Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Mkuu, kp kipanya44 mwenyewe katuonesha basi la abiriaUnadhani Patriot ni gari?
Mkuu, kp kipanya44 mwenyewe katuonesha basi la abiriaUnadhani Patriot ni gari?
Ilibidi wafyatue rocket zote maana zingekutwa na KH humo kwenye hatch ilikuwa na mlipuko wa hatariiVideo yake mimi niliiona baada ya kurusha rockets 30 tena at the same direction, machine ikapigwa chuma kutokea nyuma wala sio ule upande ambao ulikua unarusha rockets zake.
Former US Army Colonel, Douglas MacGregor: "No one can shoot down a hypersonic missile. I just think it's absurd to even suggest that these Kinzhal missiles, which are hypersonic, could have been shot down."Jamaa wana propaganda za kiduanzi sana. Mfumo ni long range which means ina intercept target zake mbali sio kama Nasams au Iris T au Pantsir S2 ambazo zina intercept kwa karibu. Sasa hizo debris wanazodai zime damage mfumo ziliwezaje kurudi pale pale mfumo ulipo zikaudondokea na hivyo kuuharibu? Kitu ukiharibu ma mia ya km angani halafu mabaki yake yarudi kudondokea hapo hapo ulipo? Robots za nato humu jukwaani zina amini vitu kirahisi sana
Yes,Hilo ndilo urusi ameharibu na kutamba kwamba ni patriot [emoji16]Mkuu, kp kipanya44 mwenyewe katuonesha basi la abiria
Wameshalegea sasa..Top Ukrainian intelligence official Kirill Budanov has proposed creating a 100-km-long demilitarized zone between Ukraine and Russia.
"The question of ending the war [involves] the creation of a demilitarized zone; this is our goal," the head of the Ukrainian Defense Ministry’s Main Intelligence Directorate told the Ukrainian Islandia (Iceland) TV channel
Safi nilitamani waryshe kinzhal zingine tuone wao si wanasema wameharibu waendelee kurusha maana hizo AD kuletwa hapo kyiv walikuwa wanaoiga vyanzo vya umeme na maji ambapo sasa hivi hatusikii umeme kuzimika yani Patriot iko moja inawapeleka zikija 10 itakuaje US noma.Habari za hivi punde
Wataalamu kutoka Marekani waliowasili Kyiv jana wamesema Patriot ni nzima na inafanya kazi, ilidondokewa na mabaki hivyo ni matengenezo machache
Haionekani kuwa na mipaka yoyote kwakua wapinzani NATO hawashikilii ahadi yoyote ya mipaka wanayowekeana na UrusiMkuu unaamini kweli Urusi imesubiri hadi kutoka rasmi kwenye mkataba huo hadi waongeze uzalishaji wa silaha??
SIna shaka kwamba wanajitahidi kutoa grenedi na silaha mpya iwezekanavyo ila inaonekana pia uwezo huo una mipaka yake...
Kidogo kidogo NATO anaanza kuingiza miguu...tusubiri kifuatacho...kuna nchi zitalia kilio cha mbwa mwitu...According to Turkish sources, yesterday NATO held an emergency meeting on the state of air defense of the largest base hubs for Ukraine in Poland and Slovakia in light of the failure of the Patriot air defense system in the defense of Kyiv.
1/View attachment 2625391
Hii ndo video nzima ya kuripuliwa patriot, sasa Angalia hiyo video mpaka mwisho then jaribu kufikiria kama kuna posibbility ya debris fall, zingatia Na ukubwa wa huo mripuko pia.Habari za hivi punde
Wataalamu kutoka Marekani waliowasili Kyiv jana wamesema Patriot ni nzima na inafanya kazi, ilidondokewa na mabaki hivyo ni matengenezo machache
[emoji635]Yes,Hilo ndilo urusi ameharibu na kutamba kwamba ni patriot [emoji16]View attachment 2625461
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Habari za hivi punde
Wataalamu kutoka Marekani waliowasili Kyiv jana wamesema Patriot ni nzima na inafanya kazi, ilidondokewa na mabaki hivyo ni matengenezo machache
Kwani uliambiwa Urusi anataka kuishambulia Ukrain mkuu? Urusi inataka Donbas iwe free ili iwe kinga yake dhidi ya nchi za NATO...maana Ukrain ameshawishiwa hadi akamgeuka Urusi...Safi nilitamani waryshe kinzhal zingine tuone wao si wanasema wameharibu waendelee kurusha maana hizo AD kuletwa hapo kyiv walikuwa wanaoiga vyanzo vya umeme na maji ambapo sasa hivi hatusikii umeme kuzimika yani Patriot iko moja inawapeleka zikija 10 itakuaje US noma.
Sasa mbona walipiga vyanzo vya umeme kipindi cha baridi kule kyiv walikuwa wanampiga Nato kule wewe ni chenga itakuwa umevamia hii vita hujui ilianzia wapiKwani uliambiwa Urusi anataka kuishambulia Ukrain mkuu? Urusi inataka Donbas iwe free ili iwe kinga yake dhidi ya nchi za NATO...maana Ukrain ameshawishiwa hadi akamgeuka Urusi...