Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Zelensky amejificha nchi gani? Nasikia hayupo Kiev tangu Medvedev aliposema Zelensky awe eliminated.
Mkuu, hata ungelikuwa wewe, ungebakia hapo Ukraine?
Yaani unajua kabisa kwamba hawa jamaa wanataka kuniua na hata nikijificha kwenye handaki gani wanauwezo wa kulichimbua, na kukuulia humo ndani, sasa si bora ukimbie tu kuokoa roho yako...