Warusi wametangaza waliharibu Leopard kadhaa. Ila hakuna picha. Video iliyosambaa ilionyesha Trekta. Hadi sasa ni propaganda.Kwani kuna siku ulisikia zimeshaanza kutumika?
Warusi wametangaza waliharibu Leopard kadhaa. Ila hakuna picha. Video iliyosambaa ilionyesha Trekta. Hadi sasa ni propaganda.Kwani kuna siku ulisikia zimeshaanza kutumika?
Leo naona umeibuka na kijiguvu kipya, mkuu. Hii ni baada ya missiles zenu kulibutua bwawa huko Kherson. Naomba usitimue tena, because utatusaidia kwenye ufafanuzi wa mambo fulani fulani.Hivi bado Urusi hajaiteka Kyiv?
Mbona mashambulizi ya hypersonic hatuyasikii tena?
Watu hawana habari na hizo Leopard..watu wanapigana vita kule...watu wanakufa...Hizo Leopards zisaidie kurudisha maeneo yote yaliyotekwa...kama hamna tofauti ni takataka tu......suala sio mapichapicha wala kuaminishana na kutiana moyo..suala ni kushinda battles kama sio war kabisaWarusi wametangaza waliharibu Leopard kadhaa. Ila hakuna picha. Video iliyosambaa ilionyesha Trekta. Hadi sasa ni propaganda.
Mkuu, Tanzania ni sub-set ya dunia. Last year, Urusi alipotuma makombora sita Kiev, asubuhi yake kilo ya sukari Bongo ikapanda mara saba. Umeelewa lakini?Ila wabongo sisi wanafiki sana tunajenga hoja nzito kuchambua mambo yanaendelea kwenye nchi za watu ikiwemo nchi za ulaya na africa.
Ila mambo yetu ya ndani yaliyopo nchini kwetu hata hatutaki kuyajua na wala hatujengi hoja nzito tunapozungumzia masula ya ndani.
Wapo watu humu ni wabobevu wanajua mambo ya ndani ya Urusi,Marekani,china Ukraine,Kenya ,Rwanda kuanzia uwekezaji wao, akiba ya fedha zao za kigeni, siraha zao inshort KILA kitu wanakijua.
Ila ukija kwenye mambo yetu ya ndani izo hoja nzito hatuzioni.....
[emoji2][emoji2]Mkuu, Tanzania ni sub-set ya dunia. Last year, Urusi alipotuma makombora sita Kiev, asubuhi yake kilo ya sukari Bongo ikapanda mara saba. Umeelewa lakini?
Zitarudi maiti tu Kama zinavyorudishwa kila siku.[emoji94] Some NATO countries may decide to put troops on the ground in Ukraine if its member states fail to provide Kyiv with meaningful security guarantees at the alliance's summit in Vilnius, former NATO security general Anders Rasmussen said on June 7.
Watakwambia haitawezekana Pro-NATOZitarudi maiti tu Kama zinavyorudishwa kila siku.
MUNAJIPA SANA MOYO, ROHO, MAINI, NYONGO NA FIGO.[emoji94] Ukraine's General Staff reported on June 8 that Russia had also lost 3,891 tanks, 7,576 armored fighting vehicles, 6,384 vehicles and fuel tanks, 3,668 artillery systems, 595 multiple launch rocket systems, 355 air defense systems, 314 airplanes, 299 helicopters, 3,234 drones, and 18 boats.
Jamaa ako umshana anasema hayo ni matrekta.Sio vifaru[emoji2][emoji2][emoji2][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Counter-offensive imewatokea puani[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2649818View attachment 2649819View attachment 2649820
Aaaah mwamba sio kweli.Ila wabongo sisi wanafiki sana tunajenga hoja nzito kuchambua mambo yanaendelea kwenye nchi za watu ikiwemo nchi za ulaya na africa.
Ila mambo yetu ya ndani yaliyopo nchini kwetu hata hatutaki kuyajua na wala hatujengi hoja nzito tunapozungumzia masula ya ndani.
Wapo watu humu ni wabobevu wanajua mambo ya ndani ya Urusi,Marekani,china Ukraine,Kenya ,Rwanda kuanzia uwekezaji wao, akiba ya fedha zao za kigeni, siraha zao inshort KILA kitu wanakijua.
Ila ukija kwenye mambo yetu ya ndani izo hoja nzito hatuzioni.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa ako umshana anasema hayo ni matrekta.Sio vifaru[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa sisi wabobezi wa kivita[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2649878