Huyu jamaa mm nikishaona nyuzi kaanzisha yy hua sijisumbui kusoma kabisaaa mna ni pumbaless tu hana cha maana kabisaa uyu mkenyaWakati MK254 akiendelea kuteseka hapa jamvini dhidi ya Urusi, Lavrov kafanya ziara ya kikazi nchini kenya na ame-shake hands na spika wa Bunge la Kenya jijini Nairobi.
View attachment 2639798
Ilikuwa ni serikali iliyopita .....ya KenyattaMwanzoni mwa vita vya Ukraine na Urusi,Kenya ilionekana kuilaani Urusi na hata kutoa hotuba iliyosifiwa dunia nzima pale UNSC,Cha ajabu sasa hivi wanaonekana kuwa mstari wa mbele kupinga Mambo yoote ya Magharibi,juzi tuliona Ruto akiwaambia wakenya waache dollar,Jana Lavrov katua Nairobi kimya kimya,Leo wanahanasisha nchi za Africa waache dollar,Euro etc kwenye biashara wanataka PAPSSS itumike Africa. Majirani kulikoni I?? MK254 njoo huku utuambie hii U-turn Ina maana Gani.
![]()
Kenya revives push by African nations to ditch the dollar
President William Ruto has asked African leaders to take first steps towards ditching the globally-bullish US dollar.www.businessdailyafrica.com
Hii kitu ni hatari sana kuliko maelezo. Wenyewe wanasema kabla hawajaliona watu wa Chalinze, tayari linakuwa limevuruga kabisa ikulu ya Kwin Camilla, likifurushwa kutoka Mwanza.[emoji3][emoji3]View attachment 2638568
Kama hamwaamini kwa hili, basi aminini kile walichosema kwamba silaha za NATO zingegeuzwa machumachuma Ukraine. Hilo vepi, mkuu?[emoji3][emoji3]
warusi bhana kwa hiyo na kuichakaza kote ukraine nchi imebakia magofu lakini bado wanasema hawapo vitani ....View attachment 2638587
Sasa ni kwamba, ^Wapigweee!^ ~ in Gwajima's voiceErdoğan ameshinda mashoga yamenuna huko
Itakuwa majirani walimwambia Mbepari, Aisee saidia huku njaa ni kali sana.Mwanzoni mwa vita vya Ukraine na Urusi,Kenya ilionekana kuilaani Urusi na hata kutoa hotuba iliyosifiwa dunia nzima pale UNSC,Cha ajabu sasa hivi wanaonekana kuwa mstari wa mbele kupinga Mambo yoote ya Magharibi,juzi tuliona Ruto akiwaambia wakenya waache dollar,Jana Lavrov katua Nairobi kimya kimya,Leo wanahanasisha nchi za Africa waache dollar,Euro etc kwenye biashara wanataka PAPSSS itumike Africa. Majirani kulikoni I?? MK254 njoo huku utuambie hii U-turn Ina maana Gani.
![]()
Kenya revives push by African nations to ditch the dollar
President William Ruto has asked African leaders to take first steps towards ditching the globally-bullish US dollar.www.businessdailyafrica.com
Hawajawahi kuwa nayo, mkuu! So, hawajapoteza kitu. Ni kwamba tu mawazo yetu ndiyo yamepokea ufunuo mpya na wa kweli, wenye uhalisia.Western countries washapoteza supremacy........ militarily, economically
Kweli Russia sio Lesotho [emoji1]
Sasa hiyo isingekuwa ^pumbaless,^ mkuu. Labda ungesema, ^pumba-full^ ama ^pumba-fool,^ ama uweke ^vu^ kabisa pale mwishoni ili tujue moja kuhusu huyo jirani yao.Huyu jamaa mm nikishaona nyuzi kaanzisha yy hua sijisumbui kusoma kabisaaa mna ni pumbaless tu hana cha maana kabisaa uyu mkenya
Kwamba Warusi wanapita kiota kimoja hadi kingine, au siyo? Zelensky akubali tu kwenda kuketi na Putin kwenye ile meza ndeefu ya Moscow ili wayamalize kiungwana.Magaidi wanasakwa popote pale na inashangaza Sky News wanahoji kwa nini Urusi inaishambulia Kyiv badala ya wanajeshi.! Kyiv ni kitovu cha ugaidi na lazima ifunuliwe nje ndani hadi yule gaidi mkuu apatikane.
Kwin Camilla naye angekuwa mjanja angechangamkia fursa. Why ukumbatie the losing side, kisa tu kutembelewa na VP mwanamke kama yeye? Wake up, Madam!Wakati MK254 akiendelea kuteseka hapa jamvini dhidi ya Urusi, Lavrov kafanya ziara ya kikazi nchini kenya na ame-shake hands na spika wa Bunge la Kenya jijini Nairobi.
View attachment 2639798
Weka akiba ya maneno, mkuu. Unajua mwakani kuna arusi, halafu maharage ya ukweni lazima yawepo.Zele akirudi Kiev niiteni Ubwa nimekaa paleeeeee!
Mpaka May 20 mwakani watu tunafanya usafi ili tuwajengee watoto shule wasome
😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu hatakiwi kuliwa kichwa, mkuu. Anapaswa kukaa lockup pale Moscow, aendelee kushuhudia bosi wake US anavyoporomoka.It's time Clown Zelensky went to join his MAKER in heaven his Generals should have done something by now to save Ukraine and her citizens - Zelensky doesn't seem to be bothered at all is currently going around around the World like a Roving ambassador looking for money and arms instead of pursuing for peace.