DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,525
- 4,665
NIMEJARIBU KUFILL MIMI NDO MWANAJESHI WA UKRAINE ALAFU UPO ZAKO UMEPOA KAMBINI PEMBENI KIDOGO GHAFLA KAMI INALIPULIWA NA WARUSI WENZAKO WANALIPUKIWA NA KUKATIKA VIPANDE YAN DAH KUMAMAK*** USIOMBE VITA, VITA NI HABARI NYINGINE MJUE!!![]()
Urusi leo yachoma ndegevita tano za Ukraine na uwanja wa ndege wa kijeshi; maafisa wa Ukraine huficha ukweli wa uharibifu
Reuters yasema kuwa leo Urusi imeipelekea Ukraine moto mkali mno na kuchoma vibaya vituo vya kijeshi vya Zelensky. Mashambulizi ya anga yamechoma uwanja wa ndege wa kijeshi pamoja na ndegevita tano magharibi mwa Ukraine kwenye mkoa wa Khmelnytskiy. Bloomberg imefafanua zaidi kuwa ktk mashambulio...www.jamiiforums.com