MBULAMATALI
JF-Expert Member
- Nov 26, 2012
- 297
- 1,201
Unadhani kinachobutuliwa ni gari tu sio..?Unadhani Patriot ni gari?
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Unadhani kinachobutuliwa ni gari tu sio..?Unadhani Patriot ni gari?
Waingie Ukraine waone kwanini masufuria Yana makalio na hayavai chupi....Na watatueleza kwanini kisu kina kata lakini hakina diwani ..ndio mtajua kwa nini mkuki haupigwi konzi
Unachotakiwa ni kusikiliza milio inatokea wapi ...utapata majibu...Sasa kama Patriot imeharibiwa si muendelee kurusha makombora maana anga la Kyiv halina ulinzi.
Swala jingime kama Kinzal haitunguliwi na Patriot hizo 6 mlizorusha kyiv zimepiga wapi maana target yao ni kui destroy Patriot na ziko mbili tu kyiv sasa kinzal 6 za nini?
Hakika mkuuTutazidi kuwachinja kadri iwezekanavyo. Leo tayari 600.
Lakini ameweza kuwakalisha maraisi zaidi ya 30 wa west.PUT IN muungwana sana mpaka anaudhi
Next bakhmut huu mji sio muda utakua chakula.
Us kwisha khabbar zakeIran imekamata meli ya mafuta ya kimarekani iliyokuwa inapita kwenye Gulf of Oman.
Marekani amebakia kulia-lia na kulalamika.
View attachment 2601555
Kama kile kipindi Cha RTD "Salamu kwa Wagonjwa"..nyie jamaa mnafaa kufanya Kazi wodini kufariji Wagonjwa ...Walijua Patriot ni kama yale mapipa yao s300 yaliochakazwa sana.
😂😂😂🤣😂🙌Waingie Ukraine waone kwanini masufuria Yana makalio na hayavai chupi....Na watatueleza kwanini kisu kina kata lakini hakina diwani ..ndio mtajua kwa nini mkuki haupigwi konzi
Ilipata kifwafwa bin degedege....Labda iliugua baada ya kazi kubwa ya kudaka makombora🤣🤣🤣🤣😂😂😂🇷🇺💪
Hamna hata mmoja anaelipwa na NATO humu.Hivi bado unabishana na hawa vijana wanaolipwa na NATO? Unapoteza muda wako bure. Afadhali bora ukalale tu, utapata afya, mkuu?
Ha ha haa,ilipatwa na kizunguzungu baada ya kazi ngumu ya kukwepa missiles za Urusi.Ilipata kifwafwa bin degedege....
Hawa ni wale wanadanganywa na Rambo anapiga Kijiji....Hamna hata mmoja anaelipwa na NATO humu.
Hawa wengi ni washabiki maandazi na waathirika wa Hollywood movies.
Kama NATO inaweza kuwalipa watu wenye upeo dhaifu namna hii basi NATO ni hopeless kabisa ndio maana Urusi peke yake inawachezea karata Tatu nchi zaidi ya 35.
Bibi yangu kutoka nyasulula anasemaga "kijungujungu"....Ha ha haa,ilipatwa na kizunguzungu baada ya kazi ngumu ya kukwepa missiles za Urusi.
Ndio ikaugua.
Nadhani hii ni baada ya mionzi kuanza kuwamulika.A group of European countries led by Poland is urging Ukrainian President Vladimir Zelensky to end the conflict, US investigative journalist Seymour Hersh wrote on his website: European countries led by Poland urging Kiev to end conflict, US journalist says