Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

pia nimefatilia kuna uwezekano urusi kausika mwenyewe kujishambulia ,ili apate sababu ya kutupa makombola mengi zaidi ukraine
Hata Mimi nahisi hivyo maana kuna dalili NATO kuingiza jeshi Ukraine, naona Putin kaamua kukaba eneo kwamba akamate eneo kubwa na abakishe eneo dogo ambalo litakuwa na faida Kwa jeshi lake maana hakutakuwa na front line nyingi
 
[emoji845][emoji91]Kiev was attacked at night for the 3rd time in a day by 20 kamikazes
The authorities and the media publish footage of the consequences of the work of air defense and fallen debris.
The house burned down and one person was reported dead and injured.
t.me/RVvoenkorView attachment 2640433
Huu ni Uhalifu wa kivita wa Urusi.
 
Sawa mimi sina akili ila wewe mwenye akili unayetuambia kuwa drone zinashambulia majengo ya moscow kama vile kiev wakati huna hata picha ya hayo mashambulizi. Shambulizi hata AC imeshindwa kizulika inaendelea kupiga kazi alafu leo hii uje kufananisha na mashambulizi ya kiev.utakuwa dish limeyumba sio bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Angalia katikati ya kiev palivyofanywa na WarusiView attachment 2640586View attachment 2640587
Ukidanganya jifunze kujifichs
IMG_20230530_193014.jpg
 
Sawa mimi sina akili ila wewe mwenye akili unayetuambia kuwa drone zinashambulia majengo ya moscow kama vile kiev wakati huna hata picha ya hayo mashambulizi. Shambulizi hata AC imeshindwa kizulika inaendelea kupiga kazi alafu leo hii uje kufananisha na mashambulizi ya kiev.utakuwa dish limeyumba sio bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Angalia katikati ya kiev palivyofanywa na WarusiView attachment 2640586View attachment 2640587
Sijakuonea kusema huna akili.
 
[emoji298]Russian dictator Vladimir Putin commented on a May 30 drone attack against Moscow, blaming it on Ukraine and threatening Kyiv with "mirror actions," reported Radio Free Europe/Radio Liberty's Russian service.

Mykhailo Podoliak, an advisor to the head of Ukraine's Presidential Office, denied Kyiv's involvement in the attack, which reportedly damaged several high-rise buildings in the Russian capital.

Learn more: Putin comments on Moscow drone attack, threatens with 'mirror actions'

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sawa mimi sina akili ila wewe mwenye akili unayetuambia kuwa drone zinashambulia majengo ya moscow kama vile kiev wakati huna hata picha ya hayo mashambulizi. Shambulizi hata AC imeshindwa kizulika inaendelea kupiga kazi alafu leo hii uje kufananisha na mashambulizi ya kiev.utakuwa dish limeyumba sio bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Angalia katikati ya kiev palivyofanywa na WarusiView attachment 2640586View attachment 2640587
Duh hapo nasikia kulikua na watu wa Nato kibao
 
In Kyiv, the court ordered the Investigation Bureau to open a case on the possible betrayal of Zelensky and his closest associates. Deputy Geo Leros, expelled from the Servant of the People party for criticizing Zelenski, managed to open a case of treason against Zelenski and his closest accomplices through the court. The reason why Leros suspected the first persons of Ukraine of terrible treason was the appointment of "FSB agents" to positions in the SBU that they allegedly pushed through.
FxYmOe0acAQvgON.jpg
 
Back
Top Bottom