Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu mgogoro unaendeshwa kwa njia nyingi sana na mojawapo ni propaganda!!!!!!!! Naamini hata humu kuna watu wanalipwa kwa namna moja ama nyingine!!!!!!


Naamini mimi na wewe hatuujui ukweli kuhusu huu mgogoro!!!!!!!! Wakubwa wanaamua ni taarifa gani unatakiwa uipate na kwa wakati gani!!!!!!!!!!

Je, hii propaganda au ukweli?????

Russia 'has not even started yet'​

Russia "has not even started yet" in Ukraine, a Kremlin MP has claimed.
In a clip shared by BBC journalist Francis Scarr, MP Alexei Zhuravlyov tells panellists on Russia's state television that Ukraine has undergone "full Nazification".
He says Russia should have two aims - the first being to "liberate those who want to be liberated" and the second is to "move our security borders away".
"Let me say this again, we have all the capabilities, means and resources. We are fighting," he says.
"As the president said, we haven't even started yet! That's the thing! It's true! Those aren't just empty words!"

Source:Sky news: 18/05/2023
Muathirika wakwanza kabisa katika vita yeyote Ile hapa duniani basi Hua ni ukweli baada ya vita ukweli ndio hujulikana refer vita ya IRAQ [emoji1131]
 
Niliandika alafu ushahidi uko kwenye simu yako? Warusi bwana, kwani simu yako ni server ya JF.

Subiri mjirundike Bakhmut muingie mkenge mjue mnashinda alafu counteroffensive ipigwe eneo lingine. Kwa sasa jazana hapo Bakhmut punguzeni majeshi sehemu nyingine muhimu.

China ina lower birth rates hiyo inajulikana na China hawafi wengi kuliko wanaozaliwa. Russia wanazaliwa wengi na wanakufa wengi, na ipo miaka niliitaja Russia waliokufa ni wengi kuliko waliozaliwa.
Hiyo India ilishaipita China kwenye idadi ya watu kwa sababu Wahindi wanazaana sana
Simu yangu ilikua rahisi sababu nilipiga screen shot kwakua nilijua ipo siku itahitajika kama ushahidi leo inakua ngumu kuipata sababu mpaka niisarch nasiikumbuki maneno well

BAKHMUT ishaenda hakuna kaunta offensive itakayofanywa hapo wangeifanya kwanza kwa MAURIOPOL na SOLEDAR hio BAKHMUT bye bye [emoji112]

Kuhusiana na kupungua kwa idadi ya watu kwasasa ni changamoto ya DUNIA nzima Maana inazikumba nchi nyingi wala sio RUSSIA [emoji635] pekee hata hivyo Russia [emoji635] ishavuna watu wengi pale Ukraine [emoji1255] watawafaa
 
Lengo hasa la Ukraine ni kuja kujaribu kutumia storm shadow kushambulia Navy ya Urusi hapo baadae au hata anti ship missiles za US kama jeshi la Ukraine wanazo - hilo ndilo lengo kuu la mabeberu waki shirikiana na Ukraine, wanataka kuzamisha Navy yote ya Urusi ikiwezekana wana akili za ajabu sana!!

Mambo yanavyo onekana mgogoro huu unaweza kusababisha WW3 by accident or by design.

Zelensky is so naïve doesn't seem to realise that nuclear war is mostly likely.

Hilo si lengo halisi, lengo ni kupiga target ambazo hazifikiki, currently himars zina short distance.
Huwez bring down navy fleet with couple of gliding bombs nopee
 
Sijamgusa

waziri wa Urusi - nimeleta hapa habari kwamba mtu kama Prigo anajadili waziwazi hofu ya mapinduzi nchini Urusi. Na sababu zake. Naelewa kabisa kwamba marafiki wa Putin hawapendi kusikia maoni hayo wala hawapendi kuyajadili
Kuna mtu alisema huyo jamaa ni chizi, au Leo Kawa mzima? Epu nyie pro Nini na pro nani semeni
 
Sijamgusa

waziri wa Urusi - nimeleta hapa habari kwamba mtu kama Prigo anajadili waziwazi hofu ya mapinduzi nchini Urusi. Na sababu zake. Naelewa kabisa kwamba marafiki wa Putin hawapendi kusikia maoni hayo wala hawapendi kuyajadili
Sijasema wewe umeyasema hayo - tatizo langu ni source unapotoa hizi habari ndipo nilipo guduwa kipengele kinacho taja mpaka Waziri Urusi na Girl friend wake - sasa nikawa najiuliza maswali mengi hivi faragha za mawaziri wa Urusi yana uhusiano gani na vita inayo endelea huko Ukraine maanake masaa yote media za magharibi zimejaa negative publicity stunts kuhusu Urusi na viongozi wake.
 
Jana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱🥱🥱
1685007900791.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
EXPLAINED: Ukrainian Intelligence Says It’s Getting ‘Closer and Closer’ to Eliminating Putin

The deputy head of Ukraine's Main Intelligence Directorate also claimed the only reason the Crimean Bridge is still standing is to give Russians living on the occupied territory a chance to escape.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Belarus will now be recognised as a Nuclear superpower. This comes after the Russian Federation and Belarus signed documents on tactical nuclear weapon deployment on the Belarusian territory. Minsk will operate these weapons if it ever feels an existential threat.
 
Nakerekwa sana .... Kuna madogo wananitumiaga meseji na hivyo vixx mara kavichanganya na namba .... Halafu ndio vinaona ujanja. Ni ujinga kama ujinga mwingine tu. Siku hizi wengi wao wamenyooka ni wanapiga simu tunongea ama wanatumia lugha iliyonyooka maana huwa nawakanya sana... Kama huwezi kuandikwa meseji tu vizuri nakusaidiaje ...hawajui haya mazoea ya kijinga ndio wanayapeleka mpaka kwenye maombi ya Kazi au Katika kazi yenyewe...au umemuunganisha na mtu .mpaka mtu anakuja kuuliza hivi huyu una uhakika naye ama..
Huwa sijibu ujumbe wa hivyo vi XX,
 
Check drones zilivyoshushwa[emoji1787]



[emoji779]️On the night of May 25, the Russians attacked Ukraine from the north and south with Iranian-made Shahed-136/131 drones – 36 of them were shot down by Ukrainian Air Defence.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa
Fw6MR_DWAAsrjRU.jpg
 
Back
Top Bottom