Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mataifa 30+ Kwa Taifa 1!!
Urusi Aheshimiwe Hawa watu wapo vizuri Kivita
na Wote tumejionea Vifaa vyake Vilivyo Bora Kwenye Uwanja wa Kivita
tuombe Tu mungu Uvumilivu Alio nao Putin Aendelee nao
lakini Siku Akishindwa/Kuchoka Kuvumilia Uchokozi wanao mfanyia
na Akatoa Mzigo hata mmoja wa Nuklia Ujue ni Janga
Siraha za Mrusi Habahatishi Nihatari kweli kweli!

MUNGU IBARIKI URUSI
Pia Mungu atubariki wote tuipendao Russia.
 
'Major disinformation': Belarusian president on Ukrainian counteroffensive

According to Alexander Lukashenko, the Kiev regime’s Western handlers are currently scrambling to analyze the causes of Ukraine’s military failures.
 
Mbwembwe zote kumbe hakuna kitu cha maana Russia amezipukutisha NATO hawaamini macho yao.
--------------***-----------Russia claimed this week to have blunted the long-expected Ukrainian military offensive this week, and Kremlin officials on Tuesday even announced that the Russian ground forces had successfully destroyed eight German-made Leopard 2 main battle tanks (MBTs), along with more than 100 other armored vehicles in just recent days

"Total losses of Ukrainian troops in the southern Donetsk Region area were more than 1,500 Ukrainian servicemen, 28 tanks, of them 8 German-made Leopard tanks, 3 wheeled French-made АМХ-10 tanks and 109 armored fighting vehicles,"
 

Attachments

  • Screenshot_20230608-174437_Chrome.jpg
    Screenshot_20230608-174437_Chrome.jpg
    272 KB · Views: 17
Hiki ni kichapo Cha kikatili Sana .
@DontStopWar reports on the Ukrainian losses in the “counteroink”:

Losses of the Ukrainian Armed Forces, State Security Forces and Air Force exceeded 7,000 dead and 2,400 missing during the six-day rehearsal of the counteroffensive.

About 3,760 seriously wounded were taken to hospitals in Dnepropetrovsk, Vinnitsa, Nikolayev, Odessa and Krivoy Rog.

More than 340 Western PMC fighters were transported to the Chisinau airport with further transfer to Bucharest, Iasi, Warsaw, and Krakow.

More than 54 Soviet-made tanks, 9 Leopards of various modifications, 4 Buk SAMs, 9 S-300 SAMs, 2 IRIS-Ts and more than 43 BMPs of various Soviet and Western modifications were destroyed by the Russian Army.

After the failed meat-grinder reconnaissance combat, the AFU began massive strikes by HIMARS and Storm Shadow missiles. The Air Defense+Electronic Warfare intercepts of the HIMARS exceeded 78%, Storm Shadow—not more than 10%.

GB: I had been anticipating 5k dead and wounded. The brilliant vegetable(s) in the Ukrainian command beat my estimate by two.

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Tujikumbushe malengo ya Putin:
Kyv iwe Chini yake na raisi Zenesky akimbilie uhamishoni.
Kilichojiri:
Msafara WA vifaru,magari ya deraya na supplies uliokuwa na urefu wa km 60 ulifutika.
Wanajeshi wengi WA Russia na washirika waelekea jongomeo.
Mrejesho:Kyv Bado ipo chini ya Ukraine.
Zenensky Bado ni raisi wa Ukraine na yupo huru kusafiri kwenda popote duniani.
Mytake:Kama Russia malengo yake hayajatimia na amepata hasara kubwa,Hiyo sio kuchezea kichapo?
Hivi kweli Leo unandika habari za 2022 Feb!! ... Haya asilimi ngapi ya Ukraine imeondoka ...nikuone kwa kipimo Cha Ujinga...
 
Sio picha tu...kuna video footage za kutosha ...nenda Telegram...search Sputnik au Intel Slava Z.....ukajionee...utabisha sana ila ukweli ni kwamba West hawana silaha yoyote ya kumteteresha Russia...kumbuka tulianza Juvelin.....uelekeo sasa ni f16...
Washauri hao NATO wampatie Zelenky silaha za nuclear....huenda zikasaidia labda...lakini kwa hz convetional weapons hamna yeyote itakayomyumbisha Mwamba Putin...
halafu punguza ubishi wa kishamba dunia nzima wameshuhudia hzo Leopard zilivyochomwa kama mahindi...ila ww mkazi wa Kibaigwa kwa mpolo hutaki kuamini...
Leopard zilibabuliwa kule Syria na watu wasiokuwa na jeshi wala viwanda vya silaha kama mahindi ya kuchoma halafu unataka kubisha kwamba Russia atazishindwa kuzichoma na umwamba wote aliokuwa nao kwenye Tech...?

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mkuu wapi hizi Leopard 2??? Sizioni kwenye Intel Slava Z.
(pamoja na hayo: mantiki gani kuweka leopard mbili tu pamoja na vifaru vingine????? )
 
Usijali. Kumbuka: Mwaka 1879 jeshi la Wazulu uchi lilishinda jeshi la uingereza huko Isandlwana, Afrika Kusini.
Uchi si tatizo.
Miaka 144 nyuma, unaandika bila aibu, hata na hivyo kama uingereza ali-lose kwa wazulu..hadi leo na teknolojia yote aliyonayo na ushirikiano wote na "vinara" wa teknolojia wa west still bado ni loser, what the heck..!!!!
 
Back
Top Bottom