Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]Ukraine’s Defense Forces are maintaining control over the southwestern suburbs of the Donetsk region’s Bakhmut, and the situation is relatively stable there, according to Ukrainian Defense Deputy Minister Hanna Maliar.[emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]Ukraine is ready for the counteroffensive and will succeed, Ukrainian President Volodymyr Zelensky says in an interview with The Wall Street Journal.
However, in his words, Ukraine would need additional Patriot missile batteries to protect its settlements and troops on the front.[emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna Fighter Collision inatengenezwa, sasa hivi tayari ina nchi 8 washirika.

Kila kitu kuanzia Long Range Missicle (LRM), F16, Iron Dome Air Defence System (IDADS) na mazagazaga mengine yatapelekwa Ukraine na hii Collission.
Hivi unajua hata ulicho kiandika lakini? Ni mataifa gani yanaweza kutengeneza ndege za kivita zinazo gongana zenyewe kwa zenyewe in mid air badala ya kushambulia maadui, hiyo ndio maana ya neno collision/gongana.

Kama uwezi kutofautisha baina ya neno coalation na collision who can take you seriosly??

Labda wenzangu wamekuelewa, lakini mimi maelezo yako hasa ya para ya mwisho yameniacha kwenye mataa kusema kweli!!
 
Screenshot_20230603-192923_Samsung Internet.jpg

Huyu bwana mdogo budanov alikuwa anabweka sana siku za karibuni tokea apotee zeluzhny.

Ilifika hatua alisema ukraina wana haki ya kuwaua warusi wote.

Tokea warusi washambulie makao makuu ya kiintelijensia ya ukrain jamaa hajaonekana kwenye TV.

budanov uko wapi?
Upo hai?
Umejificha wapi?


Halafu munataka zelensky arudi ukraine.
 
Mkuu hiki ukichoandika ni matarajio yako binafsi, lakini Kwa urusi mambo ni tofauti kabisa labda nikuulize maswali machache

1) kama Vita hii ingeisha ndani ya mwezi mmoja tu, unadhani ujerumani uchumi wao ungeyumba kama sasa???

2)Kama Vita ingechukua muda mfupi ulaya ingeingia kwenye mdororo wa uchumi?

3) Kwa unavyofikiria kuiangusha ulaya na marekani kwenye kutawala dunia ni suala la mwezi mmoja???

4)hivi unajua inahitajika miaka miangapi ili kuiondoa dollar kwenye global currency????

5)hivi ushajiuliza itahitajika miaka miangapi mpaka kuifanya uchumi wa dunia kutoka west na kuhamia east????

Hii Vita inatakiwa ichukue kama miaka mitano au hata kama itaisha ya Ukraine inatakiwa itokee nyingine ambayo itatengeneza mazingira ya uadui huu Kwa miaka mitano ijayo, katika kipindi hicho ulaya ikose nishati ya bei rahisi na mchina aendelee kupata gas ya bei rahisi ili kwenye ushindani wa bidhaa mchina aongoze kuuza kwenye soko la dunia,

Kwa hiyo hii Vita ni sababu tu lakini kuna mambo mengi yanatakiwa kufanyika kipindi hiki cha uadui wa west na urusi ili hadi wakija kufikia muafaka west wapo nje kwenye kuongoza dunia kuanzia kwenye uchumi, kisiasa na kijeshi
Yaani nimefunguka kwann mrusi aliahidi angeimaliza operation yake ndani ya week 3 (au siku 3 kama sikosei).
Nimegundua kwanini aliingia kwa speed na kushambulia Sana then akarudi nyuma na kuanza kushambulia mdogo mdogo kwenye maeneo ya kimkakati.
Kumbe jamaa alijua vita ingetumia muda mrefu na Ukraine ni chambo tu .

Ni vita ya kiuchumi na Putin alijua silaha ya kwanza kwa western ingekuwa vikwazo, mwamba alijiandaa kwa vikwazo na swift pia aliitafutia mbadala mapema.
Kitendo cha kuzisanua nchi nyengine nakuona maisha yanaweza kwenda bila dollar. Now days vinchi vidogo vinaropoko lolote dhidi ya USA na ile hofu Hakuna.
 
C ni nyie mlisema hana silaha.mpk mkasema anatumia chepe.wenzio nao wakasema anatumia mpk vifaa vya kwenye washing machine.leo hii tena mnatuambia katumia vifaa bora vyote [emoji23][emoji23].
Mkuu wapi nilisema hana silaha? Tafadhali nionyeshe !!!
Kile kinachoonekana Putin amepoteza silaha za kisasa alizotumia zaidi mwanzoni, kama vifaru mpya, roketi za kisasa na kadhalika.
Ndege zake bado anazo lakini anaogopa kuzitumia juu ya Ukraine hivyo hajafaulu hadi leo kudhibiti anga. Kama angedhibiti anga, wageni rasmi kutoka Dunia yote wasingeweza kusafiri jinsi wanavyotaka wakiingia na kutoka Kyiv.
Kwa hiyo ukipenda kunipinga karibu sana! Ila pinga nilichosema si mawazo yako.
 
Umshana hujui unachotaka for sure.mwanzo ulianzaga points ila saiv ni pointless,hio nguvu kubwa unayosema ikitumika utafungua uzi wa malalamiko juu ya ukatili wa urusi
Mkuu usiogope malalamiko! Ila sijui ninalalamika wapi.
Kama nimesema Urusi inatumia ukatili hadi jinai za kivita nilisema hivyo kwa kudokeza hali halisi. kama vile bucha huko mwanzoni, uhamisho wa watoto bila kibali cha wazazi na sasa kutupa mabomu hovyo kwenye nyumba za watu raia - wakijaribu kupunguza akiba ya roketi za kujitetea upande wa Ukraine.
Hapa nataja tu yale yaliyoonekana. Sijalenga kulalamika, nikisema jinai ni jinai.

(Jinai zilitokea pia upande wa Ukraine, kuna mifano iliyothibitishwa ya kuua au kutesa wafungwa, ila haionekani ni siasa ya kimakusudi jinsi inavyoonekana upande wa Urusi)
 
View attachment 2645015
Huyu bwana mdogo budanov alikuwa anabweka sana siku za karibuni tokea apotee zeluzhny.

Ilifika hatua alisema ukraina wana haki ya kuwaua warusi wote.

Tokea warusi washambulie makao makuu ya kiintelijensia ya ukrain jamaa hajaonekana kwenye TV.

budanov uko wapi?
Upo hai?
Umejificha wapi?


Halafu munataka zelensky arudi ukraine.
Thubunutu!! Zelensky siku hizi kageuka Balozi wa kuzungan Dunia nzima akiomba fedha na silaha hicho ni kisingizio cha kuhalikisha anaendelea kubaki nje ya Taifa lake hasa baada ya kushuhudia Kinzhal ilivyo. wstoa pumzi baadhi ya majenrali wa US,UK,Ukraine,Poland and other ranks walio kuwa wamejificha futi 400 chini ya concrete Bunker likalipuliwa na kuwa kifusi - akiona hata na yeye akijitia. Ujuaji its a question of time kabla haja join his MAKER up above.
 
kwahiyo wewe unataka kutumainisha una akili nyingi kupita Putin na washauri wake??? Una akili nyingi kupita intelejensia ya jeshi la urusi??
Mkuu sijasema kitu kama hicho. Nadhani vyombo vya usalama wa Urusi vinajua hali halisi. ni kazi yao kusambaza habari za ushindi hata wakijua wenyewe mamabo hayaendi vizuri.
Si rahisi kusema Putin anajua nini maana nani anayejua wanampa habari gani?
Kuna mifano nyigi kwamba dikteta anayehofiwa hayuko tayari kusikia habari hasi na watu wa ngazi za chini wanaogopa kumwambia.
 
Mkuu wapi nilisema hana silaha? Tafadhali nionyeshe !!!
Kile kinachoonekana Putin amepoteza silaha za kisasa alizotumia zaidi mwanzoni, kama vifaru mpya, roketi za kisasa na kadhalika.
Ndege zake bado anazo lakini anaogopa kuzitumia juu ya Ukraine hivyo hajafaulu hadi leo kudhibiti anga. Kama angedhibiti anga, wageni rasmi kutoka Dunia yote wasingeweza kusafiri jinsi wanavyotaka wakiingia na kutoka Kyiv.
Kwa hiyo ukipenda kunipinga karibu sana! Ila pinga nilichosema si mawazo yako.
[emoji23][emoji23][emoji23] hao wageni wanakuja na ndege za kijeshi au ndege za kiraia.we mwambie Biden apande ndege ya kijeshi alafu akatize Ukraine tuone kama atujamtengenezea kisanduku cha mpodo
 
Asante mleta mada, nimegundua huu uzi ni more reliable kupata habari za update za SMO huko Ukraine. Kuna taarifa nimezisaka sana, nimekuja kuzipata hapa kwa wepesi.

Asante sana wakuu wote mnaochangia katika uzi huu hasa wanaotupasha ukweli wa kinachoendelea kwenye SMO dhidi ya Ukraine.
 
Thubunutu!! Zelensky siku hizi kageuka Balozi wa kuzungan Dunia nzima akiomba fedha na silaha hicho ni kisingizio cha kuhalikisha anaendelea kubaki nje ya Taifa lake hasa baada ya kushuhudia Kinzhal ilivyo. wstoa pumzi baadhi ya majenrali wa US,UK,Ukraine,Poland and other ranks walio kuwa wamejificha futi 400 chini ya concrete Bunker likalipuliwa na kuwa kifusi - akiona hata na yeye akijitia. Ujuaji its a question of time kabla haja join his MAKER up above.
Hakuna kitu kilinifurahisha kama hiki, huwa naona the way simba akimtoa nguruwepori kwwnye handaki na kwenda kumla ndivyo putin alivyofumua mshono kule kyiv kwa wale wamarekani. Nlichekelea sana yan
 
The Ministry of Defense said that more than 60,000 women are defending Ukraine, more than 42,000 of them are members of the Armed Forces.

In early May, Deputy Defense Minister Hanna Malyar said that five thousand women were fighting on the front line. 107 women have already been killed in action.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

1685813363978.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom