so as follows:
"Sometimes when we have these conversations, it seems like Ukraine is losing . . .uhhh. . . on this battlefield. That's NOT the case."
He then went on to explain why the US needs to keep upping the ante, and send more and more, higher level weapons to Ukraine.
Call me dumb, but if Ukraine is winning, why do we need to keep upping the ante?
Maybe because Ukraine is, in fact, losing?

cc:Kipanya.
 
Back
Top Bottom