Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bado mnamsikiliza Prigo? Hamkomi??
Kwa nini simsikilize? Naangalia kila upande. Nahofia huyu si nabii nzuri. Lakini hasira juu ya maisha ya matajiri wa juu tofauti na watu wadogo wanaotumiwa kwa vita ya Putin inaeleweka; sidhani Prigo ni mtu wa pekee anayeona jambo hili. Ila yee hadi sasa ana uhuru wa kusema wazi - tofauti na wengine.
Na wewe umheshimu kidogo. Maana amekuletea zawadi yako ya Bakhmut (au: mashimo pale ambako Bakhmut ilikuwepo zamani)
 
usheni tena kinzhal muone zinakaangwa angani mbona tok siku ile mliporusha 6 hamjarusha tena ninaibu tupu na wale scientists wa hypersonic waliokamatwa ninkwajili gani hahhaha aibu yenu aisee.
Kwanza inashangaza warushaji hawaja rusha sita pili waambieni akina baiden na wenzie walete zile chumachuma zao alafu uone kama hazitarushwa

Nakusalimia kwa jina la Bakhmut

Kile kikosi cha anga kilikuwa likizo ya siku kumi baada kusambaratisha ule mfumo wa Marekani..

Sasa wamerudi, Leo wamerusha kombora Kwa mara ya kwanza Ukraine, hivyo tulia uendelee kushuhudia Urusi anavyotawala anga la Ukraine mbele ya Machuma chuma ya USA/NATO.
 
Kuna mchakato umeanzishwa wa waasi wa Belgorod kupiga kura ya kuwa sehemu ya ukraine., mwenye updated atuhabarishe tafadhari [emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Apdate za Bakhmut vipi au ndio ushakubali kiaina ndiomaana umeamua kuamisha magoli
 
Kile kikosi cha anga kilikuwa likizo ya siku kumi baada kusambaratisha ule mfumo wa Marekani..

Sasa wamerudi, Leo wamerusha kombora Kwa mara ya kwanza Ukraine, hivyo tulia uendelee kushuhudia Urusi anavyotawala anga la Ukraine mbele ya Machuma chuma ya USA/NATO.
Mkuu mbona unakimbia swali lake kuhusu hatma ya wataalamu wa roketi waliokamatwa Urusi?
 
Prigozhin mwenyewe kakili kichapo kilivyo kikali,ajabu tukileta hapa takwimu basi ni propaganda!
Screenshot_20230524-204053.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
China ime waambia Mabalozi wote Wakigeni Nchini china Kuondoa Posters zote zinazo Husika na Kuisapoti Ukrein

Chinese authorities urged foreign embassies in Beijing to remove posters in support of Ukraine — Kyodo News Agency
Safiiiii hakuna kusapoti MAGAIDI
 
Kumbe hadi sasa walikuwa wapole? Tuone kama wana kitu. Angalau ilionekana walikosa askari kulinda mpaka wao , , ,

Russia promises ‘extremely’ harsh response to incursions​

Russia has threatened Kyiv with an “extremely” harsh response to all future incursions after Moscow deployed jets and artillery this week to fight off an armed group that crossed the border from Ukraine.
“We will continue to respond promptly and extremely harshly to such actions by Ukrainian militants,” Russian Defence Minister Sergei Shoigu told military officials after two days of fighting in the southern region of Belgorod.
Ukraine has denied that it was involved in the operation.
 
Najua wengine hawampendi Prigo tena (na mimi simpendi) lakini ana uhuru wa kusema . . .

Prigozhin names Ukraine as one of the world’s top armies, stating the obvious​

"They have a high level of organization, a high level of training, a high level of intelligence, they have different weapons," he told Russian propagandists.
“Moreover, they work on any system: Soviet, NATO, anything – equally well.”
Prigozhin again criticized the Russian troops, saying that they "dragged their feet across Ukraine in search of Nazis."
"They approached Kyiv, then, in Russian, they sh*t their pants and withdrew," he said.
"Then they came to Kherson, sh*t their pants, and left. Izyum, Krasny Lyman... And somehow everything is not working out for us."
According to the General Staff of the Ukrainian Armed Forces, Russia's total losses since the beginning of the full-scale invasion have exceeded 204,000 soldiers.
 
Back
Top Bottom