D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Zaluzhny bada ya kushambuliwa kichwani na wagner pmc.
Wakati huo huo yeye anawaokota watu ambao hawana hata mafunzo ya kijeshi na kuwapiga hao wanajeshi wa Ukraine na NATO wenye mafunzo kweli maisha bila unafiki hauendiNajua wengine hawampendi Prigo tena (na mimi simpendi) lakini ana uhuru wa kusema . . .
Prigozhin names Ukraine as one of the world’s top armies, stating the obvious
"They have a high level of organization, a high level of training, a high level of intelligence, they have different weapons," he told Russian propagandists.
“Moreover, they work on any system: Soviet, NATO, anything – equally well.”
Prigozhin again criticized the Russian troops, saying that they "dragged their feet across Ukraine in search of Nazis."
"They approached Kyiv, then, in Russian, they sh*t their pants and withdrew," he said.
"Then they came to Kherson, sh*t their pants, and left. Izyum, Krasny Lyman... And somehow everything is not working out for us."
According to the General Staff of the Ukrainian Armed Forces, Russia's total losses since the beginning of the full-scale invasion have exceeded 204,000 soldiers.
Wanafanyia hiyo referendum wapi au Ukraine kwa sababu wengi wameuawa na wengine wamekimbia Ukraine?Mbona hujajibu kwanza swali langu kuhusu leferendum inayotarajiwa kufanyika huko Belgorod.., maana jamaa wanataka kuwa sehemu ya ukraine
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanapiga iyo kura wakiwa wapi[emoji23][emoji23]Kuna mchakato umeanzishwa wa waasi wa Belgorod kupiga kura ya kuwa sehemu ya ukraine., mwenye updated atuhabarishe tafadhari [emoji56][emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe juzi tu si ndo ulisema kuwa Prigozhin ni chizi tusimsikilize.imekuwaje leo tena[emoji23][emoji23]Prigozhin mwenyewe kakili kichapo kilivyo kikali,ajabu tukileta hapa takwimu basi ni propaganda!View attachment 2633636
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Habari njema mnooo wafe wote
Nakazia [emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]Najua wengine hawampendi Prigo tena (na mimi simpendi) lakini ana uhuru wa kusema . . .
Prigozhin names Ukraine as one of the world’s top armies, stating the obvious
"They have a high level of organization, a high level of training, a high level of intelligence, they have different weapons," he told Russian propagandists.
“Moreover, they work on any system: Soviet, NATO, anything – equally well.”
Prigozhin again criticized the Russian troops, saying that they "dragged their feet across Ukraine in search of Nazis."
"They approached Kyiv, then, in Russian, they sh*t their pants and withdrew," he said.
"Then they came to Kherson, sh*t their pants, and left. Izyum, Krasny Lyman... And somehow everything is not working out for us."
According to the General Staff of the Ukrainian Armed Forces, Russia's total losses since the beginning of the full-scale invasion have exceeded 204,000 soldiers.
Umesahau crop out comment ya Top Fan(Tunech) chini ya habari hiyo ya Aljazeera. Ha ha haa!!! Nadhani ama utafuta bandiko ama utafuta ushauri wangu. Ha haaaa!mwenyewe kakili
Na Hiki ndicho kimewapataBora wewe umekiri kwamba huko Belgorod Kuna moto unawaka, kuliko warusi wengine wa buza wanaojitoa akili [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Siyo kweliUkraine akishambulia urusi nayeye ataonekana kama mvamiz vilevile,kwa kuwa hakutakuwa tofauti Kati ya urusi na Ukraine maana wote wataonekana wamevamiana!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani anaeamua huu upuuzi wote si shetani mmoja anaitwa biden???Hivi inawezekana maamuzi ya kupiga NUKE yakawa mikononi mwa raisi tu. Fate ya dunia nzima iwe mikononi mwa mtu mmoja? Watakuwa hawajaitendea haki humanity.
Bakhmut umefikia wapi kipanyaNakazia [emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]
‘We’ve Militarized Ukraine!’ - Furious Wagner Chief on How Putin’s ‘Special Operation’ Has Backfired
Yevgeny Prigozhin covered a lot of topics in his most recent interview including how he believes ‘Russia needs to live in the image of North Korea for a certain number of years.’
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lakini kuishi kama North Korea kweli ni tishio... nchi penye njaa mara kwa mara; nchi ambako unaamriwa kuachana jina lako kama jina hili linafanana na jina la dikteta au familia yake; nchi ambako watu wasiopendwa na dikteta wanauawa kwa mizimga mbele ya kamera .... nchi ambako unaona picha ya dikteta mnene (na binti mnene) katika taifa la watu wembamba ... (halafu unapaswa kucheka mara akicheka!!)Nakazia [emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]
‘We’ve Militarized Ukraine!’ - Furious Wagner Chief on How Putin’s ‘Special Operation’ Has Backfired
Yevgeny Prigozhin covered a lot of topics in his most recent interview including how he believes ‘Russia needs to live in the image of North Korea for a certain number of years.’
hahaaYaani na wewe wa kuamini kwamba Urusi apigane na Ukraine mwaka mzima na nusu? Putin angekuwa na akili angeachana na hii vita haina uhai kwa Taifa la Urusi.
Sasa mzee anatembea na Ramani ya Urusi ya karne ya 15 hadi 18 kama siyo kudata ni nn ? anakomboa majimbo yote..
Ungesema: Prigo alikusanya watu ambao hawakutakiwa kuishi alituma makumi elfu dhidi elfu chache aliwatumia kama panya kwa kusudi la kuchosha wateteaji bila kujali vifo . . .Wakati huo huo yeye anawaokota watu ambao hawana hata mafunzo ya kijeshi na kuwapiga hao wanajeshi wa Ukraine na NATO wenye mafunzo kweli maisha bila unafiki hauendi
Na Hiki ndicho kimewapata
====
MOSCOW (Sputnik) - Ukrainian nationalist formations that infiltrated Russia's Belgorod region have been blocked and defeated, the Russian Defense Ministry said on Tuesday.
"The Kiev regime, having suffered a defeat in the city of Artemovsk (Bakhmut), proceeded to carry out terrorist actions against the civilian population. On May 22, after intensive artillery shelling of ... a number of civilian facilities in ... the Belgorod region, a unit of the Ukrainian nationalist formation invaded Russia's territory. In the course of the counter-terrorist operation, the nationalist formations were blocked and defeated by air strikes, artillery fire and the active actions of the units covering the state border of the Western Military District," the ministry said in a statement.
More than 70 Ukrainian terrorists, four armored fighting vehicles and five pickups were destroyed as a result of the counter-terrorist operation, the ministry said, adding that the rest were driven back to the territory of Ukraine, where they continued to be hit by fire until they were completely eliminated.
Video
====
mkuu nenda google map ....Naomba kujua umbali Kati ya Bhamut na Kyive? Lengo nifanye makisio ya Muda wa kugomboa Kyive.