Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Germany Sasa wataona umuhimu wa Russia mda unafika Russia Ni dubwana kubwa Sana na huu Ni mwanzo tu
Fw9fARjX0AAKYDJ.jpg
 
EXPLAINED: Ukrainian Intelligence Says It’s Getting ‘Closer and Closer’ to Eliminating Putin

The deputy head of Ukraine's Main Intelligence Directorate also claimed the only reason the Crimean Bridge is still standing is to give Russians living on the occupied territory a chance to escape.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Usharukwa na akili
 
The Russian private army Wagner lost more than 10,000 fighters in the drawn-out battle for Bakhmut, according to the group’s chief, Yevgeny Prigozhin.

He said about 20% of the 50,000 Russian prisoners recruited to fight in the 15-month war had died in the eastern Ukrainian city, Reuters reported.

The figure was in stark contrast with claims from Moscow that it has lost just over 6,000 troops in the war, and is higher than the official estimate of the Soviet losses in the Afghanistan war of 15,000 troops between 1979 and 1989.
 
Simu yangu ilikua rahisi sababu nilipiga screen shot kwakua nilijua ipo siku itahitajika kama ushahidi leo inakua ngumu kuipata sababu mpaka niisarch nasiikumbuki maneno well

BAKHMUT ishaenda hakuna kaunta offensive itakayofanywa hapo wangeifanya kwanza kwa MAURIOPOL na SOLEDAR hio BAKHMUT bye bye [emoji112]

Kuhusiana na kupungua kwa idadi ya watu kwasasa ni changamoto ya DUNIA nzima Maana inazikumba nchi nyingi wala sio RUSSIA [emoji635] pekee hata hivyo Russia [emoji635] ishavuna watu wengi pale Ukraine [emoji1255] watawafaa
Uwe unatumia teknolojia ya Wamarekani kama Drive au hata Google Photos. Tatizo akili zinafanya kazi kama wauza mbolea na wachuuza gesi ungekuwa unatumia akili za mabingwa wa teknolojia ungeweka cloud server.

Russia inakumbwa na kupungua kwa watu tangu karne ya 21 haijafika. Ni tatizo sugu, na hizo nchi nyingine hazipungui watu bali growth ni ndogo au stagnant. Sasa Russia ina miaka watu wanashuka, na hilo suala la Russia kuvuna watu unaonyesha jinsi akili zenu zimekaa kujilipua, bahati nzuri hata teknolojia hamna mnalazimika kujilipua kienyeji
 
EXPLAINED: Ukrainian Intelligence Says It’s Getting ‘Closer and Closer’ to Eliminating Putin

The deputy head of Ukraine's Main Intelligence Directorate also claimed the only reason the Crimean Bridge is still standing is to give Russians living on the occupied territory a chance to escape.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu, Kwani objective ya Ukraine si kukomboa maeneo? Haya malengo ya kumueliminate Putin yamewekwa lini?
 
Si wanasema hawapewi zakutosha vipi BAKHMUT kunaendeleaje ama ya SOLEDAR na MAURIOPOL yameikumba na BAKHMUT
Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
 
haya ndani ya miezi 10 hiyo wa ukraine kwa msaada wa wamerakani walikua wanamzuia mrusi asichukue ilo eneo amefikia wapi sasa?
 
Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
"Ikiwa tungeacha kusambaza silaha kwa Ukraine leo, mwisho wa Ukraine ungefika kesho. Unataka kukubali, lakini hatutaki kufanya hivyo,” Boris Pistorius, Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani.
 
Uwe unatumia teknolojia ya Wamarekani kama Drive au hata Google Photos. Tatizo akili zinafanya kazi kama wauza mbolea na wachuuza gesi ungekuwa unatumia akili za mabingwa wa teknolojia ungeweka cloud server.

Russia inakumbwa na kupungua kwa watu tangu karne ya 21 haijafika. Ni tatizo sugu, na hizo nchi nyingine hazipungui watu bali growth ni ndogo au stagnant. Sasa Russia ina miaka watu wanashuka, na hilo suala la Russia kuvuna watu unaonyesha jinsi akili zenu zimekaa kujilipua, bahati nzuri hata teknolojia hamna mnalazimika kujilipua kienyeji
Sasa ww usiye kuwa hata na akili ya kumtongoza mwanamke kumshawishi akukubali mpaka ukalazimika kuwa mpiga nyeto uta mshauri nn the big brain Bwana utam?
 
EXPLAINED: Ukrainian Intelligence Says It’s Getting ‘Closer and Closer’ to Eliminating Putin

The deputy head of Ukraine's Main Intelligence Directorate also claimed the only reason the Crimean Bridge is still standing is to give Russians living on the occupied territory a chance to escape.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine wananikumbusha mikwara ya Comical Ally wa Iraq wakati wa vita ya pili ya gulf.Kila aliemsikiliza aliamini jamaa wanatoa kipigo kikali kwa US na washirika wake,tena wakiwachinja kwa mamia kila siku kama update za mjomba kirat zinavotuambia.
 
Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
Aliye sema Urusi inapigana na Nato sio sisi bali ni viongozi wa NATO wenyewe .
Sasa sijui tumsikilize nani kati yako domo zege na katibu wa Nato aliye sema kuwa Urusi ikishinda ni sawa imeshindwa NATO nzima.

Au tumuamini nani kati yako na hao viongozi wa NATO ambao kila mwezi wanakaa vikao kujadili ni namna gani ya kuisaidia Ukraine silaha na mafunzo.

Mbona huongelei brigedia zaidi ya 17 za Ukraine zilizo teketea na mamruki kibao kutoka nchi za Magharibi wakijaribu kuzuia mji usichuliwe na bado ukachukuliwa ?

Au mbona hauongelei Super power wako wa ukweli aliye pigana miaka zaidi ya 8 nchini Vietnam akiwa na wanajeshi zaidi ya 1,000,000 akapoteza maelfu ya ndege na bado akashindwa kuteka hata kijjiji?
 
muoneshe hii....[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Screenshot_20230523-151801.jpg
 
Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
[emoji849][emoji849]View attachment 2634403
Screenshot_20230523-151953.jpg
 
Back
Top Bottom