President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hapana, atabanwa badae atalegeza baadhi ya Sheria , kikubwa atakachofanya bideni ni vikwazo. Kama kweli anataka demokrasia aruhusu nchi zifanye maamuzi Kwa kura juu ya ushoga,. katika Afrika watu wengi watapinga.Museveni alichokifanya Leo,huenda ndio mwanzo wa mwisho wa utawala wake!
USA yenyewe imechoka. USA sasa ni zee lisilo na meno.Si
Hapana, atabanwa badae atalegeza baadhi ya Sheria , kikubwa atakachofanya bideni ni vikwazo. Kama kweli anataka demokrasia aruhusu nchi zifanye maamuzi Kwa kura juu ya ushoga,. katika Afrika watu wengi watapinga.
Hizo drone hazitoki mbali, putini anawahadaa warusi kuwa ukreni akiachwa anauwezo wa kushambulia urusi.[/QUOTE]Si vibaya kujifariji[QUOTE="kitonsa, post: 46621135, member: 51767
pia nimefatilia kuna uwezekano urusi kausika mwenyewe kujishambulia ,ili apate sababu ya kutupa makombola mengi zaidi ukraine
Urusi Ina lengo la kuigeuza Kiev kuwa Mariupol taratiiiibu[emoji845][emoji91]Kiev was attacked at night for the 3rd time in a day by 20 kamikazes
The authorities and the media publish footage of the consequences of the work of air defense and fallen debris.
The house burned down and one person was reported dead and injured.
t.me/RVvoenkorView attachment 2640433
Kmmmake🤣🤣🤣Rais wa Korea Kaskazini ametangaza nchi nzima; wanaume wote kupimwa sehemu za siri. Yeyote atakae bainika kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja; adhabu yake ni kifo.View attachment 2640536
Wewe huwa huna akili sikuzingatii sana.Vizuri uje na video au picha sio maneno matupu
.Urusi Ina lengo la kuigeuza Kiev kuwa Mariupol taratiiiibu
Imeua watu Wote na sasa watamuua kenge Zelensky akae tayariPutin confirms strike on Ukrainian military intelligence HQ
Heh bila hata kapicha?Putin confirms strike on Ukrainian military intelligence HQ
Sawa mimi sina akili ila wewe mwenye akili unayetuambia kuwa drone zinashambulia majengo ya moscow kama vile kiev wakati huna hata picha ya hayo mashambulizi. Shambulizi hata AC imeshindwa kizulika inaendelea kupiga kazi alafu leo hii uje kufananisha na mashambulizi ya kiev.utakuwa dish limeyumba sio bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe huwa huna akili sikuzingatii sana.
Izi drone Ukraine watakuwa wanazinunua Albaba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].maana izi ni drone za kuvunja viooKufuatia drone zilizotushwa Moscow, usiku wa leo utakuwa mgumu ila Patriot zitatuvusha salama