Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu nina hakika wewe hutaki wala kumshinda West wala East na mimi sitaki. Ila mantiki ya kila mapigano ni utumie nguvu ili umalize haraka.
Putin alikadiria vibaya kwa hiyo amepoteza vifaru hivyo 2000 na lakhi mbili za askari wake. Ardhi aliyotaka kukamata haraka inaharibika. Vita ndefu ni hasara tu. Kwa pande zote mbili, lakini anayeanza vita halengi kuwa na vita ndefu.

Umshana hujui unachotaka for sure.mwanzo ulianzaga points ila saiv ni pointless,hio nguvu kubwa unayosema ikitumika utafungua uzi wa malalamiko juu ya ukatili wa urusi
 
Mkuu nina hakika wewe hutaki wala kumshinda West wala East na mimi sitaki. Ila mantiki ya kila mapigano ni utumie nguvu ili umalize haraka.
Putin alikadiria vibaya kwa hiyo amepoteza vifaru hivyo 2000 na lakhi mbili za askari wake. Ardhi aliyotaka kukamata haraka inaharibika. Vita ndefu ni hasara tu. Kwa pande zote mbili, lakini anayeanza vita halengi kuwa na vita ndefu.
kwahiyo wewe unataka kutumainisha una akili nyingi kupita Putin na washauri wake??? Una akili nyingi kupita intelejensia ya jeshi la urusi??
 
Kwa mujibu wa Business Insider, Urusi wanatumia 3% ya GDP yao kwenye vita ya kuichakaza Ukraine na kuichosha Nato. Ni kiasi kidogo sana kutumika kwenye vita kuwahi kutokea kwenye historia za vita duniani. Kwahiyo pro Nato mnaomtabiria Urusi kushindwa hii vita siku za karibuni mtakata moto hamjalishuhudia hili.
 

Victor Orban,the only intelligent,sensible,rational and logical Head of State in the EU says,"there is too much ‘blah blah’ in EU politics."​

Statements are repeated at length in Brussels, but are not followed by any action, the Hungarian prime minister has claimed.To me Orban is the only intelligent,rational and logical President in the EU.
Too much ‘blah blah’ in EU politics – Orban

Hungarian Prime Minister Viktor Orban. © Sean Gallup/Getty Images

The European Union is losing its competitiveness and needs more people with commitment and passion, Hungarian Prime Minister Viktor Orban has claimed, according to local media.
There is an increasing amount of “blah blah” in EU politics, the Eurosceptic premier claimed on Friday after a meeting in Budapest with Santiago Abascal, the leader of Spanish far-right Vox party.
Orban said politicians in Brussels repeat things, the meaning of which “we don’t even know,” again and again, but there is no action at the end.
According to the Hungarian prime minister, the EU needs politicians “who want something, who still have energy, dedication and passion.” In his view, those who think along such lines should work together.
Commenting on his meeting with Abascal, he said the two politicians agreed to continue cooperation between Spain’s Vox party and the Orban-led right-wing Fidesz party.
READ MORE: MEPs question Hungary’s ability to take over EU Council presidency
"We would like to see a right-wing turn in Europe as well,” Orban was quoted as saying.
One of the most vocal critics of EU policies, the Hungarian leader has lately been at odds with Brussels over a number of issues, including sanctions against Russia over the conflict with Ukraine. Orban has described the measures as “miscalculated” and warned they could destroy Europe’s economy instead of forcing Moscow to change course.
 
Vatican na Freemasonry ni kitu kimoja,sasa Ukraine na kutembea uchi inahusiana Nini? Mathanzua
Mkuu si ana-protest,na stripping ni aina moja ya protest! Unajua,mimi sina hakika ya kile huyu jamaa alichokuwa anafikiria kichwani mwake,lakini Vita ya Ukraine ina dimensions nyingi sana.Watoto wa Ukraine wanagemwa Adenochrome,viungo vyao vinanyofolewa na kuuzwa.Biashara ya viungo vyao binadamu Ukraine ni kubwa sana.
Damu ya watoto wa Ukraine inagemwa inauzwa,watoto wa Ukraine wanauzwa na kupelekwa kwenye madanguro ya ukahaba,Vatican yenyewe ina tuhuma za kutoa watoto kafara,sijui wengine wanatoka Ukraine?So mambo ni mengi,lipi linalomfanya huyu jamaa a-protest sijui kwa kweli, kama ni yote niliyotaja sijui.Ila nadhani kwa ufahamu wake finyu, anadhani Pope anaweza kukomesha matatizo ya watoto wa Ukraine,kitu ambacho si kweli,kwa kuwa kwa siri Upapa una mkono wake katika mambo hayo.
 
Back
Top Bottom