Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian ‘Freedom Fighters’ Raid Belgorod – Again – Across Border From Ukraine

“Partisans” raided across the Ukrainian border into Russia for the second time in two weeks. The Kremlin said the incursion was wiped out, but fighters said they blew a lot of Russian stuff up.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha ha....mnajificha kwny kivuli Cha rusian freedom fighters[emoji28]
 
We mwanamgambo kp kipanya44 ujatuambia Kiev wamekufa wangapi,, mwenzio kubwa jinga MK254 Tangu waziri wa mambo ya nje wa urusi azuru Kenya na kugawa mbolea ya bure humu anaishia kuchungulia na kuanzisha vinyuzi vyake juu kwa juu
Uyo mkenya utakuta Yuko kwnyw foleni ya mbolea ya bure ndo Mana hainekani jukwaani[emoji38]
 
Mzee Biden Leo ameanguka jionee mwenyewe Kama zombi.
Najua kipanya 44 hautafungua link kuangalia hiyo video Basi jisomee Hapo,,
Screenshot_20230601-224153.jpg
 
The U.S. Department of Defense will buy Gepard self-propelled anti-air systems for Ukraine worth $118.3 million, the Pentagon announced in a press release on June 1.

A Florida-based company Global Military Products has received the contract for the purchase and delivery of the German-made 35-mm Gepard anti-aircraft systems.

Learn more: US to buy Gepard air defense system for Ukraine in $118 million contract

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Patriot zimekwenda wapi mpaka wanaleta hizi zingine?
 
At a meeting with British Prime Minister Rishi Sunak in Moldova, President Volodymyr Zelensky thanked the United Kingdom for its powerful support for Ukraine in the struggle against Russian aggression.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Juzi walivyokutana kule Heroshima - Japan, je hakumshukuru..?

Maana kila siku wanaonana mpaka wanaishiwa vya kuongea...
 
Je unaweza ukafananisha uondokaji huo na uondokaji wa ussr huko afghanistan.uondokaji wa USA ulikua ni kumkumbia

Je unaweza kufananisha uondokaji wa ussr huko afghanisatani
na uondokaji wa USA huko Vietnam?
Uondokaji huo wa Supapawa USA ulikua ni uondokaji wa kushindwa,kuzidiwa,na kuamua kuokoa roho zao TU,vifaa vyote tupa baharini,na Kuna vifaa vingi TU viko maonesho huko Vietnam.
Hivyo hivyo ndivyo Supapawa alivyowakimbia Watalaban kaacha silaha ambazo nchi kubwa kama Nigeria na Ghana kwa pamoja hawana.
Sasa fananisha na mwamba Urusi alivyokua akiondoka afghanistan.ameondoka kwa heshima na maua na kupungia watu mikono,hapo hakuna kukimbia wala kushindwa vita.
Ujue Nato na Marekani yao imeingia Cha kike.
 
Nilicho Gundua kwenye hizi tarifa zinazotolewa kuhusu vita ya Ukraine Asilimia kubwa ukweli wake unakua na mashaka mashaka kwa sabab ya nchi hizi kubwa zinazo kinzana (USA na Russia) maan Tarifa nyingi zinapingana maan USA anatoa tarifa za kumpondea Russia na mda mwingine Russia hizo tarifa huws anazipinga lakin pia upande wa Russia hutoa tarifa kwa kupondea mataifa ya Magharibi na pia kujisifia yeye mwenyew. So Kuna utata mkubwa sana katka hizo tarifa tunazo pata
 
Mkuu ukipenda Historia:
Maeneo ya Moldova ya leo yalikuwa sehemu ya Romania hadi mwaka 1940.
Mwaka 1939 Stalin wa USSR alidai sehemu hii iwe upande wake katika mkataba baina Ujerumani ya Hitler na USSR ya Stalin kuhusu ugawaji wa Ulaya ya Mashariki. Hitler alihitaji msaada wa Stalin kwa kushambulia Poland na hivyo alimwachia nchi za Baltiki, Poland ya mashariki na Moldova.
Mwaka 1940 USSR ilitangaza kwamba itatuma jeshi lake Moldova (baada ya kuona Ufaransa ilishindwa na Ujerumani maana Ufaransa ilisimama upande wa Romania); serikali ya Romania ilitambua udhaifu wake wa kijeshi ikapaswa kukubali uvamizi wa Kirusi.
tarehe 28 Juni 1940 Urusi ilivamia sehemu za Moldova na kuifanya sehemu ya USSR. Wakomunisti Warusi walikamata watu wote waliohifiwa kupinga ukoloni huo; waliokadiriwa kuwa zaidi ya robo milioni katika nchi hiyo ndogo na kuwapeleka katika makambi ya GULAG.
Eneo la Moldova ilivamiwa 1941 na Ujerumani lakini ikarudi 1944 chini ya USSR. Ukoloni uliendelea.
Mwandiko ulibadilishwa watu walipaswa kuandika lugha yao ya kiromania kwa herufi za kikirili (Kirusi). Wote walipaswa kijifunza Kirusi shuleni, aliyetaka kuendelea kikazi alipaswa kujua vema kirusi.

Mwaka 1990 wakati wa kuporomoka bunge na wanchi waote walipiga kura kuwa nchi huru. Ila katika sehemu ya mashariki (ng'ambo ya mto Dnistr - Transnistria) vikosi vya jeshi la Kirusi havikuondoka hadi leo vilihakikisha "uhuru bandia" wa sehemu zile. Kisheria uhuru huo hautambuliwi na nchi yoyote (hata Urusi haikutambua rasmi) lakini hali halisi ni kama shemu za Donbas zinazomilikiwa na Urusi.
Uongo unakusaidia nini?
 
biden anaa nguka anguka tuu bora hata wangemwacha trump
fungueni hiyo clip....https://twitter.com/annvandersteel/status/1664349756406079488?s=19
To USA, kila kitu kiko abused already. Kiasi kwamba wamekosa cha ku'abuse wameamua kufanya Elderly Abuse. It's embarrassing indeed na kilichonichekesha hapo ni kizee cha watu kikashindwa kunyanyuka chenyewe hadi kipewe msaada.
 
Back
Top Bottom