Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mrusi ni noma kanikaze zote hizo jamani kwa Maelfu


Thousands of kamikaze drones delivered to Russian troops

The first batches of kamikaze drones, assembled as part of the VOZmezdy Swarm project, have been delivered to units of the Southern Group of the Russian Armed Forces. T

housands of quadcopters, as well as specially trained UAV unit crews, are ready and have already begun destroying Ukrainian nationalists across the front.

#info
 
Mkuu unataja mambo ambayo ni kweli. Ila Moldova hakika hawapati data za kila biashara ....
Sikutaja Burundi bali Rwanda.
Nchi ambayo imefaulu kufikia kiwango cha usafi (yaani kupunguza takataka) kinachoshinda Kenya na Tanzania
Usisahau: katika shughuli za Kijeshi, Rwanda ndogo inapita uwezo wa nchi nyingi jirani.
Sisemi Moldova ni vile, ila hakika si busara kudharau nchi kwa sababu ni ndogo.
Tena ni nchi iliyopaswa kukaa chini ya ukoloni wa Kirusi kwa miaka mingi sana!
Tena ni nchi iliyopaswa kukaa chini ya ukoloni wa Kirusi kwa miaka mingi sana!

Hapa ulikuwa unamaanisha nini?
 
Roketi za "kutupwa/kurushwa" (=ballistic) ni tofauti na roketi za kulengwa (=guided). Kimsingi zinarushwa kwa kutumia kani fulani pamoja na kulengwa kwa shabaha; lakini mara zimerushwa zinafuata mwendo uliokadiriwa tangu mwanzo.
Kwa hiyo ni rahisi zaidi kutambua shabaha wakati bado ziko hewani na kupambana nazo.
Tofauti ni roketi za kulengwa kama cruise missiles ambazo zinaweza kubadilisha mwendo na mwelekeo zikiwa hewani.
Kwa maana hio ballistic ni rahis kutungua kuliko cruise
, lakini ule mkataba wa NFT kwanini kuna kipengele cha kuzuia utengenezaji wa ballistic missiles za umbali mrefu na controlled productions
 
[emoji298]️Volodymyr Zelensky has arrived in Moldova to attend the European Summit

“Today we work in Moldova. Participation in the summit of the European political community. Many bilateral meetings. We are developing a coalition of fighters and offer a coalition of Patriots,” the President said.View attachment 2642252

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bado Anazurula TU uyo gaidi wenu [emoji28]
 
[emoji779]️The Russians attacked Kyiv this morning with 10 "Iskander" missiles. All of them were shot down by Ukrainian air defence.

DESTROYED:
• 7 Iskander-M ballistic missiles
• 3 Iskander-K cruise missilesView attachment 2642262

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Ha ha ha......All of them were shot down by Ukrainian air defence.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]
 
Tena ni nchi iliyopaswa kukaa chini ya ukoloni wa Kirusi kwa miaka mingi sana!

Hapa ulikuwa unamaanisha nini?
Mkuu ukipenda Historia:
Maeneo ya Moldova ya leo yalikuwa sehemu ya Romania hadi mwaka 1940.
Mwaka 1939 Stalin wa USSR alidai sehemu hii iwe upande wake katika mkataba baina Ujerumani ya Hitler na USSR ya Stalin kuhusu ugawaji wa Ulaya ya Mashariki. Hitler alihitaji msaada wa Stalin kwa kushambulia Poland na hivyo alimwachia nchi za Baltiki, Poland ya mashariki na Moldova.
Mwaka 1940 USSR ilitangaza kwamba itatuma jeshi lake Moldova (baada ya kuona Ufaransa ilishindwa na Ujerumani maana Ufaransa ilisimama upande wa Romania); serikali ya Romania ilitambua udhaifu wake wa kijeshi ikapaswa kukubali uvamizi wa Kirusi.
tarehe 28 Juni 1940 Urusi ilivamia sehemu za Moldova na kuifanya sehemu ya USSR. Wakomunisti Warusi walikamata watu wote waliohifiwa kupinga ukoloni huo; waliokadiriwa kuwa zaidi ya robo milioni katika nchi hiyo ndogo na kuwapeleka katika makambi ya GULAG.
Eneo la Moldova ilivamiwa 1941 na Ujerumani lakini ikarudi 1944 chini ya USSR. Ukoloni uliendelea.
Mwandiko ulibadilishwa watu walipaswa kuandika lugha yao ya kiromania kwa herufi za kikirili (Kirusi). Wote walipaswa kijifunza Kirusi shuleni, aliyetaka kuendelea kikazi alipaswa kujua vema kirusi.

Mwaka 1990 wakati wa kuporomoka bunge na wanchi waote walipiga kura kuwa nchi huru. Ila katika sehemu ya mashariki (ng'ambo ya mto Dnistr - Transnistria) vikosi vya jeshi la Kirusi havikuondoka hadi leo vilihakikisha "uhuru bandia" wa sehemu zile. Kisheria uhuru huo hautambuliwi na nchi yoyote (hata Urusi haikutambua rasmi) lakini hali halisi ni kama shemu za Donbas zinazomilikiwa na Urusi.
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

[emoji298]The Armed Forces of Ukraine eliminated about 460 invaders in the past day, as well as destroyed two enemy tanks, 6 armored combat vehicles, 14 artillery systems, 1 air defense system, 7 unmanned aerial vehicles, 9 motor vehicles, and 4 special equipment units.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umemuelewa Macron anaposema Security Guarantee? Ngoja nikueleweshe, maana umekuwa ni mtu wa ku copy na ku paste tu habari.

Kwa sasa Ukraine anaogopa kukubaliana na matakwa ya Russia aliyoyaweka mwanzoni kutokana na kuhisi kwamba Russia atakuja tena kumvamia.
Kwa hiyo, itatengenezwa security framework kuhusu Ukraine, ili kuondokana na future wars.
Ukraine atatakiwa akubaliane na matakwa ya Russia ya kuto join NATO, kutoyakaribisha majeshi ya NATO etc.
Yaani Ukraine anarudi kulekule kwenye matakwa ya mwanzo ya Russia.

Soon Ukraine analamba matapishi yake.
Ha ha ha...Sasa Kama zelensky atakubaliana na hizo security guarantees alikua na haja gani kuiingiza nchi Yake ktk Vita?
 
Lakini pia uskose kutupatia udadavuzi wa hii [emoji116][emoji116]


[emoji779]️The war will continue until Ukraine wins, President Zelensky stated at the European Political Community Summit in Moldova.

The president also said that Ukraine is ready to join NATO, but is waiting for the alliance to be ready.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na alliance hawawezi kua ready maana tayar Ukraine Yuko vitani, hawataki kuziingiza nchi zao kwny Vita [emoji4]
 
Waukraine wanasema .......saizi hakuna Cha king'ora Wala Nini .....pale mjini kiev [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunalala bila kusinzia


The air raid alert is off now, but I cannot sleep. Holding my son’s hand, making sure he sleeps well,” Sovsun wrote in a tweet.[emoji1179][emoji1179]
King'ora kimeimba mpk kimechoka[emoji38]
 
Kwa maana hio ballistic ni rahis kutungua kuliko cruise
, lakini ule mkataba wa NFT kwanini kuna kipengele cha kuzuia utengenezaji wa ballistic missiles za umbali mrefu na controlled productions
Sina uhakika unamaanisha kwa "NFT"?
Ninakumbuka sasa INF-treaty baina ya Urusi na Marekani

The INF Treaty banned all of the two nations' land-based ballistic missiles, cruise missiles, and missile launchers with ranges of 500–1,000 kilometers (310–620 mi) (short medium-range) and 1,000–5,500 km (620–3,420 mi) (intermediate-range). The treaty did not apply to air- or sea-launched missiles. By May 1991, the nations had eliminated 2,692 missiles, followed by 10 years of on-site verification inspections.
Ona

 
Akhmat commander says his unit prepares for offensive in new area

Earlier, Chechen leader Ramzan Kadyrov reported the redeployment of the Akhmat commando unit to the DPR

DONETSK, June 1. /TASS/. Commander of the Akhmat commando unit and Deputy Commander of the 2nd Army Corps Apty Alaudinov said that his unit had begun active preparations for the offensive in the new area.

Chechen leader Ramzan Kadyrov earlier reported the redeployment of the Akhmat commando unit to the Donetsk People’s Republic.
Safi Sana,
Ni bandika bandua
Hakuna kuwapa pumzi[emoji1]
 
Updates:

Makombora ya Russia yalifanikiwa kupenya mahandaki mjini Kiev ambayo ndani yake ndipo kulipo ofisi na makao makuu ya shirika la ujasusi la Ukraine SSU.

Mashambulizi hayo ni kama yale yalotokea mwezi March mwaka huu ambapo makao makuu ya kamandi ya Bahkmut yalifumuliwa na idadi kubwa ya majeshi ya kigeni kuuawa.

Shambulizi hili lilileta tetemeko la ardhi katika mji wa Kiev.

Habari hizi ni marufuku kutangazwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi lakini wengi tunofuatilia kwa makini twazipata kilaini.

Russia sasa hivi wamejipanga wakisubiria mizigo iingie Kiev na kwa kutumia mitambo ya satelite huiona na kuidungua yote.

Ndo maana vikao vimeongezeka leo wapo Moldova na mwezi ujao watakuwa Lithuania.

Bakhmut sasa ipo chini ya Russia mazima na kwa kilichobaki kwa Ukraine na nchi za magharibi ni kutuma UAVs ndani ya Russia na kusema "Oneni Tumepiga Russia" na kushangilia.
Kichapo kiendlee[emoji4]
 
Zelensky ameona mambo yasiwe mengi.... Huuuyooooo kakimbia zake...
Kwa nini auliwe kizembe wakati ana uwezo wa kukimbia.
Tangu ameitwa gaidi na Medvedev Katoka nduki bala[emoji28][emoji28][emoji28]

Na dalili zinaonyesha wazi kabisa hawez Tena kurudi nchini mpk Vita iishe ahakikishiwe usalama kwanza[emoji1]
 
Back
Top Bottom