Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwamba wasiri wa Mambo ya nje wa Urusi
LAVROV
Anawaka huko UN
Anasema Hakuna mtu yeyote aliyempa Marekani Haki ya Kuizungumzia Dunia yote kwaujumla
hana haki hiyo


No one gave the US the right to speak on behalf of the entire world community — Lavrov
Ukweli mtupuuuu
 
Jukumu la operesheni maalum ya kijeshi ya Urusi ni kuondoa vitisho vilivyoundwa na NATO kwenye mipaka ya nchi, NATO haijasema kwa uaminifu ni vitisho gani iliondoa huko Yugoslavia, Libya, Iraqi - Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Lavrov katika mkutano wa Baraza la Usalama la UN.
Sema huyu jamaa akiongea hua anamadini matupu halaf linajua kuongea jamaa yupo na kila sifa yakua FM
 
The General Staff of Ukraine's Armed Forces reported on May 17 that Russia has lost 200,590 troops in Ukraine since the beginning of its full-scale invasion, with an estimated 610 casualties on May 16.

According to the report, Russia has also lost 3,771 tanks, 7,365 armored fighting vehicles, 6,067 vehicles and fuel tanks, 3,166 artillery systems, 562 multiple launch rocket systems, 318 air defense systems, 308 airplanes, 294 helicopters, 2,748 drones, and 18 boats.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
.
1684314474645.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]UK Promises Hundreds of Long-Range Drones to Ukraine – Where Will They Come From?

The UK’s pledges of more long-range weapons for the Armed Forces of Ukraine comes after the UK has already sent Storm Shadow air-to-surface cruise missiles.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russian artillery hits large groups of Ukrainian servicemen near Artyomovsk

Vadim Astafyev, head of the press center of the Yug group, noted that the missile formation of the southern combat group also attacked the places of temporary deployment of the battalions of the 24th and 57th separate mechanized brigades of Ukraine .
 
Sasa kama Patriot imeharibiwa si muendelee kurusha makombora maana anga la Kyiv halina ulinzi.
Swala jingime kama Kinzal haitunguliwi na Patriot hizo 6 mlizorusha kyiv zimepiga wapi maana target yao ni kui destroy Patriot na ziko mbili tu kyiv sasa kinzal 6 za nini?
Shoigu anashangaa, Ukraine wanasema wameintercept Missile nyingi kuliko hata Russia alizo launch, hizo idadi nyingine wametolea wapi
20230517_122047.jpg
IMG_20230517_122707_026.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
US Dollar Has Five Years Left As Dominant Currency — Russian Tycoon

According to Russian billionaire Oleg Deripaska, the US dollar has only five years left as the principal currency for the global economy.

Seven years ago, the absolute dominance of the greenback in global settlements and financial transactions seemed unshakable, the founder of aluminum giant Rusal wrote in a Telegram post on Saturday.

Deripaska expects global settlements to diversify and digital currencies to become more “compatible.” “That will be hard at the beginning, but then the world will discover a new reality without a [need for] a hegemon,” he said.

Subscribe to RT
Kwahio SMO bado tunayo sanaaaa
 
Back
Top Bottom