Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Warussia wana msako wao wa kimya kimya.

Kimasihara masihara tu wamemtandika mkuu wa majeshi wa ukraine na mpaka leo hajulikani alipo.
Kumbe nawe ni mpumbavu kama wengine. Tafuta habari usifuate mkumbo. Kamanda yupo vizuri kabisa
 
It makes no sense for Ukraine to participate in the Vilnius NATO summit if we do not receive a positive and clear signal about joining, — Volodymyr Zelenskyy in an interview with WSJ.

"We don't expect to join NATO during the war, it's too late. It should have been done 15 years before. It is clear that we will not be in NATO or any other strong alliance during this war. But tell me, how many lives of Ukrainians is worth one phrase at the Vilnius summit: "Ukraine will be in NATO after this war, after it will be safe"? How much is it worth?" Zelenskyy said.

When asked by a journalist whether he expects such guarantees from international partners, the President of Ukraine replied that he did not have an answer.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

1685813563175.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yaani nimefunguka kwann mrusi aliahidi angeimaliza operation yake ndani ya week 3 (au siku 3 kama sikosei).
Nimegundua kwanini aliingia kwa speed na kushambulia Sana then akarudi nyuma na kuanza kushambulia mdogo mdogo kwenye maeneo ya kimkakati.
Kumbe jamaa alijua vita ingetumia muda mrefu na Ukraine ni chambo tu .

Ni vita ya kiuchumi na Putin alijua silaha ya kwanza kwa western ingekuwa vikwazo, mwamba alijiandaa kwa vikwazo na swift pia aliitafutia mbadala mapema.
Kitendo cha kuzisanua nchi nyengine nakuona maisha yanaweza kwenda bila dollar. Now days vinchi vidogo vinaropoko lolote dhidi ya USA na ile hofu Hakuna.
Binafsi sijawahi kusoma au kuona video clip hata moja ambapo Putin aliwahi kuzungumzia timeframe kuhusu ni lini vita ya Ukraine itafikia tamati - alisema vitaendelea mpaka pale malengo yake yote yatakavyo timazwa - maneno ya kusema eti alisema itachukua wiki moja/mwezi mmoja hayo tunayasikia kutoka kwenye vuvuzela za MSMbza huko Merikani ndio mabingwa wa kupika majungu na Uongo. Ukiwahoji,je,wao iliwachukua miaka mingapi kupiga huko VietNam wako kimya kabasi na huwa hawsemi ukweli kwamba walijiingiza kwenye vita ya VietNam tangu 1955 baada ya Wafatansa kuondoka na sio 1965 hivyo kiukweli Amerika imepigana vita kwa miaka 20 kuwasaidia VietNam ya kusini na sio kumi kama wanavyo danganya watu, leo hii mwaka mmoja tu wanamuona Putin kachemka wamesahau kushindwa kwao vita huko VietNam na WavietCong pamoja na Wataliban huko Afghanistan - they never learn from their past mistakes.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hao wageni wanakuja na ndege za kijeshi au ndege za kiraia.we mwambie Biden apande ndege ya kijeshi alafu akatize Ukraine tuone kama atujamtengenezea kisanduku cha mpodo
Mkuu jielimishe kidogo. Hakuna anayefika Kyiv kwa ndege tangu 2022 maana uwanja wa ndege wa Kyiv iko kwenye upeo wa SAM4 kutoka Byelarus.
Wageni walio wengi wanafika kwa treni. Biden alifika kwa gari.
Hayo yote ni uthibitisho Putin anashindwa kudhibiti anga juu ya Ukraine.
 
Mandalizi ya kulinda mji wa Kramatorsk na Sloviansk. Zelensk kawatengenezea Ulinzi vijana wake, kawambia Slaviansk na Kramatorsk hazitakiwi kuangukaView attachment 2645089View attachment 2645090
Akili zajamaa huyu za ajabu sana, yaani bado anataka vijana wadogo wa Ukraine wafe kijinga kwa maslahi ya Merikani - UNGA mbaya sana, awajali hata kidogo Waukraine wenzake wala Taifa la Ukraine lenyewe, after all is already stinking rich kutokana na magendo ya kuuza silaha na kickbacks ana miliki a Mega Mansion in Miami Florida.
 
Mkuu jielimishe kidogo. Hakuna anayefika Kyiv kwa ndege tangu 2022 maana uwanja wa ndege wa Kyiv iko kwenye upeo wa SAM4 kutoka Byelarus.
Wageni walio wengi wanafika kwa treni. Biden alifika kwa gari.
Hayo yote ni uthibitisho Putin anashindwa kudhibiti anga juu ya Ukraine.
Unaposikia mtu anazibiti anga unajua anafanyaje maana tusije tukawa tunabishana bure.

Treni wanazotumia viongozi kutoka ulaya ni treni ambazo sio za kijeshi.sasa unapigaje treni ya raia.

Kwenye vita ni wanajeshi pekee wanatakiwa kufa na vifaa vyao vya kijeshi vinatakiwa kulipuliwa.uwezi kulipua kifaa ambacho sio cha kijeshi.
 
Kipanya unasemaje kuhusu kifurushi kipya?
 
💫 A least six explosions were heard near Russian occupied Melitopol in Zaporizhzhia Oblast, Ivan Fedorov, the city's exiled mayor, reported on June 3.

One of the explosions was reported at a railway near Melitopol, which Russian forces had reportedly been using to transport military equipment and personnel. Fedorov did not provide further details.
 
💫 Fighter jet coalition now includes 9 countries

President Volodymyr Zelensky’s Deputy Chief of Staff Ihor Zhovkva announced that the coalition to provide Ukraine with Western-built fighter jets now comprises nine countries.

So far, the U.S. and eight European countries, including the U.K., the Netherlands, Poland, Denmark, Sweden, Belgium, Portugal, and France, have pledged either to train Ukrainian pilots or to provide Ukraine with modern fighter jets, or both, according to Zhovkva.
 
Mkuu usiogope malalamiko! Ila sijui ninalalamika wapi.
Kama nimesema Urusi inatumia ukatili hadi jinai za kivita nilisema hivyo kwa kudokeza hali halisi. kama vile bucha huko mwanzoni, uhamisho wa watoto bila kibali cha wazazi na sasa kutupa mabomu hovyo kwenye nyumba za watu raia - wakijaribu kupunguza akiba ya roketi za kujitetea upande wa Ukraine.
Hapa nataja tu yale yaliyoonekana. Sijalenga kulalamika, nikisema jinai ni jinai.

(Jinai zilitokea pia upande wa Ukraine, kuna mifano iliyothibitishwa ya kuua au kutesa wafungwa, ila haionekani ni siasa ya kimakusudi jinsi inavyoonekana upande wa Urusi)
Ulitaka watoto waachwe kuhamishwa ili wauawe?
 
Hivi unajua hata ulicho kiandika lakini? Ni mataifa gani yanaweza kutengeneza ndege za kivita zinazo gongana zenyewe kwa zenyewe in mid air badala ya kushambulia maadui, hiyo ndio maana ya neno collision/gongana.

Kama uwezi kutofautisha baina ya neno coalation na collision who can take you seriosly??

Labda wenzangu wamekuelewa, lakini mimi maelezo yako hasa ya para ya mwisho yameniacha kwenye mataa kusema kweli!!
Hii ndio JF, Mkuu heshima kwako
 
Mkuu wapi nilisema hana silaha? Tafadhali nionyeshe !!!
Kile kinachoonekana Putin amepoteza silaha za kisasa alizotumia zaidi mwanzoni, kama vifaru mpya, roketi za kisasa na kadhalika.
Ndege zake bado anazo lakini anaogopa kuzitumia juu ya Ukraine hivyo hajafaulu hadi leo kudhibiti anga. Kama angedhibiti anga, wageni rasmi kutoka Dunia yote wasingeweza kusafiri jinsi wanavyotaka wakiingia na kutoka Kyiv.
Kwa hiyo ukipenda kunipinga karibu sana! Ila pinga nilichosema si mawazo yako.
Hii op imewaweka uchi global west kiasi Cha baadhi ya maswali na module nisizo zielewa nimepata majibu yake kipindi hiki.

Nawashukuru wakuu mbalimbali kwa michango yenu isipokuwa Imeloa, Umshana, Kipanya Wala Vunjo
 
Back
Top Bottom