Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]Zakarpattia Oblast Council voted on June 1 to prohibit all activities of religious organizations connected to Russia, citing national security needs.

This decision effectively translates into a ban on the Russian-controlled Ukrainian Orthodox Church of Moscow Patriarchate (UOC-MP) in the western Ukrainian region.

Learn more: Zakarpattia Oblast votes to ban Moscow Patriarchate church in region

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The U.S. Department of Defense will buy Gepard self-propelled anti-air systems for Ukraine worth $118.3 million, the Pentagon announced in a press release on June 1.

A Florida-based company Global Military Products has received the contract for the purchase and delivery of the German-made 35-mm Gepard anti-aircraft systems.

Learn more: US to buy Gepard air defense system for Ukraine in $118 million contract

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
.
1685640382464.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji1086]The Senate of the Czech Republic adopted a resolution on Ukraine joining NATO as soon as possible

The Czech Republic supports training, providing weapons and other military equipment for Ukraine in coordination with allies.
1685640511090.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
“Today’s decision by the European Parliament to boost ammunition production and for faster deliveries to support Ukraine is historic. We will stay together for as long as it takes,” President Zelenskyy wrote.

[emoji1099]🫱[emoji2532]‍🫲[emoji2533][emoji1255]
1685640634351.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
American company Global Military Products Inc. received a $118.3 million contract from the US Department of Defense to purchase and supply Gepard self-propelled anti-aircraft missiles to Ukraine.

The contract will be performed in Amman, Jordan. The estimated completion date is May 30, 2024.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#
1685640698034.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji779]️The Russians attacked Kyiv this morning with 10 "Iskander" missiles. All of them were shot down by Ukrainian air defence.

DESTROYED:
• 7 Iskander-M ballistic missiles
• 3 Iskander-K cruise missilesView attachment 2642262

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kimahesabu tuliambiwa ballistic missile ni ngumu kuzitungua , vp huku ukraine wanatungua hovyo
 
Kimahesabu tuliambiwa ballistic missile ni ngumu kuzitungua , vp huku ukraine wanatungua hovyo
Roketi za "kutupwa/kurushwa" (=ballistic) ni tofauti na roketi za kulengwa (=guided). Kimsingi zinarushwa kwa kutumia kani fulani pamoja na kulengwa kwa shabaha; lakini mara zimerushwa zinafuata mwendo uliokadiriwa tangu mwanzo.
Kwa hiyo ni rahisi zaidi kutambua shabaha wakati bado ziko hewani na kupambana nazo.
Tofauti ni roketi za kulengwa kama cruise missiles ambazo zinaweza kubadilisha mwendo na mwelekeo zikiwa hewani.
 
mwoneshe hii map...[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 2642902
Russia aliwezaje kuliweka chini ya umiliki wake hilo eneo la Kaliningrad?

Naona hilo eneo lipo mbali sana na RUSSIA ya leo.

Eneo lipo poland na lithuania kwa mujibu wa hiyo ramani ulioiweka.

Najua naweza kupata jawabu kwa dokta google
 
Mkuu kweli ni nchi ndogo, pia kati ya nchi maskini zaidi za Ulaya ILA......
mapato kwa kila mkazi ni $ 5,529 - kwa Tanzania ni $ 1,105
GDP kwa jumla ni $ bilioni 14 - Tanzania inafikia $ bilioni 62 ingawa hapa kuna watu mara 22, hapa kuna dhahabu na nini - huko wanachapa kazi kwenye kilimo.
(ukilinganisha na jirani mdogo: Rwanda ina GDP ya $ bilioni 13, mapato ya wastani kwa kila mtu $970, iddai ya wakazi ni karibu mara tano ya Moldova)

Kwa hiyo - wapuuze tu, lakini usiangalie kioo!
(na heri usilinganishe na Mbezi, kuna hatari ya kukutana na mtu anayejua kuhesabu!)
Current data ni Billion 85
Pili kanchi kenye uchumi kama Burundi kama issue gani?
Tatu Africa uchumi wetu haupimwi unavyotakiwa.
Kwa sababu Kuna shughuli nyingi za uchumi ambazo hazijaingizwa kwenye kukototoa GDP.
Europe every transaction wanaifatilia.
 
Mkuu unataja mambo ambayo ni kweli. Ila Moldova hakika hawapati data za kila biashara ....
Sikutaja Burundi bali Rwanda.
Nchi ambayo imefaulu kufikia kiwango cha usafi (yaani kupunguza takataka) kinachoshinda Kenya na Tanzania
Usisahau: katika shughuli za Kijeshi, Rwanda ndogo inapita uwezo wa nchi nyingi jirani.
Sisemi Moldova ni vile, ila hakika si busara kudharau nchi kwa sababu ni ndogo.
Tena ni nchi iliyopaswa kukaa chini ya ukoloni wa Kirusi kwa miaka mingi sana!
 
Russia aliwezaje kuliweka chini ya umiliki wake hilo eneo la Kaliningrad?

Naona hilo eneo lipo mbali sana na RUSSIA ya leo.

Eneo lipo poland na lithuania kwa mujibu wa hiyo ramani ulioiweka.

Najua naweza kupata jawabu kwa dokta google
Utawala wa Urusi juu ya Prussia ya Mashariki ni tokeo la upanuzi wa kibeberu wa Urusi. Mwaka 1945 Urusi ilipataka na Marekani kuhamisha nchi ya poland kuelekea magharibi, kwa kukata sehemu za Ujerumani, kuwafukuza milioni 10 Wajerumani na kupeleka kule Wapoland waliofukuzwa na Urusi katika maeneo ya poland ya Mashariki yaliyochukuliwa na USSR; maeneo ya awali ya Poland yaligawiwa kati ya jamhuri za USSR za Ukraine, Byelarus na Lithuania (nchi iliyovamiwa na Urusi 1940 na kuingizwa kimabavu ndani ya USSR).
Wenyeji wa mkoa wa kijerumani "Prussia mashariki" walifukuzwa wote na sehemu hiyo ilichukuliwa na USSR na kuwekwa kama mkoa wa Urusi. Mji mkuu Koenigsberg (mji wa mwanafalsafa mashahuri Kant) ulibadilishwa jina na kuitwa Kaliningrad.
 
Back
Top Bottom