Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu hiki ukichoandika ni matarajio yako binafsi, lakini Kwa urusi mambo ni tofauti kabisa labda nikuulize maswali machache

1) kama Vita hii ingeisha ndani ya mwezi mmoja tu, unadhani ujerumani uchumi wao ungeyumba kama sasa???

2)Kama Vita ingechukua muda mfupi ulaya ingeingia kwenye mdororo wa uchumi?

3) Kwa unavyofikiria kuiangusha ulaya na marekani kwenye kutawala dunia ni suala la mwezi mmoja???

4)hivi unajua inahitajika miaka miangapi ili kuiondoa dollar kwenye global currency????

5)hivi ushajiuliza itahitajika miaka miangapi mpaka kuifanya uchumi wa dunia kutoka west na kuhamia east????

Hii Vita inatakiwa ichukue kama miaka mitano au hata kama itaisha ya Ukraine inatakiwa itokee nyingine ambayo itatengeneza mazingira ya uadui huu Kwa miaka mitano ijayo, katika kipindi hicho ulaya ikose nishati ya bei rahisi na mchina aendelee kupata gas ya bei rahisi ili kwenye ushindani wa bidhaa mchina aongoze kuuza kwenye soko la dunia,

Kwa hiyo hii Vita ni sababu tu lakini kuna mambo mengi yanatakiwa kufanyika kipindi hiki cha uadui wa west na urusi ili hadi wakija kufikia muafaka west wapo nje kwenye kuongoza dunia kuanzia kwenye uchumi, kisiasa na kijeshi
Umesema vyema [emoji106][emoji106]
 
Tuliza Ball Bro. Kumbuka counter offense kwa kutumia F16 yaja. Makamanda wapo masomoni nchi za Ulaya na Marekani. Lazima maji muyaite Mmmaaaa!!
Ndio maana nasema akili zenu za mbayuwayu.Kwanza mpaka sasa nchi ambazo zingetoa F-16s kama Poland,Portugal,Sweden nk. zimeshasema hazina za ziada za kutoa.Halafuu,hata kama hizo F-16s zingekuja,hazina uwezo wa kushindana na 5th and 6th generation aircraft za Urusi.Kumbuka kwamba F-16 ni 4th generation aircraft na hazina stealth capability,kwa hiyo zinatunguliwa tu kama maembe.Infact kama hamjui, capability ya F-16s ni sawa tu na Mig-29s za Urusi,ingawa kwa parameters zingine,Mig-29 ni better,so the Ukranian Army would be better off with Mig-29s👇,ni ujinga tu wa Zelensky,ndumu na ngada tupu!

Huleti the best kwanza in war,never,the best comes when the war intensifies.Russia knows they will fight NATO directly,so the best is waiting for the much anticipated direct NATO confrontation.
Mkuu huna habari ya vita. Ukishambulia unatumia nguvu yako yote ushinde haraka. Putin si kichaa alituma silaha bora na vikosi bora mwaka jana. Ila alikadiria vibaya alipoteza vikosi na vifaa.
Kwa mantiki yako angeanza na T55 na hizo T72 za kale. Hakufanya maana alijua kazi - tofauti na wewe
 
Umshana sio kwa case ya vita ya Ukraine.This is a proxy war,na Putin anajua kwamba akishinda,and he will,NATO wataingia directly vitani na Urusi.Ndio maana nasema wewe kwenye discussion sio my equal.Panya unaweza kumpiga kwa risasi,huku ukijua kwamba you have a stronger enemy ahead,si utakuwa juha kweli,Umshana vipi ndugu.
 
Ndo maana huwa sibishani na pro-nato akili zao ni kama huyu
🤡Nude Man Stages Ukraine Protest On Vatican Altar

In St. Peter's Basilica in the Vatican, a man stripped naked and climbed onto the main altar in protest against the war in Ukraine. He had the inscription "Save the Children of Ukraine" on his back.

Those present, along with the gendarmes, immediately intervened and forced the man to dress again, taking him in for questioning and identification.

The man said that he was suffering because of the conflict, as he was worried about Ukrainian children and Russian strikes.

If this man is so worried about Ukraine, why is he not in his 'Mother Land'?

@ukraine_watch
Vatican na Freemasonry ni kitu kimoja,sasa Ukraine na kutembea uchi inahusiana Nini? Mathanzua
 
20230603_090213.jpg
 
The U.S. administration believes that together with allies and partners, they have adequately provided military assistance to Ukraine for conducting a counteroffensive, National Security Council spokesman John Kirby said on June 2.

"First and foremost, we are very pleased that we have met Ukraine's needs for conducting its counteroffensive at the moment. When they will begin (the offensive), it depends on them, but we are confident that we have done everything possible. And when I say 'we,' I mean not only the US but also our allies and partners," Kirby said, according to Ukrinform correspondent.

According to him, it is not only about providing Ukraine with air defense systems, which are currently the most pressing need, but also about supplying armored vehicles, artillery, ammunition, and conducting training.

Kirby stressed that as Ukrainian army operations continue and territories are liberated, there will be a need for replenishing ammunition and equipment.

"Combat actions are a dynamic thing, and we have to be certain that we are 'dynamically' ready to support them further. So, we have done a lot, and we are ready to continue doing a lot in the coming days and months," Kirby was quoted as saying.

The U.S. administration on May 31 announced the allocation of the 39th package of defense assistance to Ukraine which includes Patriot air defense batteries, ammunition and other defense equipment.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Inafanya kazi gani saivi?
Whether damaged or destroyed is immaterial cha muhimu hapa ni kuidhilishia Dunia kwamba kwamba Patriot whatever series imetwangwa/tiwa kiberiti na a lightening fast Russian no nonsense missiles.

Hizi mbinu mfirisi za Kimerikani za kutaka kuharibia sifa silaha za Urusi na Uchina sasa kibao kimewagehuka hakuna Taifa lolote lenye akili timamu litakimbilia kununua Patriot sijui ya series gani kulinda Taifa lake - ufanisi wake umekwisha dhiilika ni dismal kabisa kulinganisha na silaha za kisasa za Urusi - mfano angalia wana sayansi wa Urusi walivyo fanukiwa ndani ya miezi michache kudhibiti roketis za HIMARS pamoja na launchers zake zinazo fichwa maporini - Roketi za HIMARS zinashushwa kama nzinge kutoka angani, ni nadra sana kusikika na kuwa tishio tena kwa Taifa la Urusi na mataifa yaliyo jiunga na Urusi hivi karibuni.
 
Ndio maana nasema akili zenu za mbayumbayu.Kwanza mpaka sasa nchi ammbazo zingetoa hizo F-16s kama Poland,Portugal,Sweden nk. zimeshasema hazina za ziada za kutoa.Halafuu,hata kama zingekuja haziwezi kushindana na 5th and 6th generation za Urusi.Kumbuka kwamba F-16 ni 4th generation aircraft hazina stealth capability,kwa hiyo zinatunguliwa tu kama maembe.Infact kama hamjui capability ya F-16 ni sawa tu na Mig-29 ya Urusi,ingawa kwa parameters zingine Mig-29 is better,so the Ukranian Army would be better if with Mig-29s👇,ni ujinga tu wa Zelensky.Mibange mitupu!

Kuna Fighter Collision inatengenezwa, sasa hivi tayari ina nchi 8 washirika.

Kila kitu kuanzia Long Range Missicle (LRM), F16, Iron Dome Air Defence System (IDADS) na mazagazaga mengine yatapelekwa Ukraine na hii Collission.
 
Matamko mengi, mpeni hata nukes kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wanayasema hayo wakati US/NATO wana airbase kubwa sana pale Ujerumani pamoja na Uturuki lakini Uturuki imekwisha usoma mchezo mzima haiwezi kukubali kuingizwa kwenye mkege na US/NATO unlike other Europeans US Vassals, Uturuki inajitambua.
 
Mkuu huna habari ya vita. Ukishambulia unatumia nguvu yako yote ushinde haraka. Putin si kichaa alituma silaha bora na vikosi bora mwaka jana. Ila alikadiria vibaya alipoteza vikosi na vifaa.
Kwa mantiki yako angeanza na T55 na hizo T72 za kale. Hakufanya maana alijua kazi - tofauti na wewe
Mkuu wewe ndio hujui mapigano, achilia mbali VITA, West sio wajinga kama unavyoainisha Urusi wangeanza sijui na T-nini nini...hapana, ukitaka kumshinda west usitumie akili ya kawaida...tumia random and accurate tactics...ukijifanya kutumia series west wanaiingiza kwenye AI forecast wanapredict next move yako...
Nahisi wewe unamuona Prigo ni kichaa kuropoka na kufanya vitu kama hajielewi...lakini hyo ni kuondoa prediction za AI form za West...
Kaeni kwa kutulia...kunyweni mtori..nyama zipo chini
 
Mkuu nina hakika wewe hutaki wala kumshinda West wala East na mimi sitaki. Ila mantiki ya kila mapigano ni utumie nguvu ili umalize haraka.
Putin alikadiria vibaya kwa hiyo amepoteza vifaru hivyo 2000 na lakhi mbili za askari wake. Ardhi aliyotaka kukamata haraka inaharibika. Vita ndefu ni hasara tu. Kwa pande zote mbili, lakini anayeanza vita halengi kuwa na vita ndefu.
 
Mkuu huna habari ya vita. Ukishambulia unatumia nguvu yako yote ushinde haraka. Putin si kichaa alituma silaha bora na vikosi bora mwaka jana. Ila alikadiria vibaya alipoteza vikosi na vifaa.
Kwa mantiki yako angeanza na T55 na hizo T72 za kale. Hakufanya maana alijua kazi - tofauti na wewe

C ni nyie mlisema hana silaha.mpk mkasema anatumia chepe.wenzio nao wakasema anatumia mpk vifaa vya kwenye washing machine.leo hii tena mnatuambia katumia vifaa bora vyote [emoji23][emoji23].
 
Mkuu wewe ndio hujui mapigano, achilia mbali VITA, West sio wajinga kama unavyoainisha Urusi wangeanza sijui na T-nini nini...hapana, ukitaka kumshinda west usitumie akili ya kawaida...tumia random and accurate tactics...ukijifanya kutumia series west wanaiingiza kwenye AI forecast wanapredict next move yako...
Nahisi wewe unamuona Prigo ni kichaa kuropoka na kufanya vitu kama hajielewi...lakini hyo ni kuondoa prediction za AI form za West...
Kaeni kwa kutulia...kunyweni mtori..nyama zipo chini
Sure [emoji817][emoji817]
 
Back
Top Bottom