BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Jamaa wana propaganda za kiduanzi sana. Mfumo ni long range which means ina intercept target zake mbali sio kama Nasams au Iris T au Pantsir S2 ambazo zina intercept kwa karibu. Sasa hizo debris wanazodai zime damage mfumo ziliwezaje kurudi pale pale mfumo ulipo zikaudondokea na hivyo kuuharibu? Kitu ukiharibu ma mia ya km angani halafu mabaki yake yarudi kudondokea hapo hapo ulipo? Robots za nato humu jukwaani zina amini vitu kirahisi sanaHilo ni swali gumu sana umewauliza, mkuu. Hebu waulize mbona walisema all 18 Russian missiles were successfully intercepted?
Naungana na member mmoja hapo kusema pengine hiyo Patriot imegongwa na popo, ikaharibika.