Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

A group of European countries led by Poland is urging Ukrainian President Vladimir Zelensky to end the conflict, US investigative journalist Seymour Hersh wrote on his website: European countries led by Poland urging Kiev to end conflict, US journalist says
Mwanzoni Poland alikua ana kihelehele sana akiamini NATO wanaweza kuishinda Urusi kirahisi TU.
Lakini matokeo yake maghala Yao ya silaha yameisha na hakuna dalili Urusi kushindwa.
Leo Tena Poland kawa wa mwanzo kuitaka Ukraine imalize vita.
Tulisema mwanzo humu.

Putin hakukurupuka,

Urusi ilijipanga,

Nato imezoea kuonea vijidagaa,Sasa Leo imekutana na nyangumi.

Urusi sio Zimbabwe.

Putin ni mtakatifi,Urusi Kuna watu wanamuona anachelewesha mambo.
 
Wiki hili Urusi ilikuwa na Kazi moja tu muhimu
nayo ni Kuharibu mifumo ya Ulizi ya Ukrein
na Imeharibu kwa Kiasi kikubwa sana
na baada ya hapa Tutegemee mashambulizi makubwa ya Makombora
Mpaka sasa Ule mpago wao Ukrein wakuanza Mashakbuluzi Unasua sua Kuanza
maana mrusi anaharibu Mipango kila Muda
View attachment 2602166
SMO iendeleee
 
Shoigu anashangaa, Ukraine wanasema wameintercept Missile nyingi kuliko hata Russia alizo launch, hizo idadi nyingine wametolea wapiView attachment 2625033View attachment 2625034
Ha ha haa aisee hii ni bonge la analysis.
Ni kama vile Warusi wamerusha kombora mbili kwa mfano,halafu Ukraine wanakwambia wamedungua kombora kumi na mbili.

Kumi hazijulikani zimetoka wapi.
Labda Alliens nao walirusha zao.
 

Haiwezekani kuangamiza silaha ya Patriot ya Marekani kwa kutumia "Dagger" ya Urusi - Ukraine​

Mwakilishi rasmi wa Kikosi cha Wanahewa wa jeshi wa Ukraine aliita "propaganda" taarifa za Wizara ya Ulinzi ya Urusi, usiku wa Mei 16, kwamba mfumo wa kombora wa kupambana na ndege wa Patriot wa Marekani uliangamizwa na shambulio la roketi huko Kiev.

Akizungumza kupitia chombo cha habari cha Kitaifa nchini Ukraine , Yuriy Ignat alihimiza "kutojali kuhusu hatima ya Patriot."

"Kuharibu mfumo na aina ya "Dagger", haiwezekani. Kwa hivyo, kila kitu wanachosema hapo, nadhani, kibaki kwenye kumbukumbu zao za uenezi," mwakilishi wa amri ya Kikosi cha Wanajeshi wa Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine alisema.
 
Hawajaona huo umuhimu maana Ukraine ana mmudu

Former US President Donald Trump, who promised to end Russia's war against Ukraine within 24 hours, previously did not end it before a full-scale invasion, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said in an interview with Italian media.

"Trump was president, we had a meeting. There wasn't a full-scale invasion then, but there was a war. I'm not sure he was deep into the matter then, but he didn't settle the matter.

No one has solved this question.

And because no one decided, we could not get out of this situation, and Putin received a signal: That is, it is possible. We need to wait a little, we need to work with the countries, and we can go further. That's why he moved on," Zelenskyy said.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile a

Urusi kumbe hamna kitu
 
Hii vita inapiganwa zaidi kijasusi, ukikaa vibaya unafanyiwa suprise.

Tuwape heshima urusi kwa hiki wanachotuonyesha kwenye ulimwengu wa inteligensia, si jambo rahisi hata kidogo kusimama na jamii ya watu walioamua kuungana kwa dhumuni la kukudhibiti.
-------

Ilya Yansen reports with high of degree of certainty that the successful Russian strike on the military target in Khmelnitsky hit a very large stockpile of depleted uranium munitions delivered to Ukraine officially (by UK) and unofficially (by other Western actors).
Hivi wanashindwa nini Kumuua yule kenge halafu tuanzie hapo
 
Mwanzoni Poland alikua ana kihelehele sana akiamini NATO wanaweza kuishinda Urusi kirahisi TU.
Lakini matokeo yake maghala Yao ya silaha yameisha na hakuna dalili Urusi kushindwa.
Leo Tena Poland kawa wa mwanzo kuitaka Ukraine imalize vita.
Tulisema mwanzo humu.

Putin hakukurupuka,

Urusi ilijipanga,

Nato imezoea kuonea vijidagaa,Sasa Leo imekutana na nyangumi.

Urusi sio Zimbabwe.

Putin ni mtakatifi,Urusi Kuna watu wanamuona anachelewesha mambo.
Uraàaaaaaaaa [emoji635]
 
The sun ( UK) wameandika ukweli , hizo patriotic defense za USA hapo Ukraine zimeteketezwa na Russia, Sasa hivi anga la Ukraine halina ulinzi Russia anajibondea tu. Pia itafanya silaha toka nchi za magharibi USA na UK and German zionekane useless zikose soko duniani. Hizo za UK Russia anazidaka na kuzitungua Kama senene. Ni aibu Sana kwa Marekani na uingereza pamoja na German. Russia akimaliza ukraine, China wanaanza kuitafuna Taiwan , Russia anamupa mchina hizo silaha makombora ya Marekani yatadondoshwa Sana baharini Taiwan itachukuliwa asubuhi tu. Kwani tayari wameshapata dawa za kutibu hawa mashoga. $1+ billion unaondoka kwa dakika walipa kodi wa USA na UK Wana tabu sana.

Nimeshangaa sana kuona The suna wanasema Ukweli sikuhzi kweli hali ni mbaya
 
Wakati NATO wanasubiri Russia waishiwe silaha wao ndio kwanza Wana mipango yao mwingine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Russia will ‘maximize’ arms production after treaty exit – ex-president Dmitry Medvedev said 'good riddance' after MPs backed the pullout from a treaty with NATO Russia will ‘maximize’ arms production after treaty exit – ex-president
 
Back
Top Bottom