Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wengi wao ni ma copy cats wakisikia neno lolote kutoka western main stream media specifically USA na wao wanalidaka kama simaku - ukiwahoji ni lini Saudi Arabia iliwahi kupiga kura za kuchagua viongozi wa Taifa hilo - uwezi kupata jibu kwa sababu Merikani haijawahi kubatiza Saudia kwamba nalo vile vile ni Taifa lenye mlengo wa kidikteita na baadhi ya waswahili humu wako kimya kabisa - kazi za baadhi ya waswahili ni kumsema sema vibaya Kim.

Kwani Kim aliwahi kulikwaza nini bara la Afrika au kuingilia katika mambo yao ya ndani?? Tatizo kubwa hapa ni kwamba US ikichukia taifa fulani kuna baadhi ya members wa JF nao wanakuwa bendera fuata upepo tu, basi.

We fikiria US inakwenda maelfu ya KM kutoka Merikani kuja South Korea na kujifanya wapo kwenye mazoezi ya kijeshi na Korea kusini kumbe lengo lao hasa ni kwenda kumchokoza Kim waone atasema nini, Kim aki-react wanamuona ni mbaya wanataka Dunia nzima nayo imchukie Kim - akili gani hizi. Tusije tukajidanganya Kim naye emekwisha jitayarisha vilivyo kijeshi kukabiriana na uchokozi wa Merikani na Korea Kaskazini possibly na Japan.
Sina cha kuongeza Kwa Sasa Kwa andiko lako hili Safi na murua..thanks...
 
Any country that ally itself with America will be the result of these people
IMG_20230529_152531_348.jpg
 
MoD Russia:
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation

(29 May 2023)

Part I (see Part II)

◽️The Russian Armed Forces launched a long-range air-based high-precision weaponry strike against the enemy targets at the airfields.

💥 The goal of the attack has been reached. All the assigned targets have been neutralised.

💥 As a result of the strike, the AFU command posts and radar stations, as well as aircraft, and munition depots have been hit.

◽️In Kupyansk direction, the attacks, launched by aviation, as well as the artillery of the Zapad Group of Forces, have resulted in the neutralisation of the enemy units close to Novomlynsk, Kislovka, Glushkovka (Kharkov region), and Stelmakhovka (Lugansk People's Republic).

💥 The actions of 2 Ukrainian sabotage and reconnaissance groups have been suppressed close to Sinkovka (Kharkov region), and Rozovka (Lugansk People's Republic).

💥 The enemy losses were up to 65 Ukrainian servicemen, 3 motor vehicles and D-20 and D-30 howitzers.

◽️In Krasny Liman direction, the attacks, launched by Operational-Tactical and Army aviation, as well as artillery of the Tsentr Group of Forces, have resulted in the neutralisation of the AFU units close to Makeevka, Chervonaya Dibrova (Lugansk People's Republic) and Grigorovka (Donetsk People's Republic).

💥 The enemy losses were up to 55 Ukrainian servicemen, 2 pickup trucks, 1 D-20 howitzer and 1 Gvozdika self-propelled artillery system.

◽️In Donetsk direction, as a result of intensive action of the units, air strikes and artillery fire of the Yug Group of Forces, the enemy losses were up to 145 Ukrainian servicemen, 2 armoured fighting vehicles, 2 pickup trucks, and 1 D-30 howitzer.

💥 1 U.S.-manufactured AN/TPQ-50 counterbattery warfare radar has been destroyed near Orlovka (Donetsk People's Republic).

💥 2 ammunition depots of the AFU 79th Airborne Assault Brigade have been destroyed close to Maksimilyanovka (Donetsk People's Republic).

◽️In South Donetsk and Zaporozhye directions, the attacks, launched by aviation and artillery of the Vostok Group of Forces have resulted in the neutralisation of the enemy units close to Ugledar (Donetsk People's Republic), Malinovka, Belogorye, and Kamenskoye (Zaporozhye region).

💥 The enemy losses were up to 140 Ukrainian servicemen, 10 motor vehicles and 2 D-30 howitzers.

💥 1 AFU ammunition depot has been destroyed near Otradnoye (Donetsk People's Republic).

◽️In Kherson direction, the enemy losses were up to 20 Ukrainian servicemen, 3 pickup trucks, 1 D-30 howitzer and 2 Gvozdika self-propelled artillery systems.

#MoD
🔹 @mod_russia_en

⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation

(29 May 2023)

Part II (see Part I)

💥 Operational-Tactical and Army aviation, and Artillery of the Russian Group of Forces have engaged 87 AFU artillery units, manpower, and hardware in 124 areas during the day.

💥 1 hangar with weapons and military equipment of the AFU 126th Territorial Defence Brigade has been hit near Berislav (Kherson region).

◽️ In addition, a command and observation post and a missile and artillery weapon depot of the AFU 110th Mechanised Brigade have been hit close to Avdeevka (Donetsk People's Republic).

💥 Air defence have intercepted 3 Storm Shadow cruise missiles and 13 HIMARS multiple-launch rocket system projectiles.

◽️ Moreover, 14 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been shot down close to Verkhnekamenka, Novodruzhesk, Pshenichnoye (Lugansk People's Republic), Yasnoye (Donetsk People's Republic), Vasilyevka, Lyubimovka and Kostantinovka (Zaporozhye region).

📊In total, 429 airplanes, 235 helicopters, 4,371 unmanned aerial vehicles, 424 air defence missile systems, 9,324 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,100 fighting vehicles equipped with MLRS, 4,934 field artillery cannons and mortars, as well as 10,527 special military motor vehicles have been destroyed during the special military operation.

#MoD
🔹 @mod_russia_en
 
Leo huko Kiev wamekimbia kama Digi digi
makombora yanawanyima raha
unaambiwa saivi Mrusi kaamua Kudili na Kiev huko huko
yaani nimwendo wa makombora
Raia waonje Moto
si watoto si wakubwa wanakmbia hovyo


There have been 12 explosions in Kiev in a 3 minutes period this morning.

A powerful blow to Kiev is delivered by hypersonic and ballistic missiles, took the air defense by surprise.

There was a smoke at Zhulyany airport.
 
Erdogan: mashoga hawaitajiki turkey

Gays not welcome – Erdogan
The Turkish leader vowed to protect “sacred” family values in his victory speech on Sunday
Gays not welcome – Erdogan
President Recep Tayyip Erdogan delivers a speech to supporters outside his residence in Istanbul,

May
President Recep Tayyip Erdogan, who portrays himself as a defender of traditional Islamic values,

has once again labeled the opposition as ‘LGBT’, and insisted that liberal Western ideology will never infiltrate his ruling party or its nationalist allies.

Türkiye’s Supreme Election Council confirmed Erdogan’s decisive victory over Kemal Kilicdaroglu on Sunday evening.

In the run-up to the election, Erdogan repeatedly accused Kilicdaroglu and his allies of being pro-LGBT, and voiced similar charges in his victory speech in front of a jubilant crowd in Istanbul
Putin-Russia
Erdogan-Turkey
Orban-Hungary
Wamepigania sana traditional family values at their capacity....Bila shaka Mungu atawalipa kwa hili
 
Hiv hawa wakenya watatu hua wanamatatizo gani.maana hua wanapotosha ukweli na kuandaa uongo utazani wanalipwa.kila cku lazima watafute kitu negative cha kupost.hata cku wakipost ukweli czan kama kuna atayewaamin.
 
Tudeal kwanza na
emoji1255.png
na RUSSIA
emoji635.png
ila sisi nani mpaka tuwalaumu US kwani sisi tunanyadhifa zipi pale MEHRABAD

Shida mnapenda kulisha watu maneno kama IRAN
emoji1130.png
hua anasema US anahusika kwa namna A ama B sisi unataka tubishe kama nani

Hata ule mwaka drone ya US Ile eagle
emoji1659.png
kama sijakosea ilipopolewa Kule maeneo ya ghuba ya hormuz

IRAN
emoji1130.png
walisema wameitungua drone ya US ila US wakapinga katakata mwisho US akaanza kupiga kelele arejeshewe kimeo chake

Nahisi aliregeshewa ila sidhanii mwisho IRAN
emoji1130.png
anaongea ukweli nusu lakini US anaongea uongo Kamili US sio wakuaminika kabisa

Ikianza kaunta offensive tuambiane MKUU mimi nimekaa pale
Iran mpakani imevamiwa na Taliban wanagombea sijui mto sijui bwawa.
Iran hiyo unayosema inatumia ndege na helikopta zimetengenezwa na Marekani miaka zaidi ya 40 iliyopita, na ndio wanaringia wakati Marekani ishaachana nazo muda. Hata jana walivyopigwa na Taliban wakaleta helicopters za Marekani.

Alafu Marekani hatengenezi ndege ili ziwe immortal. Ndio maana ana maelfu ya ndege ila nyie mnashangilia kudondosha moja. Hakuna vita ambayo Marekani haijawahi poteza ndege.

Sasa Iran iendelee kuchonga mdomo ndio itajua kwanini Marekani ilipoondoka Afghanistan iliacha silaha na Taliban waliisindikiza. He who laughs last....
IMG_20230529_155150.jpg
 
[emoji298]At a May 29 press conference, Moldova’s President Maia Sandu warned against the dangers of Russian propaganda and disinformation in the country and proposed the creation of a new governmental body to counter this threat.

The envisioned “Patriot Center” would coordinate and implement the state's strategy on combatting disinformation, Sandu said.

“Russia cannot attack our country through military means, so it keeps attacking us through lies, propaganda, and disinformation,” the president commented.

“The Kremlin spends massive sums on spreading lies in the media, on social networks, and uses dirty money to finance criminal groups that seek to hinder our country’s development… With large amounts of money, with troll factories working around the clock, they are trying to weaken Moldova with repeated attacks”

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
ii ramani ya mwaka gani?? Hivi huna habari kwamba mtu yeyote anaweza kitumia apps za kudigitally manipulate picha/Audio na video clips kwa malengo ya propaganda/kisiasa - hivi kwa akili za kawaida inaingia akilini kwamba member mmoja anatujia na horror stories kuhusubomba la gesi la kutoka Urusi kwenda Uchina - huna even an iota kwa kile kinacho endelea badala yake huko overly obsessed kuzisema vibaya na former and current communists Nations kama nini sijui kwa nini - mara Urusi mara Uchina mara North Korea ??
Eti North Korea wanakufa njaa, una ushahidi gani, hata picha zenyewe ukiangalia style za nywele na mavazi ya wanafunzi zinaonekana ni za kizamani na si lazima ziwe zimipigwa Korea Kaskazini, Korea kaskazini haiwezi kuruhusu ujinga huu.
Mkuu nisipokosei ni ramani ya sasa. Ukiwa na ramani nzuri zaidi - lete! Menginevyo unajadili horror story gani??
Former communist nations kweli kuna matatizo - ona tu tatizo la ufisadi nchini Ukraine!
Ila swali kama bomba fulani linaanza wapi na kuelekea wapi - je kuna uhusiano na ukomunisti ????
 
Back
Top Bottom