Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mungu wetu kwa mamlaka yako.Naomba ruhusu hiii vita iishe
Kumbuka yeye pia huitwa MUNGU wa majeshi.
Na kazi ya majeshi ni kupigana vita,
Hivyo naweza kusema yeye pia Mungu wa vita.
Ili kuangusha mfumo wa kishetani Mungu alipiganisha vita.
Rejea Faraoh na Musa,
Waisrael na wafilisti,Samson na maadui zake.maangamizi ya sodoma na gomora.na Sasa Mashoga na watu wa Mungu.
Kuna mfumo wa maasi Mungu anataka kuuangusha.
 
H


Hata mm naona anatuchelewesha sana piga hako kajinga bomu moja la Kinzhai kajambe
Ha ha haa,
Putin antaka zele aje asaini kushindwa vita mbele ya meza ya wazee akina Ayatollah wa Iran,Erdogan wa turkey,Shi ji pin wa china,Rais wa Belarus,Antonio Guterez na Mzee Ramaphosa😃😃😃😃😃
 
Jamaa wana propaganda za kiduanzi sana. Mfumo ni long range which means ina intercept target zake mbali sio kama Nasams au Iris T au Pantsir S2 ambazo zina intercept kwa karibu. Sasa hizo debris wanazodai zime damage mfumo ziliwezaje kurudi pale pale mfumo ulipo zikaudondokea na hivyo kuuharibu? Kitu ukiharibu ma mia ya km angani halafu mabaki yake yarudi kudondokea hapo hapo ulipo? Robots za nato humu jukwaani zina amini vitu kirahisi sana
Ha ha haa.
Robots za NATO humu JF
 
Polish President Andrzej Duda said that Poland was not able to supply Ukraine with F-16 fighter jets but was not against training Ukrainian pilots and sending more MiG-29s, news outlet wPolityce reported on May 17.

While speaking to journalists at the Council of Europe summit in Iceland, Duda was asked if Poland would join an international coalition alongside the U.K. and the Netherlands to procure F-16 fighter jets for Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]China's special envoy Li Hui has paid a visit to Ukraine and met with Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba, according to the Ukrainian Foreign Ministry.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa hivi Foreign Minister ndiye ana attend wageni.... je Bwana Zelensky yuko wapi...?
 
Haionekani kuwa na mipaka yoyote kwakua wapinzani NATO hawashikilii ahadi yoyote ya mipaka wanayowekeana na Urusi
Mkuu haisaidii kushtakiana kuhusu ahadi na yale ambayo watu wanaamini ilikuwa ahadi au la. Angalau kuhusu mikataba iliyotiwa sahihi rasmi - je unaona upande wa nchi za Ulaya wamevunja mkataba wowote?
 
According to Turkish sources, yesterday NATO held an emergency meeting on the state of air defense of the largest base hubs for Ukraine in Poland and Slovakia in light of the failure of the Patriot air defense system in the defense of Kyiv.
1/View attachment 2625391
Mkuu je kuna sababu yoyote kuamini hizo "Turkish sources"? Ziko wapi? Ni nani? Ziko nje ya propaganda ya Kirusi?
Naona tu kwa jumla matangazo yote katika media za magharibi ni hivi:
1) idadi ya roketi za Kirusi ilizuiwa huko Kyiv na mifumo ya ulinzi mfano Patriot na mengine
2) Patriot ilipiga Kinzhal iliyoilenga
3) sehemu za mfumo wa Patriot ziliathiriwa, bila kuharibu yote
4.) Patriot ziliangusha Kinzhal kadhaa, wanayotangaza kama mafanikio makubwa

Ni vema kukumbuka kwamba mfumo 1 wa Patriot ni takriban malori 10; 5-6 ya kurusha roketi, moja ya rada, moja ya antena, gari la jenereta, na kituo cha usimamizi (Engagement Control Station). Isingekuwa rahisi kuharibu yote kwa pigo moja maana hayakai karibu sana. Pia ni kituo cha usimamizi pekee chenye askari, sehemu nyingine zinafanya bila mtu.
 
Tunaenda cm kwa cm

⚡️⚡️⚡️Today, units of PMC "Wagner" advanced up to 260 meters. Occupied 180 thousand square meters.
1.28 square kilometers remain under enemy control.
"The enemy puts up fierce resistance. The fighting continues for every house, for every entrance, for every square meter of territory, despite the fact that a couple percent of the territory remains under the enemy in Bakhmut⚡️⚡️⚡️
 
Presently EU & USA ‘elit’is pretending to love & respect this guy & its ‘nation’ (1991-2024). But in 1-2 year he will be the most hated one.
Mkuu tutaona kama utabiri wako ni kweli. Ila usisahau huyu Bwana alichaguliwa katika uchaguzi huru, tofauti na yule babu mwenye hofu nyingi anayetawala huko Moscow.
 
Hapo ndio umenisanua kuhusu ile video nimeangalia sana kumbe ule mlipuko ndio chuma kilipewa kitu
Kumbe hukuielewa, baada ya kumaliza missiles zake zote haikuchukua dakika na unaambiwa ile chuma imetoka urusi si chini ya 800km ndani ya mda huo imefika pale kyiv kwenye patriot hyo ndyo maana ya hypersonic acha waendelee kupiga propganda
 
Back
Top Bottom