Sio ya kuisha tumeongeza vituo saiz ni khakviv na Odessa yaani kila kituo kikiisha tunatamani kingine.
Pia Mungu atubariki wote tuipendao Russia.Mataifa 30+ Kwa Taifa 1!!
Urusi Aheshimiwe Hawa watu wapo vizuri Kivita
na Wote tumejionea Vifaa vyake Vilivyo Bora Kwenye Uwanja wa Kivita
tuombe Tu mungu Uvumilivu Alio nao Putin Aendelee nao
lakini Siku Akishindwa/Kuchoka Kuvumilia Uchokozi wanao mfanyia
na Akatoa Mzigo hata mmoja wa Nuklia Ujue ni Janga
Siraha za Mrusi Habahatishi Nihatari kweli kweli!
MUNGU IBARIKI URUSI
Hana Cha kuweka vizuri.... Anajipa moyo tu ....Weka vizuri habari yako wanajeshi wa nchi gani wameuawa?
Hivi kweli Leo unandika habari za 2022 Feb!! ... Haya asilimi ngapi ya Ukraine imeondoka ...nikuone kwa kipimo Cha Ujinga...Tujikumbushe malengo ya Putin:Russians are losing ground near Bakhmut – Commander of Ukraine's Ground Forces
Oleksandr Syrskyi, Commander of the Ground Forces of the Armed Forces of Ukraine, has reported that the defenders on the Bakhmut front are continuing to move forward on the flanks.www.pravda.com.ua
Kyv iwe Chini yake na raisi Zenesky akimbilie uhamishoni.
Kilichojiri:
Msafara WA vifaru,magari ya deraya na supplies uliokuwa na urefu wa km 60 ulifutika.
Wanajeshi wengi WA Russia na washirika waelekea jongomeo.
Mrejesho:Kyv Bado ipo chini ya Ukraine.
Zenensky Bado ni raisi wa Ukraine na yupo huru kusafiri kwenda popote duniani.
Mytake:Kama Russia malengo yake hayajatimia na amepata hasara kubwa,Hiyo sio kuchezea kichapo?
Mpaka NATO waombe 'POO'...😂😂Warusi wa buza vipi Operation yetu ya kijeshi nchini Ukraine inamalizika lini?
Mkuu wapi hizi Leopard 2??? Sizioni kwenye Intel Slava Z.Sio picha tu...kuna video footage za kutosha ...nenda Telegram...search Sputnik au Intel Slava Z.....ukajionee...utabisha sana ila ukweli ni kwamba West hawana silaha yoyote ya kumteteresha Russia...kumbuka tulianza Juvelin.....uelekeo sasa ni f16...
Washauri hao NATO wampatie Zelenky silaha za nuclear....huenda zikasaidia labda...lakini kwa hz convetional weapons hamna yeyote itakayomyumbisha Mwamba Putin...
halafu punguza ubishi wa kishamba dunia nzima wameshuhudia hzo Leopard zilivyochomwa kama mahindi...ila ww mkazi wa Kibaigwa kwa mpolo hutaki kuamini...
Leopard zilibabuliwa kule Syria na watu wasiokuwa na jeshi wala viwanda vya silaha kama mahindi ya kuchoma halafu unataka kubisha kwamba Russia atazishindwa kuzichoma na umwamba wote aliokuwa nao kwenye Tech...?
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Usijali. Kumbuka: Mwaka 1879 jeshi la Wazulu uchi lilishinda jeshi la uingereza huko Isandlwana, Afrika Kusini.Ukraine imekua ikifundishwa na USA UK German na NATO wengine.
Kama hayo ndio mafundisho Yao,basi NATO wako uchi.
Hayo matractor si mmepewa kutoka west mkaambiwa leopard Basi nayo yabutuliwe hakuna namna, na west mnaona kinzal yenu hiiKifaru Urusi inachodai kukilipua ni Tractor!
...
Russia boasts it has destroyed Leopard tanks... but they were TRACTORS
Russian defence chiefs have been mocked for claiming to destroy a German-supplied lethal Leopard 2 tank - when in fact they hit a combine harvester in Ukrainian fields.www.dailymail.co.uk
Na kibaya zaidi NATO wamegaragazwa na kampuni ya ulinzi.NATO wametumia kila mbinu ila wamefeli, huu ni ukweli mchungu ambao Pro NATO hawawezi kuukubali
Miaka 144 nyuma, unaandika bila aibu, hata na hivyo kama uingereza ali-lose kwa wazulu..hadi leo na teknolojia yote aliyonayo na ushirikiano wote na "vinara" wa teknolojia wa west still bado ni loser, what the heck..!!!!Usijali. Kumbuka: Mwaka 1879 jeshi la Wazulu uchi lilishinda jeshi la uingereza huko Isandlwana, Afrika Kusini.
Uchi si tatizo.